Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,402
- 320
1 - Kwa Myahudi ili Kuuponya mwili wake ni lazima achukue vumbi la udongo ndani ya kivuli cha choo cha nje, changanya na asali halafu kula" Gittin 69a.
2 -Akitoka mtu nje ya mlango wa choo hapaswi kufanya ngono mpaka asubiri kwa muda wa kutosha kutembea nusu maili, kwa sababu pepo wa choo yuko pamoja naye kwa wakati huo, kama akifanya hivyo (akifanya ngono), watoto wake watakuwa kifafa. "83- Gittin 70a.
3 -Mwanamke ambaye alikuwa anafanya ngono na mnyama anastahiki kuolewa na kuhani wa Kiyahudi. Mwanamke ambaye anafanya ngono na pepo pia hustahiki kuolewa na kuhani wa Kiyahudi Yebamoth 59b
Ooovyoooo!
1 - Myahudi ni lazima ale kiapo cha uongo wakati goyim anapouliza kama vitabu vyetu vin kitu chochote dhidi yao."Szaaloth-Utszabot, The Book of Jore Via 17.nakupa pole sideeq, kwa kutuletea soga
wenzio twaleta point, we watuletea hewa
kati yetu sisi sote, yupi kwetu myahudi
kama waishiwa point, bora unyamaze kimya
ukiingia vitani, usikimbie risasi
kwa kulipua jirani, badala ya mpiganwa
we ukiishiwa point, hukimbilia yahudi
kama waishiwa point, bora unyamaze kimyaa
1 - Myahudi ni lazima ale kiapo cha uongo wakati goyim anapouliza kama vitabu vyetu vin kitu chochote dhidi yao."Szaaloth-Utszabot, The Book of Jore Via 17.
2 -Akum (asiye Myahudi) ni kama mbwa. Ndiyo, Maandiko Matakatifu yanasema tumuheshimu mbwa zaidi kuliko wasio-Wayahudi. "Ereget Raschi Erod, 22 30
.......atafutaye hupata.
sadeeq ewe pole,1 - Kwa Myahudi ili Kuuponya mwili wake ni lazima achukue vumbi la udongo ndani ya kivuli cha choo cha nje, changanya na asali halafu kula" Gittin 69a.
2 -Akitoka mtu nje ya mlango wa choo hapaswi kufanya ngono mpaka asubiri kwa muda wa kutosha kutembea nusu maili, kwa sababu pepo wa choo yuko pamoja naye kwa wakati huo, kama akifanya hivyo (akifanya ngono), watoto wake watakuwa kifafa. "83- Gittin 70a.
3 -Mwanamke ambaye alikuwa anafanya ngono na mnyama anastahiki kuolewa na kuhani wa Kiyahudi. Mwanamke ambaye anafanya ngono na pepo pia hustahiki kuolewa na kuhani wa Kiyahudi Yebamoth 59b
Ooovyoooo!
X-Paster e ndiyo,Bisimilahi naanza kwa Jina la rahmani.
Mola aliye muweza, Anaye tupa ihsani
Anipe uwezo kwanza, Kukujibu ukumbini
Ramadhani ni ibada, Sote yatulazimu
Mwezi huu wa fadhila, Na mwezi wa ihsani
Sio mwezi wa chakula, Kushindilia tumboni
Au mwezi wa kulala, Kukoroma kitandani
Ramadhani ni ibada, Sote yatulazimu
Mwezi huu wa ibada, Na kusoma Qur'aani
Ni mwezi wenye faida, Nyingi ziso na kifani
sio mwezi wa kawaida, Ni mwezi wenye thamani
Ramadhani ni ibada, Sote yatulazimu
Fadhila zake ni nyingi, Zinazovuka mipaka
Twajitahidi kwa wingi, Kamba ya Mungu kushika
Na Swalah ndio msingi, wa dini yetu hakika
Ramadhani ni ibada, Sote yatulazimu
Mungu Amesharidhika, Uislamu ndio dini
Milele tahifadhika, Kitabu cha Qur'aani
Tafuta na utachoka, Makosa ndani huoni
Ramadhani ni ibada, Sote yatulazimu
Mwezi huo wa baraka, Wa amani na imani
Ninamuomba Rabuka, Pepo iwe maskani
Ni mwisho wa kuandika, Nimefika kikomoni
Ramadhani ni ibada, Sote yatulazimu
nipo kutaka ilimu,Waungwana asalaam, ukumbini nimefika
nimekamata kalam, karatasi nimeshika
ila nakosa faham, ni nini cha kuandika,
Kufunga kweli ibada, hata Wakristo tunayo.
si kama nataka vita, bali nakwepa majungu
Sikulala na kuota, au kutumwa na Mungu
ninapatwa na utata, na moyo una machungu
Kufunga kweli ibada, hata Wakristo tunayo.
Labda niulize swali, Anyisibe na wenzako
wewe huwa ukiswali, na kuomba Mungu wako
wao huja na maswali, kuuliza nia yako
Kufunga kweli ibada, hata Wakristo tunayo.
Swali la pili jamani, pole kama nakukwaza
kufunga huwa ya nini, umeshawahi kuwaza
watu wote kila dini, sauti zao hupaza
Kufunga kweli ibada, hata Wakristo tunayo.
Nasema kweli ibada, ya kunyenyekea kwake
baba, mama hata dada, yatupasa kwenda kwake
tukidhaifisha mwili, roho inasonga kwake
Kufunga kweli ibada, hata Wakristo tunayo.
Waweza funga staftahi, ama mlo wa mchana
ukaomba asubuhi, jioni ukala pina
ukiamua kuwahi, nia yako ndo ya mana
Kufunga kweli ibada, hata Wakristo tunayo.
Usinikashifu mimi, sipofanya utakavyo
usiitukane dini, ili niheshimu yako
kufunga nafunga mimi, njaa bado ije kwako
Kufunga kweli ibada, hata Wakristo tunayo.
Nilishasema tangia, nini maana kufunga
jambo linakusumbua, ama unaomba kinga
ibada umeamua, kila mwezi nitafunga
Kufunga kweli ibada, hata Wakristo tunayo.
Tupatie hiyo aya basi, kama mimi ninavyokupa ya Talmud:Ubungoubungo said:kitabu cheni koran, kinaruhusu uwongo
kudanganya makafiri, unapoyaconvert
kutetea wislam, uongo waruhusiwa
kama waishiwa point, bora unyamaze kimya
Tupe aya kama ninavyokupa mimi hapa:Ubungoubungo said:wakamatwe wauawe
kama hawatakubali, hii dini ya mtume
"Samson said to the servant who held his hand, "Put me where I can feel the pillars that support the temple, so that I may lean against them." Now the temple was crowded with men and women; all the rulers of the Philistines were there, and on the roof were about three thousand men and women watching Samson perform. Then Samson prayed to the LORD, "O Sovereign LORD , remember me. O God, please strengthen me just once more, and let me with one blow get revenge on the Philistines for my two eyes." Then Samson reached toward the two central pillars on which the temple stood. Bracing himself against them, his right hand on the one and his left hand on the other, Samson said, "Let me die with the Philistines!" Then he pushed with all his might, and down came the temple on the rulers and all the people in it. Thus he killed many more when he died than while he lived. (From the NIV Bible, Judges 16:26-30)"Ubungoubungo said:dunia inashangazwa, ugaidi ongezeka
kitabu chawafundisha, kujilipua mabom
kumpigania mola, waweza kujilipua
Mipango inafanyika ili siku moja nianze kuja ichambua Talmud katika kona za Dar es salaam.Ubungoubungo said:mihadhara inazidi, kona nyingi daslamu
hivi kinatumiwa na watu gani hicho ki-talmud? maana mi huwa sikwelewi nalo,Mipango inafanyika ili siku moja nianze kuja ichambua Talmud katika kona za Dar es salaam. *Uudandao (Talmud) ndio ukubwagao.
Hodihodi naingia, kijiweni pokeanisideeq ninakuomba,nionyeshe sinagogi
lakutumia talmudi,ili nije kuelewa
wakristo tafadhali, hatutumii talmudi
kwahiyo haituhusu, kalete hoja ingine
yahudi ni kitu gani,Ipi raha ya dunia?,
silimu sifanye shaka Wapata akhera pia,
malipoyo takufika Ndio dini Islamia ,
Ni adhimu isi shaka SILIMU EWE YAHUDI;
MI KWAKO NAKUUSIA
Hutuambia ni dini , kwa wengine ni kabilayahudi ni kitu gani,
ama ni kabila gani,
utweleweshe jamani,
tuijue kwa makini,
*To communicate anything to a goy about our religious relations would be equal to the killing of all Jews, for if they knew what we teach about them they would kill us openly." - Libbre David 37.
na asiondoke bila kutoa majibu hapa, kwa upande wangu mie nashukuru kwa ufuatiliaji wako mkuu, maana kha hii talmud nimejaribu atupatie wapi kaitoa bila mafanikio amekuwa anaruka viunzi sana. Namwomba sana mtaalamu wetu wa dini ya Uyahudi na kitabu cha Talmudi atueleze: Je kile Libbre David ni nini?? Je ni sehemu ya Talmud?? Ni lugha gani? Maana kwa njia ya kupiga google nimekuta madai eti nukuu hii ni uwongo mtupu hakuna sehemu kwa jina hili (au jina la kufanana) katika Talmudi popote duniani! Sasa naomba jibu: a) Nukuu yako, mkuu, inapatikana katika toleo gani ya Talmudi? b) wewe umeikuta wapi (yaani Talmudi kwako nyumbani - toleo gani? AU mahali kwenye intaneti kwa kopi-paste - wapi?? AU sauti ya malaika kwako wakati gani? malaika gani?) c) Je unakubali ya kwamba jina "libbre David" inaonekana zaidi kama Kiitalia lakini haiwezekani kuwa lugha ya Kiyahudi? Unaonaje?