Swali lake nimelishindwa

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Habari zenu watanzania wenzangu!!ebana nina rafiki yangu wa kike{wa kawaida},ambae tumezoeana sana,jana kkt mazungumzo yetu akaniuliza hvi,hvi wanaume huwa tunapenda vitumbua vya aina gani,maana boyfriend wake kila wakiwa wana do lazima amsifie kuwa eti ana kitumbua kizuri na kitamu.wadau,vitumbua vina ubora tofauti kwani?
 
Atakayekujibu kuwa ni vitamu au sivyo atakuwa ni mtu ambaye hajatulia,cha msingi ni kutambua kuwa mapenzi ni hisia na kila mtu ana zake kwa mpenzi wake,hivyo sifa anazotoa jamaa yako ni hisia zake tu.
 
Hilo swali ni bora umuulize huyo rafiki yako wa kike,
na yeye aende amuulize huyo mpenzi wake,
alafu arudi akujibu wewe rafiki yake.
 
Mi nadhani kitumbua ni usafi na mapishi ya mpikaji,kama ni hisia tu huwezi,utaona kwa nje upate hisia ila ukija kula ukakuta kina harufu tata na mapishi feki hakika hisia zitaisha na hautorudi tena.
 
kitumbua chenye iriki ndio kitamu zaidi kuliko cha kawaida sawa senetor
 
kaka, noamba uwe makini na swali hilo unaloulizwa
inawezekana huyo dada anakutaka kimapenzi ila anashindwa kukuambia so be very careful usije siku moja ukataka kujua utamu wa hicho kitumbua ulichoambiwa kuwa kinasifiwa na mtu mwingine.
good day bro
 
hahaha!!!unajuaa wanaume wakwaree wasanii sanaa...hata kitumbua kiwee kibaya,hawezi kusemaa unajitumbuaa mbayaaa,ila kwa vile anakiziii haja yake atakusifiaa ili kisho akirudi umpe zaidi ya jana.utamu wa kitumbua anajua mlajii kitumbua.kwako kinakuvutaa chenye iliki na mafutaa bwenaa,mwingine anataka kikavuu kisicho na mafutaa wala hiliki.
 
Back
Top Bottom