Kwanini unaihitaji??
ningeamua kua mpole
huku nikimbmbeleza taratiiibu aniruhusu nifanye kazi..na faida za sisi wote kufanya kazi
am sure with time,angenielewa tu na angeniruhusu
mtu kama huyo hutakiwi kumkera kabisa
Uliokufanya ukasema uliyosemaNi ushahidi wa aina gani unao utaka?
Wewe ni jini?we kwa mawazo yako unadhani kila jambo mpaka liwe na ushadi ndio lionekane lipo kukosa ushahidi haimaanishi
Mambo gani hayafanyiki?mambo hayo hayafanyikiLabda kama haujakisoma vizuri nilichokiandika
Nani amesema kuwa hadi uambiwe na mtu?We ulitaka mpaka nani aniambie ndo awe sample ya wanaume wote duniani?
You assuming much about me MasaiWe una dhani wanaume wote wanakojoa wame simama kuna wengine wanachuchumaa.
We masai leo umezidisha Kiloriti nini?Usi ishi kwa kukariri mkuu!
Hili somo lina mada tofauti na hii!!
mambo vipi mkuu? hebu nipe lecture kidogo jinsi ya kureply kwa kukata vipande vipande hivi. nilishajaribu lakini nikashindwa. jioni njema besti.
mambo vipi mkuu? hebu nipe lecture kidogo jinsi ya kureply kwa kukata vipande vipande hivi. nilishajaribu lakini nikashindwa. jioni njema besti.
Mkuu huyo Masai anaweza asikujibu
Inaonekana leo amezidisha Kiloriti
Akikuletea zake niambie nikujibu!!
Ni makosa makubwa kufanya jambo kwa sababu mtu alikufanyia jambo fulaninitamkubalia huku nikijipanga namuingiaje nimuweke kwenye mstari ili mambo yaende sawa ktk hli cwez kuwa mkaidi coz wat i did ni kurudisha fadhira kwa wema alonifanyia kwa kumsikilza kile anachotaka
Bado hairidhishinajua mwanaume anapenda kuheshimika na kusikiliza ktk hili cwez kuwj mbishi coz tumetoka mbali. kwan angeweza kuniacha kpnd cha matatizo lakin alikuwa mwenye ubinadamu na kunihudumia.
Kungekuwa kumetokea?kwanin nilete zengwe ktk hli akuu namsikiliza mume mia jaman coz kupendwa kama huko hakujapata tokea.
Kwanini unataka kufanya kazi?naamin kwa kumsikiliza vle yeye anataka atanisikiliza nami pia ktk swala la kutafuta tena kazi huku nikisali kwa maombi na mungu atanisikiliza hatimae mambo yatakuwa mazur.
Habari ya jioni ni njema tuHabar ya jion mtumishi. ni hayo tu
Niongezee: uzuri elimu ninayo,siku akipata matatizo ntatafta kazi,..so hyo free lunch ya mume nakuwa full time student ,masters,ma'cpa,cfa nk....#secrectly praying Mungu anipe huyo mume,niwe napiga vacation tuu,ila the kuumwa part naogopaa..