Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
huyu chotara nae si atafute mume amuoe.....anashundana na mapapa ? haya yangu masikio
Huyo aliyeulizwa swali na huyo chotara ameolewa?
huyu chotara nae si atafute mume amuoe.....anashundana na mapapa ? haya yangu masikio
ubaya wa hilo swali uko wapi?
Au ndo ubabe wa sophia tu?
Shyrose Banji mjumbe wa mkutano mkuu umoja wa wanawake Tanzania ambaye pia ni mbunge katika bunge la Afrika Mashariki amenusurika kufukuzwa kwenye mkutano wa kumchagua mwenyekiti mpya wa umoja huo baada ya kumwuliza swali gumu Sofia Simba kama ifuatavyo:
"Wewe ukiwa mwenyekiti wa UWT kwa kipindi cha miaka minne iliyopita hatujawahi kukuona ukisimama jukwaani kutetea Chama."
Wafuasi wa Simba walilipuka kama gas iliyoshika moto kwa kutaka atolewe nje ya ukumbi. Mwenyekiti wa uchaguzi Profesa Tibaijuka alitumia mamlaka yake kumlinda Shyrose Bhanji asitolewe njie kwa vile ni haki yake kumwuliza swali mgombea.
Jibu la Sofia Simba kwa swali la Shyrose lilikuwa jepesi kama ifuatavyo:"Inaonekana aliyeuliza swali hajakomaa katika siasa za nchi, ndio maana ameambulia kuzomewa na wajumbe wa mkutano huu. Habwatuki bungeni au majukwaani kwa vile yeye ni serikali, na hata mbunge wa CCM hapaswi kukikosoa chama chake. Mimi si mithili ya upinzania kukaa na kukiosoa chama napaswa kukitetea. Anayesema Sofia Simba hajafanya kitu anajidanganya kwani wapiga kura wako kwenye matawi, kata, wilaya na mikoa, hao ndio wapiga kura wa chama na mimi kama mwenyekiti wa UWT nilijiimarisha katika ngazi za chini."
Sophia Simba kaeleza wazi "wajumbe...wajumbe huyu muuliza swali kaja juzi juzi hapa tukampa ubunge wa Africa mashariki...hajui kitu huyu, ndiyo maana anauliza hili swali, kwa sababu hajui huku chini kinamama tumefanya mambo mengi, mambo makubwa...."
Pengine Shyrose amesahau kazi ya umoja wa wakinamama wa CCM. Jiulize kwa nini moto uwake kwa swali dogo tena ambalo ndiyo swali 'common' kwa mgombea yeyote duniani anayetetea kiti chake?
Hili swali la Shyrose lingeweza kushangiliwa sana ikiwa lingebadilishwa kidogo na kuwa "utatuhakikishiaje kuwa huku chini wanawake tutafanya kazi kubwa zaidi kama tulivyofanya kipindi cha uongozi wako uliopita?"
Kwani Shyrose hajui kuwa CCM inaimarishwa kuanzia chini, kwenye ngazi ya shina?
Swali limekaa vizuri sana, ila majibu yake yamekaa vibaya sana.Shyrose Banji mjumbe wa mkutano mkuu umoja wa wanawake Tanzania ambaye pia ni mbunge katika bunge la Afrika Mashariki amenusurika kufukuzwa kwenye mkutano wa kumchagua mwenyekiti mpya wa umoja huo baada ya kumwuliza swali gumu Sofia Simba kama ifuatavyo:
"Wewe ukiwa mwenyekiti wa UWT kwa kipindi cha miaka minne iliyopita hatujawahi kukuona ukisimama jukwaani kutetea Chama."
Wafuasi wa Simba walilipuka kama gas iliyoshika moto kwa kutaka atolewe nje ya ukumbi. Mwenyekiti wa uchaguzi Profesa Tibaijuka alitumia mamlaka yake kumlinda Shyrose Bhanji asitolewe njie kwa vile ni haki yake kumwuliza swali mgombea.
Jibu la Sofia Simba kwa swali la Shyrose lilikuwa jepesi kama ifuatavyo:"Inaonekana aliyeuliza swali hajakomaa katika siasa za nchi, ndio maana ameambulia kuzomewa na wajumbe wa mkutano huu. Habwatuki bungeni au majukwaani kwa vile yeye ni serikali, na hata mbunge wa CCM hapaswi kukikosoa chama chake. Mimi si mithili ya upinzania kukaa na kukiosoa chama napaswa kukitetea. Anayesema Sofia Simba hajafanya kitu anajidanganya kwani wapiga kura wako kwenye matawi, kata, wilaya na mikoa, hao ndio wapiga kura wa chama na mimi kama mwenyekiti wa UWT nilijiimarisha katika ngazi za chini."
...Mkuu hata mimi nilisikitika kwa jinsi walivyomshambulia Shyrose utadhani alichouliza hakina maana. Tatizo la wanasiasa wa aina ya akina Sophia ni kujiona wao ndio mwanzo na mwisho kwamba hauguswi na yeyote kitu ambacho si kweli. Kwanza yeye ili kujipambanua na wengine angejibu swali kama alivyoulizwa badala ya kutoa mipasho kuwa Shyrose ni mchanga na hajui siasa za chini ya kapeti sijui ndio zipi? Huyu Sophia nimeona profile yake kwenye thread moja humu kwa maoni yangu hafai kuwa kiongozi. Typically ni muhuni kama mwenyewe alivyoeleza historia ya maisha yake....we mtoto wa kulelewa kwenye nyumba yenye bar ndani unategemea atakuwaje?ubaya wa hilo swali uko wapi?
Au ndo ubabe wa sophia tu?
Mkubwa, hakuna swali hapo!
Shyrose amemwambia Sofia "Wewe ukiwa mwenyekiti wa UWT kwa kipindi cha miaka minne iliyopita hatujawahi kukuona ukisimama jukwaani kutetea Chama."
Hicho ndicho tulichonacho jukwaani hapa.
Swali limekaa vizuri sana, ila majibu yake yamekaa vibaya sana.
"Wewe ukiwa mwenyekiti wa UWT kwa kipindi cha miaka minne iliyopita hatujawahi kukuona ukisimama jukwaani kutetea Chama."
Jibu la Sofia Simba kwa swali la Shyrose lilikuwa jepesi kama ifuatavyo:"Inaonekana aliyeuliza swali hajakomaa katika siasa za nchi, ndio maana ameambulia kuzomewa na wajumbe wa mkutano huu. Habwatuki bungeni au majukwaani kwa vile yeye ni serikali, na hata mbunge wa CCM hapaswi kukikosoa chama chake. Mimi si mithili ya upinzania kukaa na kukiosoa chama napaswa kukitetea. Anayesema Sofia Simba hajafanya kitu anajidanganya kwani wapiga kura wako kwenye matawi, kata, wilaya na mikoa, hao ndio wapiga kura wa chama na mimi kama mwenyekiti wa UWT nilijiimarisha katika ngazi za chini."
Ushindi wa Simba ni ushindi wa Lowassa. Hongera Hon. Lowassa, rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015.