Sasa iliyongumu ni ipi hapo??
kuamua kaka,,yani ndoa naipena,mume nampenda tena sana,halafu kazi nzuri pia....lakini kuna leo na kesho kwasababu siku hazigandi ikiokea yalonitokea mimi kwake ilhali sina kazi si itakua majanga....HAPANA! tutakaa chini tutaongea umuhimu wa mimi pia kuwa na kazi kutokana na mabadiliko ya nchi kila iitwapo leo.