Swali: Mbagala kumelaaniwa?!

Swali: Mbagala kumelaaniwa?!

Ni kati ya sehemu chache hapa Dar zenye wenyeji wengi. Kuuza kiwanja ili tupate hela ya kumcheza mtoto huku ni kawaida sana. Huku ukiniudhi sikupeleki kwa mjumbe, nauza simu, hela nakodia matarumbeta tunakuja kwako kukuchamba. Chezea sisi wewe.

mwee ! hii kali !
 
Ilianza Popobawa.

Akatokea Simba mla watu,

Yakaja mabomu,

Mara Msahafu umekojolewa na Makanisa kuchomwa,

Juzi tena watu wamegandana Tigo.

Jamani Mbagala kunanini???

Tuwe scientific, mbagala wanakaa majority ya watu toka wapi? majority ni kutoka Lindi na Mtwara! Kuna nini huko kusini? Manzese kulikuwa na makabila yote ya tanzania, vituko, ushenzi wote ulikuwa manzese! tafakari
 
Back
Top Bottom