Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
- Thread starter
- #41
Ushahidi uko wapi?Kinacho sumbua wanaume wa hivyo ni wivu hakuna zaidi!
Mbona hujatuambia kuwa huyo jamaa kinachomfanya amzuie mkewe kufanya kazi ni wivu?Me kuna jamaa yangu hataki kusikia mkewe akimwambia habari ya kazi, chaajabu mwanamke ana bahati na kazi mara kadhaa amekuwa akijaribu kutuma maombi anaitwa kwenda kuanza kazi kivumbi na jasho ni pale jamaa anapo ambiwa na mkewe hizo habari za kazi...majibu yake ni yale yale ya unakosa nini!!
Halafu nani kakuambia kuwa huyo jamaa yako ni sample ya wanaume wote duniani?
Huyo sio sample ya kila mwanaume duniani!Kinacho nipa burudani zaidi kwa jaama ni kwamba cm ya mke wake kaiwekea passwd sehemu ya massage halafu mke wake hazijui kwa hiyo jamaa ndo huwa anaifungua anazisoma kwanza anapo hitaji!...Nikadungua huyo anaangaishwa na wivu!