Sweden inaichokoza Tanzania

Sweden inaichokoza Tanzania

Ishu ya loliondo serikali imeifumbia macho acha wageni wawatetee wale wananchi masikini wasio na hatia. Wanawake walibakwa pale , wanaume waliuawa bila kosa , watoto walilawitiwa unataka kumpinga huyu mama kwa kuwatetea watu wako? Kama serikali zote nne zilizopita zilifumba macho acha wazungu wapige kelele labda dunia itasikia
 
Hii dhahiri kuwa serikali ya Sweden inatutafuta ugomvi wa wazi kabisa.
Kwanini imemtuma huyu mwanamke kuifanyia fujo nchi yetu huko Loliondo? ukitaka kuamini kuwa Sweden inatuchokozi, hata baada ya huyu mwanamke kuzuiwa kuingia Tanzania na passport yake kupigwa muhuri unaomzuia kuingia Tanzania, bado serikali ya Sweden ilimpatia mwanamke huyu jasusi passport #82562397 ya mwaka 2011 na kisha akarudi tena Tanzania kupitia Namanga ,na kuendelea kuichafua Tanzania mitandaoni, mtu aliyeingia ktk taifa la watu Kama mtalii anakujaje tena kuanza kuwa mwanaharakati na kuwatukana Viongozi wa serikali?
Swali langu, Sweden inatutafuta nini?

Susanna Nordlund ,jasusi la Sweden lililotumwa Kwa kazi maalumu, serikali mkamateni huyu mtu hata Kama anafanyia harakati zake Kenya.
Samahani mkuu, naomba unijuze, je huyo mama anaitwa nani na amefanya jambo lipi linaloweza kuhatarisha urafiki wa Tanzania na Sweden?
 
Sweden wamuulize dada id amin siku tukiwafata huko ulaya nzima itazizima kwa maroketi ya Tanzania
 
Hii dhahiri kuwa serikali ya Sweden inatutafuta ugomvi wa wazi kabisa.
Kwanini imemtuma huyu mwanamke kuifanyia fujo nchi yetu huko Loliondo? ukitaka kuamini kuwa Sweden inatuchokozi, hata baada ya huyu mwanamke kuzuiwa kuingia Tanzania na passport yake kupigwa muhuri unaomzuia kuingia Tanzania, bado serikali ya Sweden ilimpatia mwanamke huyu jasusi passport #82562397 ya mwaka 2011 na kisha akarudi tena Tanzania kupitia Namanga ,na kuendelea kuichafua Tanzania mitandaoni, mtu aliyeingia ktk taifa la watu Kama mtalii anakujaje tena kuanza kuwa mwanaharakati na kuwatukana Viongozi wa serikali?
Swali langu, Sweden inatutafuta nini?

Susanna Nordlund ,jasusi la Sweden lililotumwa Kwa kazi maalumu, serikali mkamateni huyu mtu hata Kama anafanyia harakati zake Kenya.

Serekali ya Tanzania inatakiwa kuwarejeshea ardhi wamasai ambao wameporwa na Waarabu & Wazungu full stop.
 
Mkuu hilo suala kama lipo kwel na lina uthibitisho basi linahitaj kufuatiliwa kwa karibu sana.. Mpaka taarifa zinafika kwa mwananchi wa kawaida zikiwa zina mpaka namba ya passport basi lazima wanausalama wanalijua ila wamelifumbia macho
 
Masuala ya kuwaita watu majasusi kwasababu ya kuwasemea masikini yamepitwa na wakati.Tumeshuhudia mawakili wakikamatwa kwasababu ya kuwatetea viongozi wa vijiji walioporwa ardhui yao na wageni.

Sasa hata mawakili watanzania wanaitwa majasusi kisa wanatetea viongozi wanaotetea haki za wananchi wanyonge.
 
Linapo kuja suala la utaifa vyama na siasa tuweke pembeni Tanzania kwanza Vyama baadae
 
We Lumumba, Sweden huiwezi hata kwa lolote, si kwa jeshi, mali, etc, etc, etc, etc, etc................................ We need diplomatic approach siyo kuwa mechanidal kama unavyoshauri!
Unatugombanisha na Ibramovich.. Hatukubali
 
Hii dhahiri kuwa serikali ya Sweden inatutafuta ugomvi wa wazi kabisa.
Kwanini imemtuma huyu mwanamke kuifanyia fujo nchi yetu huko Loliondo? ukitaka kuamini kuwa Sweden inatuchokozi, hata baada ya huyu mwanamke kuzuiwa kuingia Tanzania na passport yake kupigwa muhuri unaomzuia kuingia Tanzania, bado serikali ya Sweden ilimpatia mwanamke huyu jasusi passport #82562397 ya mwaka 2011 na kisha akarudi tena Tanzania kupitia Namanga ,na kuendelea kuichafua Tanzania mitandaoni, mtu aliyeingia ktk taifa la watu Kama mtalii anakujaje tena kuanza kuwa mwanaharakati na kuwatukana Viongozi wa serikali?
Swali langu, Sweden inatutafuta nini?

Susanna Nordlund ,jasusi la Sweden lililotumwa Kwa kazi maalumu, serikali mkamateni huyu mtu hata Kama anafanyia harakati zake Kenya.
Watz bana wanadhani serikali yao inaweza kumshughulikia kila mtu. FYI Swedeni sio Chadema, Cuf au Nccr. Hiyo ni Anga nyingine kabisa hao viongozi wenu huwa wanaenda huko Swedeni kuwalamba makalio hao wa Swedeni ili mpate msaada na mishahara.
 
Back
Top Bottom