ongea taratibu plz, umeona mume wa ujana na uzee wangu amerudi.
mbona wabichi bana.. aaargghh
hahhahhaha, kweli hamu yote iliisha ikabidi niendelee tu, nashukuru yamebaki masaa machache. njo sist, karibu sanaaa maana nimekumiss halafu tuna mengi ya kuongea.Umenichekesha wewe mama, hao kuku na samaki ndiyo wazuri, hata hamu ya kufuturu inakosa unaendelea kufunga hahahaha. Kesho nakuja kukuona ofisini nikutie moyo. Si unajua zetu za saa sita tunatawanyika nyumba
Umenichekesha wewe mama, hao kuku na samaki ndiyo wazuri, hata hamu ya kufuturu inakosa unaendelea kufunga hahahaha.
ndo maanake shem, usije ukanivunjia ndoa. lol
haya uje ufuturu magimbi na samaki baadae my shemeg, lazma utoke shavu mwezi huu maana idadi yako ya milo imeongezeka
wewe tuu, mahitaji yako yote yatatimizwa ili mradi ufurahi. lol
ni rafiki yangu sana....
msalimu sana pacha wako, ila umwambie aache udaku