Swali la kizushi kwa Nyani Ngabu.

Swali la kizushi kwa Nyani Ngabu.

Mkuu, ulishasema hapa jf kuwa wewe ni "agnosti".
Sasa naomba kuuliza, is it possible to be "agnostic christian"?
If yes/no why?
Wewe upo upande upi wa agnotism?
Karibu sana.
Kwa asiye fahamu: agnostic ni mtu asiye na hakika na anahisi ni vigumu "kujua" kama mungu yupo/hayupo.
Kwa hiyo agnostic-christian ni mtu asiye na hakika kama mungu yupo ila ni muumini wa ukristo.

Ungetaka rrrraha hili swali ungemuuliza Super star wangu hapa JF comrade Kiranga...
i real like him.
 
Ha ha ha... Huyu ameshawahi kuulizwa na Tiger kama haamini Mungu kwanini huwa anakwenda mara nyingine kanisani,na huwa anajisikiaje anapokuwa kanisani!
Palikuwa hapatoshi hapa!!
 
Last edited by a moderator:

mkubwa hili swali linahusu agnostism na kiranga yeye ni atheist. halafu pia nyani ngabu ndo alosema yeye ni agnostic. kwahiyo hili swali lina mfiti kabisa.so let us wait and see what will come up next.
 
Dah mijadala yake huwa najitahidi kupata utulivu na kumsoma kwa umakini thabiti...
ana logic kuubwa sana, na anasimamia ukweli uliopo.
hajalishwa woga na wakoloni.

Moja ya Quotes nayoikubali toka kwake ni ''ukitaka kupitisha upuuzi wowote ule basi we tumia vitabu vya dini''
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, ulishasema hapa jf kuwa wewe ni "agnostic".
Sasa naomba kuuliza, is it possible to be "agnostic christian"?
If yes/no why?
Wewe upo upande upi wa agnotism?
Karibu sana.
Kwa asiye fahamu: agnostic ni mtu asiye na hakika na anahisi ni vigumu "kujua" kama mungu yupo/hayupo.
Kwa hiyo agnostic-christian ni mtu asiye na hakika kama mungu yupo/hayupo ila ni muumini wa ukristo.

Yes, I am an agnostic. An empirical agnostic to be precise.

For my money, this is the most reasonable position to take as far as the knowledge (about the existence of god) that we humans have.

Agnostic christians kwangu mimi ni an oxymoron. Ni kama deafening silence. It doesn't make any logical sense.

A christian is a person who believes in the teachings of Jesus Christ. An agnostic is a person who does not have a definite belief about whether god exists or not.

So how can one be an agnostic christian? That you don't have a definite belief about god's existence but you believe in the teachings of Jesus Christ, son of god, who in essence, is supposed to be god himself.

What sense does that make? None!
 
Mh....... We Nyani Ngabu wengine kiinglish sifuri ..... Hebu jibu kwa kiswahili bana
 
Last edited by a moderator:
Yes, I am an agnostic. An empirical agnostic to be precise.

For my money, this is the most reasonable position to take as far as the knowledge (about the existence of god) that we humans have.

Agnostic christians kwangu mimi ni an oxymoron. Ni kama deafening silence. It doesn't make any logical sense.

A christian is a person who believes in the teachings of Jesus Christ. An agnostic is a person who does not have a definite belief about whether god exists or not.

So how can one be an agnostic christian? That you don't have a definite belief about god's existence but you believe in the teachings of Jesus Christ, son of god, who in essence, is supposed to be god himself.

What sense does that make? None!

Bahati mbaya/nzuri ulichokisema ndiyo hasa nilikuwa nakifikiria.
Any way, ntarudi baadaye, but to make the matter more interesting when possible, tumia kiswahili kama wadau wanavyo suggest.
 
Unataka kusema nini Nyani Ngabu,kwamba 'you are either with us or you are against us' kwa kumnukuu gw bush?
 
Last edited by a moderator:
Bahati mbaya/nzuri ulichokisema ndiyo hasa nilikuwa nakifikiria.
Any way, ntarudi baadaye, but to make the matter more interesting when possible, tumia kiswahili kama wadau wanavyo suggest.

Kiswahili atajua wapi mtoto wa diplomat Nyani Ngabu? Unajua ile inaitwa 'born with a silver spoon'?
 
Last edited by a moderator:
Kiswahili atajua wapi mtoto wa diplomat Nyani Ngabu? Unajua ile inaitwa 'born with a silver spoon'?

Hiyo kauli nadhani nimekutana nayo kwa mara ya kwanza kwenye lyrics za 2pac japo sikumbuki wimbo.
Kweli huwa nakuwa so emotinal when compering my self to those born with silver spoon mdomoni.
 
Last edited by a moderator:
You are going to die!

Mkuu NN, kuna jamaa yangu anasema hata kama una imani kiasi gani, deep down in your mind lazima utakuwa na mashaka juu ya uwepo wa mungu.
Hebu toa maoni yako juu ya hilo.
Naamini atasoma hii post ila hataki kuja kujisemea mwenyewe kwakuwa eti hayuko kwenye mood.
Si mwingine ni pandora.
 
Si mwingine ni Pandora.

Imani ni jambo la binafsi sana na kwa vile imani si kitu kinachoweza kuonekana, kushikika, kunuswa, kusikika, au kuonjeka, ni vigumu sana kujua kina cha imani ya mtu.

Ni mtu mmoja mmoja tu, kwa maana ya yeye kama yeye ndiyo anaweza kusema imani au mashaka yake juu ya uwepo wa mungu ni kiasi gani.

Kwa mfano, mimi siwezi kujua kina cha imani ya Papa Francis juu ya uwepo wa mungu. Wewe unaweza?
 
mkubwa hili swali linahusu agnostism na kiranga yeye ni atheist. halafu pia nyani ngabu ndo alosema yeye ni agnostic. kwahiyo hili swali lina mfiti kabisa.so let us wait and see what will come up next.

njoo bana ujitete mwenyewe a.k.a christian agnostic.
 
Back
Top Bottom