Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)


Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,696
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,696 2,000
Ikiwa hivi ndivyo! Ni kwa nini basi mitume wengi hawa kuwa na pesa na ili hali wao wana nguvu za kiroho za hali ya juu?.
Mkuu watu kama wewe walikuwepo katika zama na waliuliza swali kama lako sasa ukizungumzia mitume, wote hakuna aliyekuwa tajiri kwa sababu utajili wao wengi waliuteketeza na kuutenga kwa kuhofia kuwa ni mapambo ya dunia ambayo yangeweza kuwateteresha hata nguvu walizopewa hawakutaka kuzitumia kupitiliza kwa kuhofia utiifu wao kwa Mwenyezi mungu aliowapa utume lakini aliyeamua Mwenyezi Mungu kumpa ilisalia kidogo tu amkosee vibaya ambaye ni Mfalme Suleiman Ibn Daud (King Solomon Son Of David)
Ambapo na haya mambo mengi ya interference baina ya wanadamu na viumbe vya kiroho yalizidi,

Mkuu kwenye sinema za watoto (Spiderman) hii pia ilitajwa "with great power comes great responsibility" ukiwa na power hizi utajiri ni kitu cha mwisho kabisa kitakuwa kikigonga kichwa chako

Rakims
 
Juma4 Creative

Juma4 Creative

New Member
Joined
Aug 1, 2017
Messages
4
Points
20
Juma4 Creative

Juma4 Creative

New Member
Joined Aug 1, 2017
4 20
Hiyo ni kupitia meditation mkuu kuna ile meditative state ambapo hapo ukifika hizo sehemu huwa zinakuja automatic inachukua miezi sita kufanya kila siku bila kupumzika mkuu,
Ok mkuu, ni Meditation ipi ni nzuri na inafanikisha hayo kati ya zile ulizokwisha fundisha? Na waweza kumiwekea link?
 
Wazolee

Wazolee

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
644
Points
1,000
Wazolee

Wazolee

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2018
644 1,000
Naomba kuuliza kuhusu alama za mwili asili yake ni nini malaika au majini

Kwa mfano Mimi mkono wa kulia ukiwasha napata kitu kizuri

Mkono wa kushoto ukiwasha napoteza kitu changu kizuri

Macho yangu yakicheza ni msiba unatokea
 
low thinking capacity

low thinking capacity

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Messages
747
Points
1,000
low thinking capacity

low thinking capacity

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2018
747 1,000
Mkuu ulipotea kwa muda
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,696
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,696 2,000
Naomba kuuliza kuhusu alama za mwili asili yake ni nini malaika au majini

Kwa mfano Mimi mkono wa kulia ukiwasha napata kitu kizuri

Mkono wa kushoto ukiwasha napoteza kitu changu kizuri

Macho yangu yakicheza ni msiba unatokea
Ni roho yako mkuu, ina indicate hayo matendo,

Rakims
 
N

nadia33

Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
23
Points
45
N

nadia33

Member
Joined Jul 29, 2015
23 45
Kwa nini duniani kuna dini nyingi.?nini chanzo chake? Dini ipi ni sahihi..? Je ni kweli tunamini/Abudu Mungu mmoja..?
Kama ni Mungu mmoja kwa nini amruhusu kujichanganya ktk dini mbali mbali..?
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,696
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,696 2,000
Kwa nini duniani kuna dini nyingi.?nini chanzo chake? Dini ipi ni sahihi..? Je ni kweli tunamini/Abudu Mungu mmoja..?
Kama ni Mungu mmoja kwa nini amruhusu kujichanganya ktk dini mbali mbali..?
Mkuu kwanza kabisa unatakiwa ufahamu dini nyingi hakuna dini zipo aina mbili tu. Lakini pili
Unatakiwa ufahamu nini maana ya neno dini:

Dini ni mfumo wa maisha ya kila siku ya mwanadamu,
Na unapozungumzia dini kwa uelewa uliopo ni kuwa dini zipo mbili tu:

1: dini ya nabii Ibrahim
2: dini ya kienyeji au ya kibinafsi

Lakini zote hizi ni mfumo wa maamuzi ya mtu hapo kwenye dini za aina mbili ndio wanatokea magroup haya mawili

Dini ya kwanza ni ya kumuabudu mwenyezi mungu mmoja.

Dini ya pili ni maamuzi ya mtu binafsi kutokana na halmashauri yake ya kichwa ilivyompeleka humo ndipo utakuta watu wanaabudu jua,mwezi,sanamu,ng'ombe,mbuzi n.k

Hadi hapo nimejibu maswali yako mawili

Dini ipi ni sahihi:
Dini sahihi ni ile aliyoiteremsha mwenyezi Mungu pekee kwa ushahidi wa malaika wake,vitabu,mitume wake.

Je ni kweli Mungu ni Mmoja.

Ndio Mwenyezi Mungu ni mmoja kwa maana kama kungekuwa miungu wengi basi kuna siku tungekuwa tunaamka na hapakuchi au tungekuwa tunapaa au tungekuwa tunaona vita za kimungu zinazoendelea lakini sheria ni za Mungu mmoja tu Asiye na mshirika hawa wengine siyo Mungu mkuu ni Kujichanganya kwa ubongo wa watu,

Rakims
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,696
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,696 2,000
Kwa nini duniani kuna dini nyingi.?nini chanzo chake? Dini ipi ni sahihi..? Je ni kweli tunamini/Abudu Mungu mmoja..?
Kama ni Mungu mmoja kwa nini amruhusu kujichanganya ktk dini mbali mbali..?
Pia kuabudu kwa aina hizi mbili za dini ni tofauti ndio maana unaona watu hawajichanganyi kwani dini ya kumuabudu Mwenyezi Mungu mmoja ina mafunzo yake na za kuabudu wengine zinaenda kivyao,

Rakims
 
Vifaa vya mazoezi

Vifaa vya mazoezi

New Member
Joined
Oct 19, 2018
Messages
2
Points
20
Vifaa vya mazoezi

Vifaa vya mazoezi

New Member
Joined Oct 19, 2018
2 20
Habari wanabodi,


Thread hii nimeandaa mahususi kwa ajili ya kujibu na kutoa maelekezo vile nilivyo jaaliwa kuhusu maisha upande wa pili yaani ulimwengu wa kijini kichawi na kimiujiza, ikiwa una swali lolote kuhusu upande huo basi niulize na wanaofahamu zaidi wataweza kuelekeza kupitia Thread hii ikiwa kuna jambo litakuwa gumu basi tutalijadili kwa pamoja,

View attachment 1080884

Rakims
Nikiwa katikati ya Meditation macho yangu huwa yanafumba na kufumbua kwa harakaharaka pasi na mim kuyaamrisha yafanye hivyo na kipindi hicho nakuwa deep kabisa hivyo nashindwa hata kutingisha kiungo chochote kile but nashangaa macho yana twitch yenyewe naomba kufaham zaid kuhusu hii hali mkuu #Rakims
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,696
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,696 2,000
Nikiwa katikati ya Meditation macho yangu huwa yanafumba na kufumbua kwa harakaharaka pasi na mim kuyaamrisha yafanye hivyo na kipindi hicho nakuwa deep kabisa hivyo nashindwa hata kutingisha kiungo chochote kile but nashangaa macho yana twitch yenyewe naomba kufaham zaid kuhusu hii hali mkuu #Rakims
mkuu hapo unatakiwa uendelee kufanyia mazoezi kuna nafasi kubwa sana unaweza kuhisi upo kwenye meditation state lakini ukawa haujafika bado maana kufikia hapo kila kitu kinakuwa tayari kipo chini ya matakwa yako ya utulivu mkuu

Rakims
 
Estenaida Verty

Estenaida Verty

Member
Joined
Apr 18, 2019
Messages
12
Points
45
Estenaida Verty

Estenaida Verty

Member
Joined Apr 18, 2019
12 45
Eti Kila kitu katika maisha yetu kushakadiriwa kufika level fulan? mfano kama umepangiwa kuwa maskin utakuwa tu maskin au ni iman na upotoshwaji?
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,696
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,696 2,000
Eti Kila kitu katika maisha yetu kushakadiriwa kufika level fulan? mfano kama umepangiwa kuwa maskin utakuwa tu maskin au ni iman na upotoshwaji?
ndio ikiwa umeandikiwa kuwa masikini basi utakuwa masikini moja kwa moja lakini katika mafundisho tunajifunza kuwa maombi yako kwa aliyekuumba yanaweza kubadilisha alichokupangia ikiwa utamuomba akubadilishie, lakini kuna mengi ya kumuomba kwanza kabla ya mali mkuu kama utakuwa ni mwenye uwezo mzuri kiakili utajua hilo mkuu

Rakims
 
M

Mkondo wa Nungwi

Member
Joined
Feb 16, 2019
Messages
6
Points
45
M

Mkondo wa Nungwi

Member
Joined Feb 16, 2019
6 45
Ndio niliwahi kuitwa tapeli bila kutapeli mtu, na pia ndio naweza kufanya lolote la kiroho kupitia wewe

Rakims
Kwaiyo wewe ni wakala wa shetani unaingia kwenye roho za watu then unawatesa na kuwahangaisha. Au pengine huko peke yako na ukiangalia haya maradhi ya kishetani ndio yanazidi kila siku.
 
T

TANSIS

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2018
Messages
728
Points
1,000
T

TANSIS

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2018
728 1,000
naomba kujua kaini baada ya kumuua nduguye alipoenda alipata wapi mke wakuoa na kupata watoto?
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,696
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,696 2,000
Kwaiyo wewe ni wakala wa shetani unaingia kwenye roho za watu then unawatesa na kuwahangaisha. Au pengine huko peke yako na ukiangalia haya maradhi ya kishetani ndio yanazidi kila siku.
Kiswahili ni lugha ngumu sana isiyokuwa na msimamo wa maneno yake ndio maana kila siku sentesi mtu akiandika/kuzungumza zinamwagika katika maana mbili tofauti: hasi na chanya.
Wengi wanaokitumia wanafanya kizidi kuwa kigumu kwa maana wanabase sana kwenye maana hasi!

Binafsi sijaelewa huyu mkuu anaongelea nini aliyeelewa anisaidie,

Rakims
 

Forum statistics

Threads 1,293,761
Members 497,728
Posts 31,152,646
Top