Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)

Rakims
bro nataman sana kuwa kamili kiroho ila naogopa sana nahisi ntasumbuliwa na wachawi au majini naomba nisaidie nifanye nn ili nisiwe ba hofu cz nataman chakra zangu 7 ziwe active
 
Rakims
bro nataman sana kuwa kamili kiroho ila naogopa sana nahisi ntasumbuliwa na wachawi au majini naomba nisaidie nifanye nn ili nisiwe ba hofu cz nataman chakra zangu 7 ziwe active
Ukianza kufanya meditation kwa ufasaha woga utaisha
 
Inategemea na rangi ya nyoka na ameonekana wapi na anafanya nini.
Asante
BRO KUNA MTU NIMEMGUMIA ANALALAMIKA SANA SIJUI ANA SHIDA GANI? HIVI ALIVYOSEMA VINA UKWELI WOWOTE UNAWEZA ELEZEA KWA UFUPI KWA FAIDA YA WOTE PLZ


(mbona unawaeleza tu faida za meditation na unasahau kuwaeleza kwa kina hasara zake? Hujui kuwa ukiwa na uwezo wa kuihisi na kuiskiliza pumzi yako kwa umakini unamuamsha mungu wa kike, Goddess? Ambaye yuko kwenye hiyo chakras inayounganisha mgongo kwa upande wa nyuma chini, sehemu za siri na nyayo za miguu? Mbona umekaa kimya ukashindwa kuwaeleza madhara watakayopata kama huyo Mungu wa kike ataamka? Mbona huwaelezi kuwa kuna kitu kinaitwa ulimwengu wa kiroho wenye vitu vya ajabu wataanza kuuona? Mkuu, waeleze kuhusu jicho la tatu, hiyo chakras iliyoko kwenye paji la uso!

Ubaya wa meditation ukiifanya, utakuta unatamani kufanya na yoga, na utakapoziunganisha zote, umekwisha!
Sikuona faida nyingine pasi na kusoma aura za watu tu! Hasara ni nyingi mno, mie sio mtu wa kunikutanisha na roho zilizokufa kitambo eti zizungumze na mimi!

Tena ngoja nitengeneze uzi niyaelezee haya yote kiundani zaidi!

Achana na hivi vitu kwa amani ya moyo wako:
•meditation
•yoga
•austral projection
•lucid dreaming technics

Na ushetani mwingine wa kujitizama kwenye vioo kiroho!)
 
Back
Top Bottom