Swali : Nani mchunguzi mkuu wa matumizi ya Benki Kuu Tanzania?

Ningependa kujua ni nani mchunguzi mkuu wa Benki Kuu ya Tanzania?

Navyosema mchunguzi ni kwa matumizi ya bank kuu na budget za kujiendesha kama kulipa wafanyakazi, majengo, uendeshaji wote wa shughuli za kibank. Wasiwasi wangu ni kwamba bank kuu yetu ya Tanzania haijapewa mandate ya kusaidia uchumi kama inavyotakiwa. Na inawezekana kabisa wanajichunguza wenyewe kitu ambacho sio kizuri.

Bank kuu yetu inatakiwa ipewe kazi mbili kuu kisheria ukiacha kazi za kuangalia bank nyingine. Bank kuu inatakiwa iongezewe jukumu la kusaidia ajira au kupunguza watu ambao wanatafuta ajira hii ni muhimu sana kwa bank kuu yeyote kupewa. Lakini matumizi ya majengo ya bank kuu kama lile la mwanza ni kubwa sana nani anachunguza matumizi?

Wenzetu wameweka hivi

Apart from price stability, we can point out a few other elements frequently included in the central banks' mandates. These include, for example, promoting sustainable and stable economic growth, maintaining full employment, preserving financial stability, and defending the international value of the domestic currency.Nov

Pascal Mayalla nime ku copy P unisaidie kwenye hili sijui kama mkaguzi mkuu anachunguza bank kuu
Nu c.a.g

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ningependa kujua ni nani mchunguzi mkuu wa Benki Kuu ya Tanzania?

Navyosema mchunguzi ni kwa matumizi ya bank kuu na budget za kujiendesha kama kulipa wafanyakazi, majengo, uendeshaji wote wa shughuli za kibank. Wasiwasi wangu ni kwamba bank kuu yetu ya Tanzania haijapewa mandate ya kusaidia uchumi kama inavyotakiwa. Na inawezekana kabisa wanajichunguza wenyewe kitu ambacho sio kizuri.

Bank kuu yetu inatakiwa ipewe kazi mbili kuu kisheria ukiacha kazi za kuangalia bank nyingine. Bank kuu inatakiwa iongezewe jukumu la kusaidia ajira au kupunguza watu ambao wanatafuta ajira hii ni muhimu sana kwa bank kuu yeyote kupewa. Lakini matumizi ya majengo ya bank kuu kama lile la mwanza ni kubwa sana nani anachunguza matumizi?

Wenzetu wameweka hivi

Apart from price stability, we can point out a few other elements frequently included in the central banks' mandates. These include, for example, promoting sustainable and stable economic growth, maintaining full employment, preserving financial stability, and defending the international value of the domestic currency.Nov

Pascal Mayalla nime ku copy P unisaidie kwenye hili sijui kama mkaguzi mkuu anachunguza bank kuu🤔

Huyo P wako Ni kilaza kwenye mambo ya uchumi yeye anachoweza Ni biashara ya kujikomba tu
 
Back
Top Bottom