Swali kwa wanawake

Mimi ni jinsia Me.
Mtoa mada umenikumbusha kwenye machimbo kipindi hicho pesa imekata, tulikuwa tunapika ugali, kabla haujaiva tunachukua yale maji(uji) ndio yanakuwa mboga, tunalia na ugali. Hicho chakula kinaitwa sisi kwa sisi.

Aisee noma sana hiyo.
 
Duh buku? Mchele robo kilo.. 500? ule wa bei rahisi..viazi mbatata viwili 200.. mafuta kikoroboi kidogo..kitunguu kimoja..
Pilau ya kuunguza kitunguu na kiazi humohumo.. tena inanukiaaa

Mkaa ulinunuliwa jana umebaki
Huyu ni mke kabisa ..wadau changamkieni fursa
 
Back
Top Bottom