Swali kwa wanawake wote hapa...

Swali kwa wanawake wote hapa...

Unayajua ya baadae?

Huo upande uloamkia haufai kabisa nimesoma comment zako zote hope ua not that negative kw mwanamke kutokufanya kazi kisa anapewa kila kitu
????????????
 
ahahahahhaha mi unafkir napenda kufanya kazi!
akaunti yangu iwe na shekeli za kutosha!
nikitaka tu kiasi chochote nachomoa tu!sio ile ya nna shda na kitu flani... subiri nikirudi!ah hiyo staki!
hehehhheheh najiklia t home!
nipake hinna na nivae lesswig zangu mie!
mifolen alfajir nataka sasa?
 
Eiyer, sababu kubwa ya kufanya kazi ni ili tuweze kupata mahitaji yetu ya mmuhimu, sasa kama mume anaweza kuprovide kwanini nijihangaishe!!! ningekuwa mke wa huyo jamaa ningetulia kwa sababu mume anaweza kuhudumia
 
Last edited by a moderator:
ahahahahhaha mi unafkir napenda kufanya kazi!
akaunti yangu iwe na shekeli za kutosha!
nikitaka tu kiasi chochote nachomoa tu!sio ile ya nna shda na kitu flani... subiri nikirudi!ah hiyo staki!
hehehhheheh najiklia t home!
nipake hinna na nivae lesswig zangu mie!
mifolen alfajir nataka sasa?

umeona eeeeh!!! hata mie nisingejichosha kwakweli, tena ningepata muda mzuri wa kulea watoto.
 
Kwa uelewa wangu mdogo nilionao hata kama account yangu imejaa hela kila ninachohitaji kwa pesa napata bado haitanifanya kukaa tu nyumbani. Mbali na kwamba nikuongeza kipato lakini pia kazi ama biashara hunichangamsha kiafya na kiakili zaidi mana nitapata changamoto zaidi na kwenye changamoto hunisaidia kuimarika.
 
Aisee hii ni kama ilivyotokea kwangu kasoro mimi sikuenda kutibiwa nje, mm nilichofanya coz my hubby ni mfanyabiashara nikamwmbia kukaa home itakuwa ngumu nikamwambia tutakomaa wote kny biashara na akanielewa nashukuru Mungu we are doing better kuliko vile alivykuwa mwenyewe na vijana wake wa kaz tu sbb pia walikuwa wanamwibia sana na tumegawana majukumu, pia katika biashara zetu tunadil na vitu viwili tofaut kila mtu na biashara yake lakini mwisho wa siku tuko pamoja, life goes on, no hamu tena ya kuajiriwa ila Mungu akipenda nataka niongeze elimu hasa ya biashara coz mwanzon field yangu ilikuwa ni science
 
Ntakubali sawa ila anilipe mshahara yeye....yani anipe exactly figure ya wanaolipwa wenzangu kazini...tena adeposit bank...yani nisome miaka yote 20 halafu niishie kukaa home...jamaniii
 
hahahaaa!!! mambo vipi mkuu? imebidi kwanza nitabasam, mana jana nilibambika sana nilipojaribu kufanya lile zoezi.

Poa..!
Usijali mkuu mwanzo mgumu ila ukikaza unaweza tu. Vipi tuendelee au ukorikizo???
 
Back
Top Bottom