badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,117
Utatafuta kazi kwasababu ya kuwa bored?
Hiyo ni sababu tosha ya kutafuta kazi??
yahh,coz hela ndogondogo si unapewaa,..and for the sake of kutumia elimu yangu na kukutana na watu,au hzo kwenye miradi yake nisimamie mimi...
Unafkr kukaa home all day all year ni kazi rahisi?