Utatafuta kazi kwasababu ya kuwa bored?
Hiyo ni sababu tosha ya kutafuta kazi??
Kwa kweli mie kukaa home kumtegemea mwanaume kungenishinda.
Sawa ana uwezo wa kunipa mahitaji yote but what if anything happens to him?
Ulilielewa swali langu??
Niongezee: uzuri elimu ninayo,siku akipata matatizo ntatafta kazi,..so hyo free lunch ya mume nakuwa full time student ,masters,ma'cpa,cfa nk....#secrectly praying Mungu anipe huyo mume,niwe napiga vacation tuu,ila the kuumwa part naogopaa..
Una matatizo wewe yani ni wazi umesoma nilicho kiandika lakini haujaelewa nimeeleza kilicho mfanya jamaa amkatalie kufanya kazi mkewe au we ulitaka maelezo ya aina gani iwe rahisi kwako kuelewa?Uliokufanya ukasema uliyosema
Jini ni kitu gani mpaka unakitukuza na kukifanya kionekane kujua mawazo ya kile mtu anachokiwaza?Wewe ni jini?
Umewezaje kukijua kilichoko mawazoni mwangu?
Kuto kuelewa kwako sio tatizo langu ndo ujiulize kwanini unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hiyo?Mambo gani hayafanyiki?
Nimekisoma lakini hueleweki
Ulimanisha nini katika swali lako kutumia (nani)Nani amesema kuwa hadi uambiwe na mtu?
We unadhani sample ni mpaka wawe watu wangapi au lugha ni ngumu?Kuna sample gani ya mtu mmoja?
Kuassume sio tatizo ila kuwa shemeji ndo kazi!Angalia usije uka assume kuwa mimi ni shemeji yako
Kiloriti inahusiana nini na maelezo yangu?We masai leo umezidisha Kiloriti nini?
I like your idea
mi kwa upande wangu ningeomba hekima kwa roho mtakatifu anipe lugha ya upole,hekima na maarifa ya jinsi ya kuzungumza na mume wangu najua atanielewa.
Kigumu ni kipi kukaa nyumbani??
Pm au hapa hapa hadharani!
kaa mwaka mzima hvi bila kufanya cha maana,ht km hela unapewa af utaniambia,ndo mana even the richest men n women in the world wanaenda kazini na wanafanya vitu vingine,for passion na pirpose in life,money i s not everythng,kukaa hom sikai,bora nisafiri,