Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
- Thread starter
- #141
Una uhakika kama ataugua?Ningemuomba aniruhusu nitafte kazi kwa sababu nimepona na uwezo Wa Ku work ninao. Sababu kubwa ni kwamba wakati ninaumwa yeye aliweza kunipa support kwa vile alikuwa ana kazi au biashara au chochote cha kumuingizia kipato. What if someday yeye augue for a year kama Mimi? How will I support him wakati sina kazi wala any source of income?
Una uhakika hautaugua tena?
Ungejua unakufa siku mbiuli baada ya siku hiyo
Ungetafuta kazi?