Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Haha inabidi tujikusanye tukafanye jaribio na sisi. Happy new year shempalAisee niliona picha ya swimming pool moja ya China, yaani ilikuwa imefurika hakuna hata pa kusogeza mkono! Sasa swiiming pool kama hiyo unaogeleaji kweli!? Nilishangaa sana.