amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,171
- 31,357
umenikumbusha mihogo na magimbi mdogo wangu.....
kule kisarawe huwezi enda kunitafutia?
do the needful....
am sorry dada kitu ambacho sikipendi siwezi kununua,kupika wala kumletea mtu zawadi
umenikumbusha mihogo na magimbi mdogo wangu.....
kule kisarawe huwezi enda kunitafutia?
do the needful....
mbona wabichi bana.. aaargghh
mnoooo, yaani sana kabisa.... unayo unimuvushilie?Fixed Point unapenda mihogo eenhee
hupendi mihogo na magimbi?am sorry dada kitu ambacho sikipendi siwezi kununua,kupika wala kumletea mtu zawadi
yaani we acha tu jamani, halafu na hii ndo mida yenyewe ya lunch. eeh mungu nipe uvumilivu. lol
wewe mbona umefanana na rafiki yangu EMT?haya pokea huyo hapo ukazie hiyo swaumu yako View attachment 102800
mnoooo, yaani sana kabisa.... unayo unimuvushilie?
yaani hadi ugali napenda wa muhogo tupu..... naona kama nakula muhogo vile
hupendi mihogo na magimbi?
Husninyo kamchunguza hadi kajua ameliwa pembeniUmeona eeh
mimi mwenyewe imenipa hamu ya kula kitu kama hicho mchana huu
mliofunga komaeni mkijua ya kuwa njia ya kwenda kwa Mungu siyo lelemama.
wewe mbona umefanana na rafiki yangu EMT?
ni pacha wake?
naisubiri kwa hamu, lol!ngoja ntakutumia kwenye soft copy....
huku kwetu inapatikana saana
oh! haya.mihogo ya kukaanga napenda sana siyo ya futari na magimbi hayapiti kabisaaa mdomoni
hehehe, hao mbona weusi hivyo!!! khaaa, staki wa mafuta ya trasnsfomaOnja na hii kitu kidogoView attachment 102795
nataka walioungwa mchuzi, ukiweza tupia na viubwabwa vijiko viwili. nakazia tu shem.Shemeg, kwani si umeandika unataka picha ya kuku na samaki....!!!
Hata Block City naye kaelewa kama mimi nilivyoelewa...
Haya hebu niambie shemeg wangu wataka picha zipi za samaki na kuku ?
ni rafiki yangu sana....sisi ni mapacha ndugu nashukuru kujua kuwa ni rafiki wa kaka yangu karibu kwetu
nataka walioungwa mchuzi, ukiweza tupia na viubwabwa vijiko viwili. nakazia tu shem.
hehehe, hao mbona weusi hivyo!!! khaaa, staki wa mafuta ya trasnsfoma
nataka walioungwa mchuzi, ukiweza tupia na viubwabwa vijiko viwili. nakazia tu shem.