Swali kwa wanawake wote hapa...

Swali kwa wanawake wote hapa...

Ni makosa makubwa kufanya jambo kwa sababu mtu alikufanyia jambo fulani
Huo ni utumwa

Bado hairidhishi

Kungekuwa kumetokea?

Kwanini unataka kufanya kazi?

Habari ya jioni ni njema tu
Shemeji hajambo?

Ukimuona Paloma mwambie ile chibuku yake aliyoisahau kwa mama muuza juzi akaichukue ....lol!!
Eiyer nimeshaiendea! kaiongezea na chupa nyingine hivyo upitie pale ukalipe.

mie nsiopenda kufanya kazi...........ningefurahijeeee! ila kuna vitu ningemshauri avifanye ili in case anatangulia mbele ya haki vingebaki kuwa vinaniingizia kipato. si ndo maana kuna sehemu ya kujaza beneficiaries details!
ila mhh nadhani ningeanza kufanya kamradi........huku nambembeleza kwa maneno fln hiv!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nisingekubaliana na hilo,kwasababu maisha ni kusaidiana hakuna aijuae kesho,bora tukajishughulisha sote ili kipato chetu kiongezeke
 
Kinacho sumbua wanaume wa hivyo ni wivu hakuna zaidi!
Me kuna jamaa yangu hataki kusikia mkewe akimwambia habari ya kazi, chaajabu mwanamke ana bahati na kazi mara kadhaa amekuwa akijaribu kutuma maombi anaitwa kwenda kuanza kazi kivumbi na jasho ni pale jamaa anapo ambiwa na mkewe hizo habari za kazi...majibu yake ni yale yale ya unakosa nini!!
Kinacho nipa burudani zaidi kwa jaama ni kwamba cm ya mke wake kaiwekea passwd sehemu ya massage halafu mke wake hazijui kwa hiyo jamaa ndo huwa anaifungua anazisoma kwanza anapo hitaji!...Nikadungua huyo anaangaishwa na wivu!

dah
aiseeeee, ndoa zina mambo
wivu gani ss huo jamani!!

lol natamani ningekuwa mi na hyo bahati ya kupata kazi,nahangaika kutw kafuta kazi na sipati
kweli upele humpata asiye na kucha
 
Ningemuambia MCHAWI MKUBWA wewe, uliniroga niumwe ili niache kazi, ulinichezea picha na kuniteka kiaina.
Ningetafuta kazi na kumtangazia uchawi kwa jamaa zangu.

Hahahaa haaaa uwiii
ww somoe, umenichekesha
 
dah
aiseeeee, ndoa zina mambo
wivu gani ss huo jamani!!

lol natamani ningekuwa mi na hyo bahati ya kupata kazi,nahangaika kutw kafuta kazi na sipati
kweli upele humpata asiye na kucha

vp mkuu upo naona umetuliaaa. Habar za masiku?
 
Haya matatizo wanawake wengi yanawakuta cha muhimu ni kujitahidi kuongea nae nakumuelewesha maisha ya sasa hivi lazima msaidiane.
 
mmmmh Eiyer

Future ni nini?
Niliposem future i mean kuna maisha yanaendelea na familia kukua hasa kupata watoto,ishu za maendeleo,Kusomesha,kujenga nk.naamin huby wangu hyo ananipendana maisha hayana formular jaman.pesa makaratasi hasara roho sasa ikitokea kakosa kazi au kuumwa na mmi ndo kukaa hme always kukata nyanya na vtunguu citutakula nyasi??pia elewa citkuwa huru always kukuomba hela hata kama nataka kukununulia zawadi nikuombe pesa?

A wana feel shy always to depend on you mapenz yanaleta raha siku nami nakimfanyia suprize like zawadi,nguo,out na kusaidia kulipa bill zamaji,umeme,hta kukunua vyombo vya ndani...hubby yye afanye mambo makubwa yakunnua asset,ada za watoto nk

Kulea wana ni challenge tosha kwa mwanamke anaejua umuhimu wa kulea na hatua zamalezi

Kwanini uone kufanya kazi ndio kutakuwa ni salama ya baadae??

Its true 100% ni kazi kubwa kulea watoto wawe na maadilimema ya kumchaMUNGU muumba wao na piamasomo.mama ndiye mwenye jukumu la kujenga or kubomoafamilia hata bibliayasema hayo,ningefanya hiyo simple bsness yangu mfano mradiwa kuku wa nyamaplus mayai I know ningekuwa na msaidizi wa kunisaidiakuwalisha…… wen a wake up early in the morning ningeandaa heavy breakfast,watoto kwenda shule package zao na huby aende kazin wakiondoka naminafanya zangu usafi then naenda kucheki ishu zangun za mradi …mchana watotowakirudi ntakuwa nipo hme kukagua madaftari,malezi,and other stuff as mother of family.
 
Ningetulia tuli nikawa tu nampetipeti akitoka kazini, ila ningependa niwe nasoma ili niwe busy, kisa cha kugombana nae bila sababu ya nini lol!!!!!!!!!
 
maisha ni mzunguko leo unacho kesho huna na pia ni kusaidiana huyo jamaa nae akakosa kazi wote wakabaki nyumban watayaendeshaje maisha?au huyo jamaa bosi kwhyo anauhakika?
 
Hhaaa yaan ningekaaa tu mie nalea watoto ila kwa sharti kila mwezi aniwekee pesa kwenye akaunt yangu pesa yenye ujazo maana ni jeuri wa kuona waliokusomesha hawana maana,na ndugu zangu wakipata shida awasaidieee ni hayo tu
 
Hata kama, lazma nifanye kazi...akirudisha jezi nani atanipa hizo raha tena?
 
Back
Top Bottom