Swali kwa wanawake wote hapa...

Swali kwa wanawake wote hapa...

Niongezee: uzuri elimu ninayo,siku akipata matatizo ntatafta kazi,..so hyo free lunch ya mume nakuwa full time student ,masters,ma'cpa,cfa nk....#secrectly praying Mungu anipe huyo mume,niwe napiga vacation tuu,ila the kuumwa part naogopaa..

Mume wa hivyo cjui kama atakubali utoe mguu apo ndani ata sokoni hatataka uende.Mume wa hivyo ni mzigo sana labda anikabizi atm na pasword nahata akikuta nimetoa zooote asiulize maana itakua shda
 
Uyu jamaa hafai, tunafanya kazi sio kwa sababu tunamahitaji. Ila tunafanya kazi kwa sababu mbalimbali , moja ni kwa sababu tunaujuzi ambao unaweza kufanya kitu ktk jamii. Na tunajisikia vizuri pale tunapo ona mchango wetu unaheshimika ktk jamii.

Angalau nimepata majibu mazuri
kiasi

Nakuuliza swali
Kwani ujuzi ni hadi uheshimike ili ujisikie vyema?
Kama ukifanya hiyo kazi na usipoheshimika??
 
Mume wa hivyo cjui kama atakubali utoe mguu apo ndani ata sokoni hatataka uende.Mume wa hivyo ni mzigo sana labda anikabizi atm na pasword nahata akikuta nimetoa zooote asiulize maana itakua shda
Ni mzigo kivipi?
Unajua maana ya mzigo?

Unataka utoe hela zote za nini??
 
Una matatizo wewe yani ni wazi umesoma nilicho kiandika lakini haujaelewa nimeeleza kilicho mfanya jamaa amkatalie kufanya kazi mkewe au we ulitaka maelezo ya aina gani iwe rahisi kwako kuelewa?

Jini ni kitu gani mpaka unakitukuza na kukifanya kionekane kujua mawazo ya kile mtu anachokiwaza?

Kuto kuelewa kwako sio tatizo langu ndo ujiulize kwanini unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hiyo?
Ukizidiwa sana uliulize nikueleweshe make kuuliza sio ujinga
Ujinga ni kusoma kitu unashindwa kukielewa ukakaa kimya!

Ulimanisha nini katika swali lako kutumia (nani)
au nani we unaitumia kwa vitu kama vipi? We unadhani sample ni mpaka wawe watu wangapi au lugha ni ngumu?
Kuassume sio tatizo ila kuwa shemeji ndo kazi!
Kiloriti inahusiana nini na maelezo yangu?

Huyu MNasai anapenda sana ligi ngoja nimuache na ndoto zake !
 
Mbona amsha amsha kibao haya nimekuja!
Ila nina swali utaweza kufua nguo wewe au mpaka ninunue machine??

hehhe,mwanaume wangu hadi una'DARE kuniambia niache kazii,si tayari tuna ghorofa,verossa,range nk,plus my nails znajua mani and pedicure tuuu,kufua tena kutokee wapyyy,either beki3 au mimi but kwa WASHING MACHINE,huwez kununua niache nirudi mzigoni,
 
Bado hujasema ni kwanini utahitaji kazi ......!!!!!!!!!

kwanza sipendi na nnamini sikuumbwa kua tegemezi hasa kwa mwanaume
pili nahtaji kazi ili kusaidia msukumo wa maendeleo kwetu sote
tatu sijui nini kitampata kesho means cjui wht will happen 2 hm.
 
Mume wa hivyo cjui kama atakubali utoe mguu apo ndani ata sokoni hatataka uende.Mume wa hivyo ni mzigo sana labda anikabizi atm na pasword nahata akikuta nimetoa zooote asiulize maana itakua shda

hakivile kwa life la utafutaji nlilonalo,nimpate wa hivo NAKAA,NATUMIA HELA AKE,akinichosha na visheria vyake nampa live asinipe hata sh 10,af aone km sitaishi mjini hapa,mana isiwe sheeda
 
kwanza sipendi na nnamini sikuumbwa kua tegemezi hasa kwa mwanaume
Unaweza kuwa hupendi kunya lakini haimaanishi kitendo cha kutopenda kinauondoa ukweli kuwa lazima utakunya tu
Unaweza kuamnini chochote kile,unaweza kuamini hata Mlima Kilimanjaro uko kijijini kwenu Manyovu
Lakini hiyo haimaanishi kuwa ni kweli

Kama unaamini umeumbwa basi utakuwa wewe ni muumini wa dini mojawapo kati ya Uisla au Ukristo
Dini zote hizo zinasema mwanamke hana ruhusa ya kufanya kazi

Wewe una maana gani unaposema mwanamke hajaumbwa kuwa tegemezi?
pili nahtaji kazi ili kusaidia msukumo wa maendeleo kwetu sote
Huo msaada nano kakuambia unahitajika?
tatu sijui nini kitampata kesho means cjui wht will happen 2 hm.
Wewe unajua nini kitakupata kesho?

Ukijua utakufa kesho utatafuta kazi?
 
hakivile kwa life la utafutaji nlilonalo,nimpate wa hivo NAKAA,NATUMIA HELA AKE,akinichosha na visheria vyake nampa live asinipe hata sh 10,af aone km sitaishi mjini hapa,mana isiwe sheeda

Sasa umeanza kuonesha rangi zako halisi!!
 
Ni mzigo kivipi?
Unajua maana ya mzigo?

Unataka utoe hela zote za nini??

nisitoe hela kwani mahitaji huwa yanaisha??si anaona anazo,I WILL WANT A LAVISH LIFE,full mavituu,na ntazigawa kwa watu,ndugu zangu,watoto yatima nk...mbona ataniomba nirudi kazini mwenyewe mana hayo matumizi bab k yatamchosha,awe billionaire ataluwa millionaire,lakionnaire nk
 
Sasa umeanza kuonesha rangi zako halisi!!

cz nipe hela fine,but make my life easy as well,habari nna range rover af siliendeshi ndo nini,..there are a lot of things to do in life apart frm kukaa home na kuajiriwa
 
nisitoe hela kwani mahitaji huwa yanaisha??si anaona anazo,I WILL WANT A LAVISH LIFE,full mavituu,na ntazigawa kwa watu,ndugu zangu,watoto yatima nk...mbona ataniomba nirudi kazini mwenyewe mana hayo matumizi bab k yatamchosha,awe billionaire ataluwa millionaire,lakionnaire nk

Umenisikitisha sana ..........
 
cz nipe hela fine,but make my life easy as well,habari nna range rover af siliendeshi ndo nini,..there are a lot of things to do in life apart frm kukaa home na kuajiriwa

Una fikiria kwa namna ya ajabu sana
Nazidi kukushangaa .........!!!!!!!!!!!!
 
hakivile kwa life la utafutaji nlilonalo,nimpate wa hivo NAKAA,NATUMIA HELA AKE,akinichosha na visheria vyake nampa live asinipe hata sh 10,af aone km sitaishi mjini hapa,mana isiwe sheeda

mkuu Eiyer hivi umeniambia nipitie nisome tu nitagundua kitu sio?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom