Swali kwa wanawake wote hapa...

Swali kwa wanawake wote hapa...

kasome vzuri maandiko kama unaweza mithali 31 inaeleza vzur pia kua mwanamke ni nani ni kwel anapaswa kuongozwa ila haimaanish kua asifanye kaz
 
kasome vzuri maandiko kama unaweza mithali 31 inaeleza vzur pia kua mwanamke ni nani ni kwel anapaswa kuongozwa ila haimaanish kua asifanye kaz

Hpo kwenye Mithali pameandikwaje??
 
Hpo kwenye Mithali pameandikwaje??

nachkua mistari michache ni kwamba mke mwema hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo,huangalia shamba akalinunua kwa mapato ya mikono yake machache hayo haya bila kaz utanunua shamba
 
Hebu bashiri ni nini kwanza
Ukikosea nitakusahihisha

Are you sure?

Its your heart. Because I know am the one who rules.


Yes am sure. Plus men are assholes, he could fall into the arms of another. Pride wont let me take him back so let me earn my own cents, for a rainy day.
 
Ningemuomba aniruhusu nitafte kazi kwa sababu nimepona na uwezo Wa Ku work ninao. Sababu kubwa ni kwamba wakati ninaumwa yeye aliweza kunipa support kwa vile alikuwa ana kazi au biashara au chochote cha kumuingizia kipato. What if someday yeye augue for a year kama Mimi? How will I support him wakati sina kazi wala any source of income?
 
Una fikiria kwa namna ya ajabu sana
Nazidi kukushangaa .........!!!!!!!!!!!!

TS OBVIOUS,HATUWEZI FANANA MAWAZO,ht tuwe mapacha,..mke wa Bill Gates anafanya kazi,sembuse miyee...kw jeuri ipi ya fwedha ulonayoo...na ht km unayo kwani mi makochi nishinde ndanii??!
 
Kwa kweli mimi ningefurahi sana kuambiwa hivyo kwa sababu ingemaanisha kuwa napata muda zaidi wa kuhudumia familia kama Mama.
Kitu pekee ambacho kingenisumbua ni "Hofu ya kesho"!
 
Its your heart. Because I know am the one who rules.
Kudadadeki ....
Una akili sana wewe
Nafurahi umejua ukweli
Yes am sure. Plus men are assholes,
What??
he could fall into the arms of another.
Why this assuming?
Pride wont let me take him back so let me earn my own cents, for a rainy day.
Do you think money is the only thing women need from men?
 
Kwa kweli mimi ningefurahi sana kuambiwa hivyo kwa sababu ingemaanisha kuwa napata muda zaidi wa kuhudumia familia kama Mama.
Kitu pekee ambacho kingenisumbua ni "Hofu ya kesho"!
Umejibu vyema sana

Lakini hapo kwenye hofu ya kesho ndipo penye tatizo

Ukiwa na kazi kesho haikusumbui??
 
TS OBVIOUS,HATUWEZI FANANA MAWAZO,
I didn't say that either
ht tuwe mapacha,..
I know
mke wa Bill Gates anafanya kazi,sembuse miyee...
Huyo mke wa Bill Gates akijinyea je?
Nawe utajinyea?
kw jeuri ipi ya fwedha ulonayoo...
Unajua kitu kinachoitwa hitaji?
na ht km unayo kwani mi makochi nishinde ndanii??!
Kauli hizi nikizisikia kwa mwanamke hata kama kesho nilikua namuoa naacha

Siachi kumuoa kwa sababu anataka kufanya kazi
Naacha kwasababu hii aina ya kufikiri ni ya ajabu sana
Haifai kabisa!!
 
Kumbe we EIYER NI MUHUNI?

Uhuni ni nini?

Hata kama kuna uhuni
Nani muhuni kati yangu mimi na wewe nani muhuni?

Ni yule anaesema kuwa anaesema mtu ni mchawi bila hata kuwa na ushahidi au ni yule anaekemea watu kusema hovyo mambo?
 
tayari.....yaani picha nimeliona kama lilivyo

Safi kabisa mkuu

Unajua mkuu najaribu kuuliza maswali ambayo yataweza kutuonesha kama hawa watu wanajua wanachokifanya ama wanafanya ki mkumbo tu

Majubu yanaendelea kumiminika sana!
 
Anayamudu yote hayo ........!!!!!

mmh si kweli mbali na kila kitu anachonifanyia lazma niwe na pexa yangu hzi pesa za kutoka mifukon mwa watu mmh hatari tupu
 
hapa hapa hadharani mkuu,

Haya twende kazi
Unafanya hizi
Kila sentensi unayotaka kuquote mwanzo unaweka hivi
hapa katika inakuwepo hiyo sentensi (Mwisho wa sentensi unaweka hivi)[/QUOTE.] hapa...... ndo unaandika unachotaka kukijibu baadaya kuweka hizo alama kwenye sentesi ya muhusika.

Mfano
(
Hapa hapa hadharani mkuu[/QUOTE.] hadharani maana yake nini )

Hiyo ya katika ni sentensi yako.
Hiyo ya mbele baada ya quote ndo jibu langu.

NB
Hakikisha neno QUOTE linakuwa kwa herufi kubwa
Huo mfano wa mwisho nimeweka ( hiyo alama ili isije ikajikoti ukashindwa kunielewa ila haihusiki
Kinacho husika ni hizi[ ] tu
Kama utakuwa umelielewa jaribu kwa kuniquote
Na kama haujanielewa niambie ni wapi?
Kuna alama nimeona hazijatokea baada ya kupost
Iko hivi
Koute ya kwanza lazima iwe na alama ya =
baada ya kuandika neno QUOTE= Kisha ndo unaweka hizi[ ]
 
Back
Top Bottom