Swimming Pool ya kwanza kujengwa Mbeya.....

Swimming Pool ya kwanza kujengwa Mbeya.....

Mtoa post hajitambui bwana muacheni kasahau ziwa Nyasa Lipo mbeya na lina beach nyingi hadi banda wa Malawi alizitamani anazitaka ziwe zake. Alafu msameheni amesahau kuwa huku kwetu hatutumiagi swimming pool kama huko kwao sisi huku tuna natural water bodies nyingi za kuogelea, au hajui kuwa uwepo wa swimming pools nyingi mahali ni uthibitisho tosha kuwa mnaigiza kama mpo ziwani au baharini au mtoni? Huku hazipo nyingi kama huko kwenu maana nyie washamba wa ziwa na bahari
 
Alafu asitake tumpatie ya kinyakyusa,kisafa n.k ataleft kundi sasa hv. Tumeshindikana na waliyotujaribu
 
Haha watu wa mbeya wamecharuka....mnapenda kutania makabila mengine nyie kidogo tu mme panic
 
Leo wanyakyusa wamepatikana
Wamevimba kama majogoo ya
Sikukuu kuweni wapole tu jamani
Wasukuma huwa wanataniwa humu mpaka basi lakini huwezi
Kuona wanatukana lakini nyie
Ufunguo ndiyo kwanza umechomekwa vipi akitekenya
Kuwasha si mtakufa kwa ghadhabu?
 
Wanyakyusa hatujaribiwi km mnapenda kujaribu basi endeleen na wasukuma
 
15747610_10211741852527748_8174812891255895187_n.jpg
Bwana mdogo kabla hujapost chochote jaribu kufanya tathmni ili usionekane mjinga.

Hyo maada ungezungumzia mikoa kama tabora Dodoma n.k

Unapozungumzia mbeya ujue unazungumzia mkoa ambao ni tegemeo la taifa kwa kila kitu..
Kwa machache tu nakumegea kipande hiki
1483092276029.jpg
1483092283679.jpg
1483092291791.jpg
1483092303011.jpg
1483092313027.jpg

Hzo picha zimechukuliwa mbeya . sehem moja inaitwa matema beach tena kijijin bado nakujia na za mjini
 
Back
Top Bottom