Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Chezea donor country weweee wamemzibia huku ameingilia Kenya...
Watz bana wanadhani serikali yao inaweza kumshughulikia kila mtu. FYI Swedeni sio Chadema, Cuf au Nccr. Hiyo ni Anga nyingine kabisa hao viongozi wenu huwa wanaenda huko Swedeni kuwalamba makalio hao wa Swedeni ili mpate msaada na mishahara.
Lowassa fisadi mmemfikisha wapi?Acha upuuzi wewe, kwanza Mimi siyo Lumumba, mimi na ccm ni maji na mafuta, pili, ktk suala la taifa hakuna upuuzi unaosema hapa eti diplomatic approach Kwa mtu yeyote anayejaribu kugusa taifa letu, hata angekuwa mmarekani angekamatwa tu, utajiri na nguvu ya jeshi haviwiani kabisa ktk kumwajibisha mhalifu.