lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,550
- 1,987
saafi saana wajumbe, saafi saana mama SS . wajumbe wamekerwa na swali dhaifu lisilostahili kuulizwa kwa kifupi namna ile mfano angetoa ushahidi sehemu ambayo anaona chama kiliandamwa na mwenyekiti alikaa kimya lakini alivyouliza wakati watu wanataka hoja nzito hiyo ndo zawadi yake na salaam kwa waliombabatiza swali la kubebeshwa ghafla ghafla. ndiyo maana Bi SS alitumia nafasi hiyo kumuonyesha yy ni mkongwe ktk siasa na si mropokaji wa kutafuta sifa majukwaani mambo yote huyamaliza kwenye vikao stahili bravo mama mfunde mwana na wapenda sifa wote ndani ya chama