Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 4,982
- 4,482
- Thread starter
- #181
Ndio maana ya kuumbiwa njia mbili na huweza kujichagulia mwenyewe kwa imani na maombi yako,KWA HIYO tangu kuzaliwa kwetu,kabla hata ya kuja duniani tukiwa ndani ya mtumbo ya mama zetu Huwa Mungu anakua ameshajua huyu ni wa PEPONI na huyu wa JEHANAMU si ndio maana yake?
Rakims