Sylvester Rwegasira wa TRAWU hatunae tena

Sylvester Rwegasira wa TRAWU hatunae tena

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,362
Reaction score
39,847
Nimepokea taarifa kupitia rafiki yangu kwamba Sylvester emeaga dunia leo.
Kama kuna mwenye updates atujuze hapa...
 
kilichotokea ni kwamba aliamka asubuhi mzima akanywa chai but baadaye akajisikia vibaya na akampigia dereva wake ampeleke hospital jirani na home. inasemekana aliaga dunia akiwa ktk harakati za matibabu.
 
yule mtetezi wa wafanyakazi wa reli aliyekuwa mwiba mchungu kwa TRL katutoka gafla leo. may hi soul RIP
 
ni yakweli hayo ndugu yangu,maana kama ni kweli watanzania hasa sisi wafanyakazi tumepoteza mtetezi, siamini source please
 
kafa kwa ugonjwa gani? kafia wapi? je kuna uwezekano wa mkono wa mtu?
 
Tafadhali liweke vizuri habari hii ni ya kushitua kwa wanamfahamu Rwegasira na mchango wake jumlisha nini kilikuwa kinaendelea kule Reli.
Shahidi wa pili tafadhali na aje anayelijua hili kutujulisha zaidi.
 
Ohoo Jesus!! a patriot? pls be sincere to the news..
 
Jamaa alikuwa mpambanaji wa ukweli pale TRL wafanyakazi wote walimuheshimu na kumkubali. Kama ni kweli katutoka basi tumempoteza mtetezi makini wa wanyonge. May his soul rest in peace.
 
True! He is dead. RIP Rwegasira. You leave heroic marks in our hearts, patriotic spirit to that of ours. Kwaheri.

SOURCE: Yaliyotokea, Radio WAPO. Today
 
Let us work hard as if we won't die tomorrow and let us pray hard as if we will die tomorrow.

RIP Rwegasira. I heard u, I watched u at TV.
 
Back
Top Bottom