Sweden inaichokoza Tanzania

Sweden inaichokoza Tanzania

Hii story niliisikia nilipokua Shelui kwa jamaa mmoja alikua anaiongelea kwa Simu na anaonekana ni mambo ya vitaru yaani Huyo mama anawatumia mawakili wa Arusha then mawakili wanajifanya kuwatetea wananchi ili mwekezaji aliepo kule afukuzwe ili wao waingie kuwekeza
 
Hebu muache mswid wa watu, ya nini kumuandamana mtu kwa maneno tena yasiyo hata na uthibitisho?
 
Hii dhahiri kuwa serikali ya Sweden inatutafuta ugomvi wa wazi kabisa.
Kwanini imemtuma huyu mwanamke kuifanyia fujo nchi yetu huko Loliondo? ukitaka kuamini kuwa Sweden inatuchokozi, hata baada ya huyu mwanamke kuzuiwa kuingia Tanzania na passport yake kupigwa muhuri unaomzuia kuingia Tanzania, bado serikali ya Sweden ilimpatia mwanamke huyu jasusi passport #82562397 ya mwaka 2011 na kisha akarudi tena Tanzania kupitia Namanga ,na kuendelea kuichafua Tanzania mitandaoni, mtu aliyeingia ktk taifa la watu Kama mtalii anakujaje tena kuanza kuwa mwanaharakati na kuwatukana Viongozi wa serikali?
Swali langu, Sweden inatutafuta nini?

Susanna Nordlund ,jasusi la Sweden lililotumwa Kwa kazi maalumu, serikali mkamateni huyu mtu hata Kama anafanyia harakati zake Kenya.

Huyu mama anatetea wamasai! Anafanya kampeni wasinyang'anywe sehemu zao. Wewe unamwita jasusi? Ni yupi jasusi kati yako na yeye?

The Tanzanian Government Insists on Grabbing Maasai Land in Loliondo
by Susanna NordlundMarch 26, 2013

The Tanzanian government, through the Minister for Natural Resources and Tourism, Khamis Kagasheki, is moving forward with a plan of taking 1,500 square kilometres which are essential dry season grazing land for the Maasai of Loliondo in Ngorongoro District........

The Tanzanian Government Insists on Grabbing Maasai Land in Loliondo
 
Hii dhahiri kuwa serikali ya Sweden inatutafuta ugomvi wa wazi kabisa.
Kwanini imemtuma huyu mwanamke kuifanyia fujo nchi yetu huko Loliondo? ukitaka kuamini kuwa Sweden inatuchokozi, hata baada ya huyu mwanamke kuzuiwa kuingia Tanzania na passport yake kupigwa muhuri unaomzuia kuingia Tanzania, bado serikali ya Sweden ilimpatia mwanamke huyu jasusi passport #82562397 ya mwaka 2011 na kisha akarudi tena Tanzania kupitia Namanga ,na kuendelea kuichafua Tanzania mitandaoni, mtu aliyeingia ktk taifa la watu Kama mtalii anakujaje tena kuanza kuwa mwanaharakati na kuwatukana Viongozi wa serikali?
Swali langu, Sweden inatutafuta nini?

Susanna Nordlund ,jasusi la Sweden lililotumwa Kwa kazi maalumu, serikali mkamateni huyu mtu hata Kama anafanyia harakati zake Kenya.
Jidanganyeni na serikali yenu mbovu huyo sio bavicha mliozoea kuwaonea gusa tuwaone kama kweli hamjaribiwi
 
Katika mataifa yanayoitambua tanzania nje ndani Sweden ipo,
Wanajua rasimali zote zilipo nyingine hata sisi hatujui
1)German
2)Norway
3)USA
4)Sweden
5)UK
6)China

Sitaki maswali
 
Give me strength… How can anyone actually believe the malicious rants by the so-called “journalist” Manyerere Jackton in the Jamhuri? This “journalist” has written over 20 articles inciting against a specific geographic and ethnic group of Tanzanians – the Maasai of Loliondo, going to the extreme of claiming that 70% would be “Kenyan”, and publishing lists of private individuals that he attributes this nationality to. He also keeps lauding the virtues of the “investor” OBC that repeatedly has tried to make the government grab 1,500 km2 of grazing land – and viciously fabricated lies to attack anyone perceived to oppose this “investors”. Now lately this “journalist” is even boasting about being directly involved in illegal arrests of innocent people to intimidate them into silence! He attacks me because I have a blog about OBC, and also about the American “investor” Thomson Safaris that claim ownership of 12,617 acres, and I have got into trouble with blindingly corrupt authorities in Loliondo. I’m not blogging for Sweden, I’m blogging for truth and justice in Loliondo… The name of my blog is View from the Termite Mound.

Here's my reply to Manyerere’s latest insults. View from the Termite Mound: Amidst Total Breakdown of Rule of Law in Loliondo the ”Journalist” Manyerere Jackton Resorts to Further Defamation in the Jamhuri

Here’s a summary about OBC in Loliondo. http://termitemoundview.blogspot.se/2015/12/obc-hunters-from-dubai-and-threat.html

Susanna Nordlund
 
We Lumumba, Sweden huiwezi hata kwa lolote, si kwa jeshi, mali, etc, etc, etc, etc, etc................................ We need diplomatic approach siyo kuwa mechanidal kama unavyoshauri!
Jaribu kuwa mzalendo itikadi za chama weka pembeni mkuu.
 
Ciprofloxacin. Mkuu embu fafanua vizuri anahujumu nchi kivipi huko loliondo tujue Na viongozi wajue ? Umesema ni mgeni Na ni mtalii jua kuna Sheria za kimataifa zinamlinda weka uchafu wake viongozi wajue wanaanzia wapi. Ila kama huyu ni Yule mwanahatakati anayewatetea wanasai wapewe maeneo yao loliondo namuunga mkono kuna watu mmewanea watanzania kisa waarabu Na wazungu ndugu zetu wamenyanyasika vya kutosha wamepeni haki yao hao waarabu awatakusaidia kitu chochote ata hao wazungu ifikie muda tuwe wazalendo kwenye mambo ya kitaifa hasa watanzania wenzetu wakionewa kama loliondo Na sehemu nyingine unafiki wetu ndio unaofanya wawekezaji kuwanyanyasa Na kuuwa ndugu zetu kama mmbwa
 
Jamiiforum naomba mtoe huu upuuzi hapa. Vyombo husika vipo kazini. Huku ni kukosa standard na kuchafuana.
 
Ashasema hajaribiwi, sasa tutaanza mfano kwa kuwapiga hao Sweden! Mbavu zangu LOL! Tunataka kutengeneza history ingine maana tuna history ya vita fupi kuliko yeyote duniani ilikuwa Zanzibar yetu, sasa nasi tunataka historia yetu ya tz bara.
 
Hii dhahiri kuwa serikali ya Sweden inatutafuta ugomvi wa wazi kabisa.
Kwanini imemtuma huyu mwanamke kuifanyia fujo nchi yetu huko Loliondo? ukitaka kuamini kuwa Sweden inatuchokozi, hata baada ya huyu mwanamke kuzuiwa kuingia Tanzania na passport yake kupigwa muhuri unaomzuia kuingia Tanzania, bado serikali ya Sweden ilimpatia mwanamke huyu jasusi passport #82562397 ya mwaka 2011 na kisha akarudi tena Tanzania kupitia Namanga ,na kuendelea kuichafua Tanzania mitandaoni, mtu aliyeingia ktk taifa la watu Kama mtalii anakujaje tena kuanza kuwa mwanaharakati na kuwatukana Viongozi wa serikali?
Swali langu, Sweden inatutafuta nini?

Susanna Nordlund ,jasusi la Sweden lililotumwa Kwa kazi maalumu, serikali mkamateni huyu mtu hata Kama anafanyia harakati zake Kenya.

Kafanya ujasusi gani?

Kamtukana nani lini na tusi gani?

Kaichafuaje Tanzania kupitia mitandaoni?
 
Kwa ukawa intelijensia iko macho kweli! Kwa hao hawajuwi la kufanya!
 
Hapo usishangae kuna wivu, itakuwa huyu mzungu ana bwana wa kibongo
 
Back
Top Bottom