The Boss ni kweli unalosema has aukikumbuka kwamba mtoto mjeuri ni mzigo wa mamaye bali mtoto mwenye hekima ni fahari ya baba yake. maisha yana changamoto sna waalim wa wanetu si wazazi na waalim tu bali kuna mwl dunia huyu ana nguvu kuliko mwl na mzazi na nguvu yake inaushwishi wa hali ya juu.wanasema kuzaa sio kazi, kazi kulea
The Boss ni kweli unalosema has aukikumbuka kwamba mtoto mjeuri ni mzigo wa mamaye bali mtoto mwenye hekima ni fahari ya baba yake. maisha yana changamoto sna waalim wa wanetu si wazazi na waalim tu bali kuna mwl dunia huyu ana nguvu kuliko mwl na mzazi na nguvu yake inaushwishi wa hali ya juu.
ni ngumu sana kushindana na mwl dunia usipokuwa mtu wa maombi na ambaye ni mfano pia usipokuwa rafiki wa mwanao.
familia ikimuweka mungu mbele
mengi magumu yanakuwa mepesi..
ila tuongeee habari ya watoto tumalize!hivi hapa mauser wa hii thread naona wengi ni wanandoa!kulikoni mpka sa hivi mko JF?
i for one sipo nyumbani
wengine?
Hii sadaka ya kupanda kama mbegu ndio inakuaje? DESI??ni kweli kabisa boss.
halafu kuna jambo ambalo wengi wetu ni wavivu kulifanya nalo ni kuwaombea watoto kwa kufunga na kuwapandia sadaka ya mbegu. ingawa sijui ibilisi hujua nguvu ya sadaka hii na kwakua anapenda akushinde basi anakupa uvivu yaani nashindwaga kujua kwann wengi wetu tu wavivu wa sadaka za kupanda kwaajili ya watoto wetu.
ni vizuri sana baba na mama wakajijengea utaratibu huu wataona matunda yake
tukalale jamani!mwenzenu mie ah sina kesi!hata gfsonwin nae hana kesi !we Elizabeth Dominick? Angel Msoffe na nyie wageni wa kudumu!hebu tulale jamani!Hahahahahahahah,
Halafu majukumu yenu mmemwachia nani?
Kazi kweli kweli....Hii JF siku nyingine itatufikisha kwa washenga..
Babu DC!!
Hii sadaka ya kupanda kama mbegu ndio inakuaje? DESI??
sio rahisi hivo bana!
we ulikuwa unaweza?
sio ulikuwa unatupa mawe juu ya bati wewe?uliwahi kwenda kwao na kumuulizia?
ila kama nikihakikisha binti keshaanza kuliwa kabisa, najua hawezi kuacha, nitamhamasisha atumie ndomu kwa kwenda mbele.
Sitaki kuzika mwanangu aisee, hasa akiwa mdogo let say 17 kisa miwaya ama katoa mimba.
Na nitakuwa wazi, akipata mimba sehemu salama ya kusemea ni kwangu hata kabla ya kumweleza bazazi wake.
Afu mie nadhani mwanagu akianza mapema, nitamtafutia kabisa mtu nayeona anamfaa hadi atakapokua na kuamua kujichagulia wake.
Hiv at 17? God forbid oooh!
Umenena vyema kuhusu tabia ya mama especially. Hata kama mama alikosea its ok kuongea na binti na kumuambia majuto yako. Lakini kuwa na open communication na loving family inasaidia sana, mtoto hahitaji upendo wa maamuma. Openness ni pamoja na kuongelea kuhusu mimba na stds, i guess bila kushauri kuhusu kinga zake na family planning. Ni muhimu kuongelea how i miss being a kid, like waking up and only have to face a maths test rather than all these responsibilities.
Nomaaaaaa!!! Halafu Wazazi wengi huruhusu wavulana walete maGF wao nyumbani lakini thubutu binti afanye hivyo!!! atajuuuuuuuuta!!!....mfumo dume ulivyoshamiri.
Ndo maana wewe ni komando!
Yaani huogopi namba a.k.a maths?
Ila tuache utani, haya ni mambo mazito sana.
hahaha, babu acha hizo banaa. mie enzi hizo nilikuwa najua hata nikifeli if it ever happens, kwani watanichinja? nilipojitutumua haswa na kuhama nyumbani bila approval ya mdingi, nikamuuliza baba na mama; mliwezaje kuweka ugali mezani kila siku, day in day out??? Namaanisha nitamuonyesha mwanangu kuwa kama unadhani inabidi utembee na mwalimu au mkaka mkali class ili upate kufaulu, ngoja udakishwe mimba au ukimwi ndo utajua maharage ni mboga ya serikali.
sidhani kama ni magumu kiasi hicho, mie sipati ugumu kuongea na watoto labda kwa sababu sijawa nao bado. lakini kama mamangu aliweza, na ilinisaidia haswaa, sioni kwa nini nishindwe.
hahaha, babu acha hizo banaa. mie enzi hizo nilikuwa najua hata nikifeli if it ever happens, kwani watanichinja? nilipojitutumua haswa na kuhama nyumbani bila approval ya mdingi, nikamuuliza baba na mama; mliwezaje kuweka ugali mezani kila siku, day in day out??? Namaanisha nitamuonyesha mwanangu kuwa kama unadhani inabidi utembee na mwalimu au mkaka mkali class ili upate kufaulu, ngoja udakishwe mimba au ukimwi ndo utajua maharage ni mboga ya serikali.
sidhani kama ni magumu kiasi hicho, mie sipati ugumu kuongea na watoto labda kwa sababu sijawa nao bado. lakini kama mamangu aliweza, na ilinisaidia haswaa, sioni kwa nini nishindwe.
Kongosho umenikumbusha jambo hapa, juu ya curriculum za watoto wa kileo. i do remember i also participated in curriculum development ya lower classes ambayo iko sokoni kwa sasa. nakumbuka tukiwa kwenye ile panel tulipata utata sana wa kwann tuinvolve ishu za kuujua mwili wako kwa watoto wadogo, na habari za magonjwa hasa ya ukimwi nk.Sio ngumu kabisa kuongea na mtoto wako mwenyewe
Ila tunachojisahau ni lini uanze kuongea naye
Wengine wanadhani ni pale anapoanza balehe, wengine pale anapoonekana kutaka kuanza mahusiano, wengine pale anapoanza mahusiano.
Bahati mbaya ama nzuri, mtoto alinishangaza akiwa na miaka 3.5, kidogo nipanic
Nikaenda kulala kwanza kuficha hamaki usoni, baadae nikaanza kumuuliza anieleze kwa kirefu
Basi kuanzia siku hiyo anapokea darasa mara kwa mara kwa dozi ndogo ndogo
Afu na shule za kisasa, daraa la kwanza, mtoto anafundishwa mambo meengi, inabidi mzazi uende na mtaala wa mtoto pia.
SIoni mantiki ya kuongea na mtoto kuhusu std akiwa 12, wakati alifundishwa hayo akiwa 7 shuleni, hapa ndio unajikuta mtoto anakupiga lecture, afu mzazi unaonekana huna jipya.
Wakati unasubiri mwanao afike 12 ndio uanze kuongea naye, unakuta dunia ishamfundisha mengi mno
watoto wenyewe tunawaacha na ndugu mara hausi gelo, kumbe hausi gelo ana kibuzi ki shamba boy cha jirani
Wao wanaongea kila kitu mbele ya mtoto wakidhani hasikii ama haelewi
HAKUNA KITU NAKIHOFIA KWA BINTI ZANGU KAMA USICHANA! MI HUONGEA NAYE SANA, KUHUSU UKIMWI, STD'S NA MIMBA! HUMWAMBIA MADHARA YA VYOTEEEEEEE! NA LA KWANZA KABISA HUMWAMBIA UTANIFICHA MIMI LAKINI MUNGU ALIYE SIRINI ANAONA! NIMEJENGA KUMUOGOPA MUMGU KUPITA MAELEZO,
Na lazima kusali, kwenda kanisani na kukaa kwa heshima wakati wa ibada, kusali rosary ye na wadogo zake kila jioni, sunday skul ni lazima si ombi, hasa kipindi cha malezi ya vijana, huwa nampeleka dad yake anamrudia!! na huwa 'DAD WAKE HUMWAMBIA HAKUNA MWANAUME ATAKUPENDA HAPA DUNIANI ZAIDI YANGU!'
WAKIKWAMBIA WEWE NI MZURI, mwambie dad yangu aliuona uzuri wangu kitamboooooooooooo!! NA TUMEMWAMBIA NO KUZINI AU KUFANYA KITU CHOCHOTE CHA WAKUBWA KABLA YA KUOLEWA! BE PROUD KUWA A VIRGIN, BEAUTIFUL, BRIGHT YOUNG LADY! MTU WAKO WA KWANZA KUKUGUSA AWE MUMEO, PERIOD!
NAJUA anaweza kuanza kabla tunalitambua hilo, lakini TUNAJITAHIDI KUWEKA MAZINGIRA YA KWAMBA HAKUNA KUANZA KABLA, Tena dad wake humtolea mfano kuwa mimi na yeye tulioana ndiyo mambo mengine yakafuata baada ya KUPATA DEGREE!! SO KWANZA FIGHT KUSOMA KWA BIDII, UFIKE UNIVERSITY, UPATE DEGREE NDIYO UANZE KUWAZA HAYO MAMBO MENGINE!!
Jmani wazazi wenzangu, TALKING TO THEM IS VERY IMPORTANT, SIO ONCE IN A YEAR, HAPANA!! Kila upatapo nafasi na watoto wako, have a talk with them!!!
MUNGU WETU AWALINDE WATOTO WETU NA KUTUKUZIA, amen!