swaumu ya leo..................

swaumu ya leo..................

Husninyo

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
24,342
Reaction score
10,688
Last edited by a moderator:
images

Jaribu hiyo usiposhiba useme.
 
Husninyo mie mwenyewe swaum ya leo..
kila nikitizama saa naona mshale hauendi

afu Mamndenyi nae hiko chakula
unaweza kujikuta swaum inakatikia mida hii!!!!
 
Last edited by a moderator:
haya pokea huyo hapo ukazie hiyo swaumu yako View attachment 102800
jamani jamani, leo swaumu imekuwa kali sana, naomba yeyote mwenye picha ya samaki au kuku aniwekee hapa jukwaani au pm japo nikazie kazie swaumu..... nakazia tu maana jana nilipitiwa na usingizi sikula daku. cc Kaizer AshaDii amu sweetlady charming lady Asprin Madam B watu8 Smile Preta King'asti Nyani Ngabu Kongosho Caroline Danzi Malila Measkrom amu @figanigga Dena Amsi na wengineo wooooootee. NB. samaki na kuku tu staki maharage .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom