Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
watu mbona mmemaindi sana? ila tuna swimming pools nyingi tu.
![]()
![]()
Hotel gani hii?
watu mbona mmemaindi sana? ila tuna swimming pools nyingi tu.
![]()
![]()
NdukiHaha watu wa mbeya wamecharuka....mnapenda kutania makabila mengine nyie kidogo tu mme panic
Eeeeehh atukome sana tu Khangiiii eeehhh nga nubhujowi mweeeh!!!

Gaborone hakuna gholofa lenye lifti. Sasa sijui wewe inajua lift ni nimaendeleo au ni nyenzo ya kwenda juu au chini kwa haraka.Hivi jiji gani ambalo lina majengo machache yenye lift?
UTENGULEHotel gani hii?
Unaingia kwa Swimming afu joto linazd kuliko ukiwa njeHatari nahisi kwenye swimming pol anajuta
Hilltop hotel, kigomaHotel gani hii?