Hapo hapanaSio bikira😂😂
Hapo hapanaSio bikira😂😂
Hata mo chungwa jamaniii..duhAhaha
Much words but no logical pointHii njianhuwa salama sana endapo mtu anapata mtu sahihi.
Inatakiwa mwanamke ajiweke katika mazingira ambayo hata mwanaume mwenyewe aone aibu kuomba penzi kabla ya Ndoa.
Lakini kwa mwanamke ambae amejiweka mazingira ambayo mwanaume anashawishika kuomba penzi kabla ya ndoa kwa nini mwanaume asiombe kuzini na huyo mtu?
Kwa sababu kama anavaa kwa kutamanisha na kujiweka mazingira hayo basi kuombwa penzi ndio reaction ya action ya mazingira anayojiweka.
Kila kitendo lazima kiwe na athari zake.
Kitendo cha mwanamke kujiweka mazingira ya kuvutia kingono na kuwatamanisha wanaume wengine basi athari zake ni kuwa mwaanaume hatokubali kumuacha hivi hivi wakati kila siku akimtamanisha kwa mavazi adimu kama hayo.
Na mwanaume hawezi kuamini kwamba ni kweli unajitunza mwanamke wakati mazingira yakko yanaonesha kwamba haupo kwa kujitunza.
WANAWAKE WANAFANYA KOSA KUBWA kuwaamini wapenzi wao(wachumba).
Wanawake sikilizeni : mwanaume pekee unaepaswa kumuamini ni mumeo tu" kwa sababu huna uhakika kwamba huyo utakayempa penzi kama atakuoa au atakuacha.kwa hyo kama anashida kweli akusubiri.
Lakini pia wanaume nao tuna matatizo sana.hivi unamuoaje na kumuamini mwanamke ambae alikubali kukupa penzi kabla ya ndoa?
Kama aliweza kukupa penzi wewe ambae sie mumewe na hujamuoa je atashindwa kuwapa wengine penzi ambao pia sio waume zake na hawajamuoa?... Una nini cha ziada mpaka ujiamini kwamba anakupa penzi peke yako?.
Hahahahhaahha MOTHER confessor

Hawakuwa serious 😀Nitamkubalia
Baadhi ya niliokuwa nao kwenye mahusiano walikuja na gia kama hiyo halafu mwisho wa siku wakaishia kunitunuku "A For Apple" yaani tunda.
Ukimaanisha???Umekosea, hilo si swali kwa wanaume rather ni swali kwa vijana.
Nikimaanisha wanaume wameishaoa tayari. Vijana ndiyo wenye ndoto ya kuoa (yaani bado hawajaoa)Ukimaanisha???
Sawa kama ni uhuni ila si nimejibu swali kama mwanaume!Acha uhuni kijana
Hapo sawaNa wanawake wasiokuwa na bikira wanakuwa wana ugonjwa huo wa kiakili wa kukosa confidence ya kuwanyima wapenzi wao kabla ya ndoa.
Kwa sababu anaoona kwamba hivi nikimnyima alafu akasubiri mpaka ndoa na akakuta sina bikira je ataonaje?...hapo ndo mwanamke huona bora aachie.kumbe ndo anazidi kujiharibia.kwa sababu sio kila mwanaume nni muowaji,wengi wanatumia gia hiyo kupata ngono tu,hivyo anachotakiwa mwanamke kupima ni kunyima penzi kabla ya ndoa ili aone kwamba huyu mtu ana nia ama mzushi tu.
Lakini iwe pamoja na kumfikishia habari kwamba bhana mimi sio bikira niliteleza hapo nyuma kwa hiyo ukiridhika na hali hiyo nisubiri mpaka ndoa kama hunamini basi njiannyeupe.
Wanawake wakiwa na misimamo hii basi hupelekea kupata mume ambae ana malengo nae kweli kweli.kwa sababu atapata mume ambaye amemkubali mapungufu yake.
Na sio kwamba tunaona kwa sababu hatuna mapungufu,bali tunaoa kwa sababu tumeyakubali mapungufu.
Njia hii ni salama sana.
Mimi ni keSawa niko tayari kukujuza, lakini wewe ni KE au ME?
Sasa umeelewa ?Hapo sawa
Huo ubinafsi sasa...khaa
Nitaingiza kidole 😉Utaikagua kwa macho sasa??😀
N'na swali dogo tuu....hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???
Weekend Nono"..🍾🍷🍾
Serious bongo ?Hawakuwa serious![]()
😊😊Binafsi akisema yeye hivyo...nitakubaliana naye.
Ila sitoacha kumchokoza!
Wewe wa kipekee...bila shaka mtazamo wako huu sio wa balimi😎Mapenzi ni zaidi ya ngono natumaini umeuelewa mtazamo wangu.