Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)

mkuu vipi,kuna mahali alikufa mzee mmoja hivi,inasemekana maiti yake ilikuwa inatoa jasho.hapa wachawi hawakuhusika kweli
 
Habari mkuu hilo tukio liligusa sana roho yak

o jaribu kufuatilia vema kwa karibu utafahamu sababu

Rakims
Sikumbuki jambo lolote kubwa. Na kama ndoto hizi zinauhusiano Na maisha yangu sasa Hivi kua Na vikwazo nifanye nini kuziondoa?
 
Wanataaajudii judi mpooi umu watu wà meditation (reaching meditators states)ebu nimepata wazo nikaaona niwashirikishe ni kwamba tu share experience s tunazo onaa tukiwa kakikati ya meditations mnaonaje?
 
Rejea kwenye thread za meditation

Rakims
 
Rakim...I hope you good.
Ndugu nimeona watu umewajibu kuhusu kuota wako shule na miaka mingi imepita toka wamemaliza.Wengi umewajibu kuwa kuna mtu au kitu kilisumbua roho yake.Na wengine wamejibiwa kuwa wana kuwa hawasongi mbele/au mambo yanaenda taratibu. Binafsi nimemaliza O level zaidi ya miaka kumi na kitu,lakini bado naota Niko form 2 au o level,wakati nimemaliza post graduate.Lakini tukio kubwa nikiliwaza ni la kumpenda binti kwa muda mrefu lakini hakuwahi kunielewa, na hata baada ya kutoka shule kuwa mtu mzima, bado nakuwa namuota japo sio sana kama zamani.Nini cha kufanya...na nini huenda kilitokea?
 
Mkuu, kushinda na kushindwa zoteni amri zake mwenyezi mungu na matakwa yake hasa tukirejea katika mafundisho tunayofundishwa ni kwamba,mwenyezi mungu anamjalia na kumpa amtakae vile atakavyo ikiwa kakuumba wewe ili uwe mwema utakuwa mwema hata ufanye uasi kiasi gani lakini pia ikiwa kakuandikia kubaya basi hata ufanye nini ni kazi bure, lakini siri hiyo anayo mwenyewe ya kumuelekeza mtu wapi aende kwa maana yeye anajua alivyo muumba na atakavyo mlipa, yote hayo ni yake kwa amri yake ndio maana tumekaa kusubiri hukumu zetu katika jela hii tuliomo na mwisho wetu basi
Sasa hapa kwanini tukahukumiwe ukiwa Allah kashaamua wema wetu na ubaya wetu,mimi nikiwa teyari nimeshapangiwa kwenda motoni si nitakuwa napoteza muda kuswali au nikiwa nimepangiwa kwenda peponi si nitakuwa namaliza bure maji kwenye kuratain?
Nalog off
 
Rakim...I hope you good.
Ndugu nimeona watu umewajibu kuhusu kuota wako shule na miaka mingi imepita toka wamemaliza.Wengi umewajibu kuwa kuna mtu au kitu kilisumbua roho yake.Na wengine wamejibiwa kuwa wana kuwa hawasongi mbele/au mambo yanaenda taratibu. Binafsi nimemaliza O level zaidi ya miaka kumi na kitu,lakini bado naota Niko form 2 au o level,wakati nimemaliza post graduate.Lakini tukio kubwa nikiliwaza ni la kumpenda binti kwa muda mrefu lakini hakuwahi kunielewa, na hata baada ya kutoka shule kuwa mtu mzima, bado nakuwa namuota japo sio sana kama zamani.Nini cha kufanya...na nini huenda kilitokea?
Ulishawahi kuamka asubuhi ukawa unaskia nyimbo fulani imekukaa either unaipenda au huipendi lakini imekukaa masaa mengi akilini? Tuanzie hapo

Rakims
 
Back
Top Bottom