Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)

KWA HIYO tangu kuzaliwa kwetu,kabla hata ya kuja duniani tukiwa ndani ya mtumbo ya mama zetu Huwa Mungu anakua ameshajua huyu ni wa PEPONI na huyu wa JEHANAMU si ndio maana yake?
Ndio maana ya kuumbiwa njia mbili na huweza kujichagulia mwenyewe kwa imani na maombi yako,

Rakims
 
hii ndio nini tena maana majina ya kihindi haya?
Tembelea thread hii utajifunza kidogo

Rakims
 
Maomba elimu kuhusu hizi namba z tesla 369
Habari mkuu, namba hizi watu hudai kuwa alianzisha Nikola Tesla kisa tu alikuwa akizunguka katika jengo kabla ya kuingia ndani na ni namba za siri kubwa sana na blah blah nyingi tu lakini ukweli ni kwamba katika somo la hesabu huwa kuna namba shufa tasa pamoja na witiri, haijarishi nani atataka kufanya hesabu vipi lakini mwisho wake huwa ni namba hizo na hakuna namba zaidi ya 0-9 namba yoyote ile ukiipa code yako kwa maana yako itakuwa ni namba ya miujiza, asume umeweka password kwenye simu na ukaipeleka kijijini kwa watu wasiokuwa na elimu ukafika baada ya mzigo kuwa umeshafika na wamehangaika kufungua wewe unawaambia twendeni tukaombe kwenye jiwe tupewe namba za ajabu za kufungua hapa maana lile jiwe ni la muujiza watu wanakwenda kama ushabiki wanaomba wewe unawaambia umepata maono ya namba za kufungua, hawatakuamini na mambo hayo kwao ni mageni?
Hakuna nguvu wala siri ya namba namba ni namba tu siri na nguvu ni wewe

Rakims
 
Nimemenena maneno yafuatayo katika ulimwengu wa roho naomba tafsiri yake

[BALIZENDA BALIZOTA; BALIZENDA BALIZII] pia ni sawa na [SOLOZENDA SOLOZEKE; SOLOZENDA SOLOZII] pia ni sawa na [BALIZENDA BALIZEKE; BALIZENDA BALIZII].

Hint: yanaenda maneno mawili mawili kwa pamoja kupata hiyo maana iliyopo yaani (Balizenda balizota) neno moja (balizenda balizii) neno la pili
 
Mkuu hii ni lugha ya roman-african sasa mimi ni Muislam nikitia neno humo panaweza kuchimbika thread yangu ikaanza kushambuliwa niseme hivi sifahamu subiri wanisaidie wakuu hapo wahusika

Rakims
 
Mkuu hii ni lugha ya roman-african sasa mimi ni Muislam nikitia neno humo panaweza kuchimbika thread yangu ikaanza kushambuliwa niseme hivi sifahamu subiri wanisaidie wakuu hapo wahusika

Rakims
Asante mkuu nimekupata..... hiyo inaitwa kunena kwa lugha nilidhani pia upo upande huu wa kina Mtume Paulo.... Hakuna shida
maana yake ni hii----- UTAPATA UZIMA NA PIA UATAPATA BARAKA neno (code) moja ipo hidden purposely kuepusha mabishano na malumbano na baadhi ya wachangiaji
 
tunashukuru mkuu kwa kushare na sisi elimu yako.

Rakims
 
Kwann majina huweza kuingia kwenye ulimwengu wa 3D kirahis ss hatuwez kuingia wao kirahis?
 
Kwann majina huweza kuingia kwenye ulimwengu wa 3D kirahis ss hatuwez kuingia wao kirahis?
kwa sababu wao 24hrs wanatuona na wametuzoea na wanatujua na tunaishi nao hivyo hata wakijidhihirisha wanajua reaction zetu na kila jambo lakini sisi hatuwaoni na wengine hawawajui na hata kuwaskia ni juu juu sasa kitu usichokijua kukutana nacho si rahisi,

Ina maana binadamu ni kiumbe dhaifu sana
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom