Syria watungua ndege ya Israel

Syria watungua ndege ya Israel

Ni breaking news,asubuhi na mapema leo drone kutoka syria iliingia anga la golan inayokaliwa na israel,kutafuta waasi wa syria.
Israel wakaitungua,na pia wakashambulia uwanja wa ndege wa T-4 ilipotokea drone.
Syria wakafyatua makombora ya kutungulia ndege na kuipiga ndege ya israel ambayo imeangukia israel japo ruban kapona japo majeruhi.
Israel wanalipa kisasi mida hii wanashambulia damusca na syria wanajibu mapigo kwa kufyatua makombora kuelekea golan,

developing story

Nadhani Nchi Kama Israel Kuisambaratisha Syria itatumia Mda wa Masaa Matano 5 hrs, Sawa Na Asilimia 30%, Ya Mda ilioutumia Mwaka 1967 Kuzisambaratisha Nchi za Jumuia ya Kiarabu Zilizoungana Pamoja Kuwapiga Mafundi Hao Wa Technology DUNIANI na Kupelekea Kulifanya Taifa la Palestina Kuwa Watu wasio na Makao Maalumu, Watumwa na Wakimbizi Mpaka Hivi Leo,
Nadhani Kitakachoifanya Israel isifanye yale iliyoyafanya 1967 Ni Jumuia ya Umoja wa maTaifa na Dunia Kiujumla Itasema Nini, Ukizingatia Mzozo wa Mashariki Ya Kati bado Haujapatiwa Ufumbuzi.
Unadhani Marekeni KuwAkumbatia Hawa Jamaa ni Kwa Sababu gani, Hawa wayahudi walikuwa na Na Nini cha Kumpa Marekeni Mpaka awabebe Kiasi Hiki?
Ikumbukwe pia Israel ndo Nchi Pekee ambayo Raia wake Wote ni Wanajeshi Bila kujali jinsia. Mafunzo ambayo kwa Mwanaume ni Miezi 30 Kambini Huku Wanawake ni 24.
Mrusi nae Ni Namna ya Kumtafuta Marekeni wala siyo Israeli Kama wanavyosema.
 
More Updates
... Na mpaka sasa air defenses nne za Syria zimeharibiwa pamoja na sehemu nyingine za kijeshi za Iran na Syria
Ona sasa! Nilisema kule juu; hii issue ya kitoto sana kwa Israel. Naona Iran naye kaamua kuingia kichwa kichwa; anawapa sababu ya kupigwa. Ninyi mnadondosha kidege kimoja lakini ndani ya muda mfupi air defence systems 4 zimeharibiwa.

Niliposikia PM Binyamin Netanyahu alikuwa na kikao cha dharura muda ule na kamati ya ulinzi ya taifa nikajua tayari kuna mtu analizwa muda sio mrefu. Sidhani kama "security alert level" ya IDF ilishawahi kuwa chini ya CRITICAL hata mara moja tangu kuundwa kwa taifa la Israel hapo 1948. Mwajemi Elungata kaaga kwa muda hapa; naona naye atakuwa kwenye kikao cha kujibu mapigo; atatupa updates muda sio mrefu.
 
Habari zinasema israel imeshambulia target 12 ndani ya syria,akitarget majeshi ya iran,watakua wana maanisha hezbollah,
uwanja wa ndege wa israel Ben gurion umefungwa kwa kuhofia mashambulizi ya makombora toka syria,
Netanyau yuko IDF HQ kujadiliana na makamanda kuhusu masahibu yaliyowakuta kufuatia uchokozi wa syria kutungua ndege yao,
Mkuu Syria kujibu mapigo ni uchokozi tena? Yaani mtu aje akutie kidole unanyamaza tu ?
 
Nyie kina nani,..? hapana mm sijarusha makombora, sema wao, mm niko Tanzania

Hatuzungumzi makombora 10 kutumika,tunazungumzia F15 kudondoshwa na Syria, haijalishi ata kama yangekua 100, tusubiri adhabu atakayopewa Syria kama ulivosema awali
Syria ashatiwa dole kubwa. Ma-defence systems ma4 are no more. Yashakuwa vumbi. Sasa subiri mtiti wenyewe; ndio kwanza ngoma imeanza.
 
Sasa nyie mnarusha makombora 10 kwa ndege 2 Kama mnaua nyati asieject mchezo.

Wenzenu wenye uhakika na ufanisi wa air defenses mwisho ni makombora mawili tu
Mkuu hao wapuuzi wanayarushaga randomly tu bila plan wala target yoyote hawana cha kujisifu hao. Wenye akili kubwa kombora moja batalion inateketea.
 
Mkuu usisahau kuwa vita usidharau unaaepigana nae, hao Israelí walipelekwa mchaka mchaka na Hizbullah mpaka wakaamua kushambulia mji mkuu wa Lebanon ilhali wanajua kuwa mahasimu wao wanapatikana kwenye maeneo ya kusini mwa Lebanon kwenye mpaka na Israel.... Vita havitabiriki , omba salama TU
Hahaha Hivi Unadhani Israel anatafuta Nini? These Guys they are just Still Now Believing that The Country Like Jordan , Syria , Iran , and Sinai Peninsula ni Mali Yao So Kinachofanyika Sasa Kila atakaeingia In battle with them, Eneo watakaloliteka Baada ya Vita halitarudishwa Kwao, Inshu inakuja Kwenye Mipaka inayotambuliwa na Umoja w Mataifa,
Nadhani Wanaojua History ya Nchi Ya Israel Toka 1945 Mpaka 2012, Watakuwa ni Mashahidi Juu ya Hili kwa Hiyo Syria akilikologa atalinywa amuulize Palestina.
 
Ubaya wa moto wa gas ukiwaka huzimiki kirahisi, mpaka kwenda kuzima kwenye source.
Israel kapata somo zuri siyo kila siku kuingia kichwa kichwa kama shamba la bibi, umakini unatakiwa kwenye ugenini.
 
Atamuulizaje palestina wakat nchi ya palestina haina jeshi wala police hawana silaha ya aina yoyote ni nchi jina tu wa israel ndo wanasilaha na ndo kutwa kuilinda palestina na silaha nzito nzito .
 
More Updates

IDF wametoa video inayoonyesha drone ya Iran ikiingia kwenye Anga la Israel na Israel kuidungua....

Pia ikionyesha jinsi Israel ilivyoshambulia kambi ya jeshi inayoamimika kwamba hiyo drone ndo imetoka
6bf6cd53120dc186c21cc08fd603c134.jpg

Na mpaka sasa air defenses nne za Syria zimeharibiwa pamoja na sehemu nyingine za kijeshi za Iran na Syria
Watu kama wanacheza game vile
 
@zekokuyo
hii ishu mimi nimeiona bado niko kwa bed saa 6:30 asubuhi,
mimi mzito wa kuanzisha thread ila napenda kuchangia tu,sasa nikawa nasubiri watu wailete kimya,
imefika karibu saa tano bado kimya,nikakumbuka leo wikiend nikajua bado mmelala ndo nikajisa kuipost.
Naona IDF spox amesema yaishe,wasikuze hii ishu,
labda wamegundua mrusi anawazunguka watatafuta utaratibu mwingine,kwa mfano labda kummaliza assad au putin,au wanasubiri watu wajisahau ili washitukize kupiga kama kawaida yao.
Au wamegundua actually wao waliovereact,ilitosha wao walipoidodosha drone,kwani drone hata zao huingia syria zikadodonshwa mambo yakaisha.
Pengine wamegundua syria alikuwa na haki ya kufanya defence dhidi ya shambulizi etc.
Najaribu kutafuta madhara yaliyoletwa na shambulizi la pili la israel syria bado taarifa hazipatikani,
zipo za juu juu mfano pale T-4 airbase inasemekana israel wameharibu observation tower na baadhi ya drone za hezbullah.

Wiki chache zilizopita iran walitoa drone 100 kwa hezbollah huko syria.
Hizo ni zenye uwezo wa kushambulia na inawezekana drone ya leo ilikuwa inakwenda kushambulia waasi wa syria walio katika mpaka wa syria na israel
 
Russian forein minister--"we are very concern about israel attack in syria,we have nothing to do with the downed israel plane,
any threat agaisnt our service men in syria are unacceptable..."

kwa ambao hamna habari ile drone,iliruka kutokea airbase T-4 huko palmry,syria.
Hiyo kambi ina Russian service men pia.

Ile drone haikuingia israel bali iliambaa ambaa juu ya occupied golan height kabla haijawa shot down na israel apache helcopter.

Waisrael waliishambulia kambi ya T-4 wakijua kabisa kuna Russian personal.

Kuna habari kuwa multiple israel missile were jammed,

na ni wazi kuwa,syria hawana electronic warefare system na itakuwa wanategemea system ya mrusi,
sasa hicho ndo kinawapandisha mzuka israel wakisema kuwa Russia anahusika,
wanasahau kuwa wao wameanza kuitwanga kambi ya jeshi syria wakijua mle kuna warusi pia,
niseme tu shambulio la leo la israel kabla ndege yao haijaangushwa,halikuwa coordinated na Russian.

Ndo maana russia kusema,"any threat against our service men in syria are unacceptable"
Baada ya vurugu ya Syria Israel akaona ni shamba lao la kufanya kila watakalo!! Huu ni ujinga maana walijiaminisha kuwa sryria hawana uwezo wa kutungua ndege zao!! Walijua kabisa kuwa wanachezzea maslah ya Russia!! Russia hana mchezo
 
Russian forein minister--"we are very concern about israel attack in syria,we have nothing to do with the downed israel plane,
any threat agaisnt our service men in syria are unacceptable..."

kwa ambao hamna habari ile drone,iliruka kutokea airbase T-4 huko palmry,syria.
Hiyo kambi ina Russian service men pia.

Ile drone haikuingia israel bali iliambaa ambaa juu ya occupied golan height kabla haijawa shot down na israel apache helcopter.

Waisrael waliishambulia kambi ya T-4 wakijua kabisa kuna Russian personal.

Kuna habari kuwa multiple israel missile were jammed,

na ni wazi kuwa,syria hawana electronic warefare system na itakuwa wanategemea system ya mrusi,
sasa hicho ndo kinawapandisha mzuka israel wakisema kuwa Russia anahusika,
wanasahau kuwa wao wameanza kuitwanga kambi ya jeshi syria wakijua mle kuna warusi pia,
niseme tu shambulio la leo la israel kabla ndege yao haijaangushwa,halikuwa coordinated na Russian.

Ndo maana russia kusema,"any threat against our service men in syria are unacceptable"
Baada ya vurugu ya Syria Israel akaona ni shamba lao la kufanya kila watakalo!! Huu ni ujinga maana walijiaminisha kuwa sryria hawana uwezo wa kutungua ndege zao!! Walijua kabisa kuwa wanachezzea maslah ya Russia!! Russia hana mchezo
 
Hahaha Hivi Unadhani Israel anatafuta Nini? These Guys they are just Still Now Believing that The Country Like Jordan , Syria , Iran , and Sinai Peninsula ni Mali Yao So Kinachofanyika Sasa Kila atakaeingia In battle with them, Eneo watakaloliteka Baada ya Vita halitarudishwa Kwao, Inshu inakuja Kwenye Mipaka inayotambuliwa na Umoja w Mataifa,
Nadhani Wanaojua History ya Nchi Ya Israel Toka 1945 Mpaka 2012, Watakuwa ni Mashahidi Juu ya Hili kwa Hiyo Syria akilikologa atalinywa amuulize Palestina.
Palestina (hawa wanawekewa vikwazo vya sílaha, sasa watajihami vipi ?) Syria (milima ya Golan) ndio mpaka Léo inazuiliwa na Israel, ila Sinaí wameirudisha kwa Misri.
Huwa anatumia anga ya Lebanon kushambulia Syria, sasa Léo kabugi step akaingia choo Cha kike, matokeo ndo Kama tulivyoona.
Kiume ni kwenda mwenyewe kama alivyokuja Uganda, sio kutumia anga ya mwengine kumshambulia Syria.
 
Ubaya wa moto wa gas ukiwaka huzimiki kirahisi, mpaka kwenda kuzima kwenye source.
Israel kapata somo zuri siyo kila siku kuingia kichwa kichwa kama shamba la bibi, umakini unatakiwa kwenye ugenini.
Israel. kazidi dharau
 
[emoji23] yani kutungua ndege ya miaka ya 1970 ni kitu Cha kujisifu kweli!!!! Tena hiyo ndege imekua ikishambulia Mara kwa Mara...Halafu mnajisifu wakati ndege moja imeirushia makombora 10 utafikiri mlikua mnaua Simba vile
Role Multirole fighter, air superiority fighter
National origin United States
Manufacturer General Dynamics
Lockheed Martin
First flight 20 January 1974
Introduction 17 August 1978
Status In service
Primary users United States Air Force
25 other users (see operators page)
Produced 1973–2017, 2019–[1]
Number built 4,573 (July 2016)[2]
Unit cost
F-16A/B: US$14.6 million(1998)[3]
F-16C/D: US$18.8 million(1998)[3]
Variants General Dynamics F-16 VISTA
Developed into Vought Model 1600
General Dynamics F-16XL
Mitsubishi F-2
Mkuu hii kitu kumbe ni pesa nyingi sana na ina mbwembwe nyingi sana dah kwaiyo zikidunguliwa mbili tu ni cash ya maana !!! kweli kila kitu na zama zake hii kitu ilitamba sana Iraq !!!!!
nadhani sasa itakiwa inarushwa kwa kuvizia maana mlenga shabaha kuwa akiweza mara moja lazima aweze mara ya pili na ya tatu
300px-F-16_June_2008.jpg

single seat dah lazima wakune kichwa leo !!!
ila ujuwe sisi wa Africa tupo na mungu wao wapo na technology lazima wale wa Africa wanaotaka kufukuzwa huko Israel dua zao zimeanza kufanya kazi au !
 
Nadhani Nchi Kama Israel Kuisambaratisha Syria itatumia Mda wa Masaa Matano 5 hrs, Sawa Na Asilimia 30%, Ya Mda ilioutumia Mwaka 1967 Kuzisambaratisha Nchi za Jumuia ya Kiarabu Zilizoungana Pamoja Kuwapiga Mafundi Hao Wa Technology DUNIANI na Kupelekea Kulifanya Taifa la Palestina Kuwa Watu wasio na Makao Maalumu, Watumwa na Wakimbizi Mpaka Hivi Leo,
Nadhani Kitakachoifanya Israel isifanye yale iliyoyafanya 1967 Ni Jumuia ya Umoja wa maTaifa na Dunia Kiujumla Itasema Nini, Ukizingatia Mzozo wa Mashariki Ya Kati bado Haujapatiwa Ufumbuzi.
Unadhani Marekeni KuwAkumbatia Hawa Jamaa ni Kwa Sababu gani, Hawa wayahudi walikuwa na Na Nini cha Kumpa Marekeni Mpaka awabebe Kiasi Hiki?
Ikumbukwe pia Israel ndo Nchi Pekee ambayo Raia wake Wote ni Wanajeshi Bila kujali jinsia. Mafunzo ambayo kwa Mwanaume ni Miezi 30 Kambini Huku Wanawake ni 24.
Mrusi nae Ni Namna ya Kumtafuta Marekeni wala siyo Israeli Kama wanavyosema.
Je huo mwaka 67 hakukuwa na UN ? Ama vile anavyojenga katika ardhi ya wapalestina Hamna UN? Vita havitabiriki wala havitaki dharau, kumbukumbu zinaonesha pale Lebanon alihenyeshwa na kikundi cha Hizbullah.....
Wacha tutizame hii saga inavyoendelea.
 
Back
Top Bottom