Swali kwa Tundu Lissu

Swali kwa Tundu Lissu

Yes, ndio utambue kuwa wengine tuko kizalendo na kitaifa zaidi....

Sijui umenusa nini tu, maana naona kabisa ulitaka kumwingiza EL hapa lakini ukashtuka... hongera !!

Ishu za itikadi za vyama vyenu ni hukohuko kwenu bhana... tutaelewana na mtatuelewa tu..
EL yumo tu, si ndio ishu iliyomchomoa! Teh teh teh teh !
 
Tundu Lisu ni retarded!
Hakushindi wewe kwa safari zako za muhimbili kuchukua dawa za kukutuliza kila wiki. Huwezi kucomment bila kujudge? Au Una ugomvi na baadhi ya watu?
Kama umeahidiwa cheo au wadhifa kwa kumhukumu TL na wale wa vyama vingine basi utavikosa vyote kwa mwendo huu.
Na usifikiri waliokutuma hawakusomi humu. Wameshaanza kukutenga kwa imani kuwa IPO Sikh utawatimua vu.zi. Jifunze kujibu hoja bila kuhukumu.
 
Kama nimekupata vyema unachosema ni kuwa hata Tundu Lissu hajui kama Declaration ni takwa la kisheria au la. Bali ametumia experience tu kutabiri kuwa tutashindwa.
Hivi haingekuwa jambo jema kwa yeye kama nguli kwenye sheria na kwa kujua experience ya kushindwa mahakamani angejitolea kulisaidia Taifa kuwa hata ACACIA wakitushitaki yeye atajitolea kuwabana ili tukawashinde? Ni kwa nini anapenda kumkejeli RAIS wakati hajui udanganyifu kwenye Declaration ya madini ni kosa au la?

That's the problem.....anamkejeli Rais !!

Alichokisema TL ni ukweli wala siyo kejeli kwa Rais......He's too emotional ktk maamuzi yake, period !!

Kama Rais aliowatuma wamegundua kuwa upande wa pili mliongia nao mkataba wana toa déclaration za udanganyifu which means, wanavunja sheria ama mkataba.....

Then, what was the right décision to take in the right place ?

Je, ni kuzuia wasifanye biashara ?

Je, ni kuzuia mali iliyo kwenye movement ya mwekezaji kinyume cha sheria (amri ya mahakama) ?

Au.......???

Msome na msikilize vizuri na kwa umakini Tundu Lissu uelewe ana hoja gani.....ukimwelewa wala hutapata shida unayoipata sasa !!

Kasema matatizo yaliyo nyuma ya maamuzi, akaponda maamuzi ya kukurupuka na akatoa way foward kama kawaida yale.. sasa wewe unaita kejeli....!!

Hata mimi ningekuwa Tundu Lissu, nisingekuwa mtetezi wa serikali ama Magufuli ktk kesi ambayo ni wazi unakwenda kushindwa mchana kweupe na kuharibu réputation yangu bure tu....!!

The best way foward ni hiyo, jitoeni kwenye mikataba hii kwa kufuata taratibu zilizowekwa, labda mtakuwa salama na huru kuelekea Tanzania ya viwanda, baasi !!

Kwamba hata yeye hana hakika kuwa wana declare ama vipi ?

Sina hakika bado unamaanisha nini ktk hili pamoja na maelezo marefu hapo juu.... !!

Kwa sbb kwa hili liko wazi na wala haihitaji Tundu Lissu aje akuthibitishie......

Magufuli ama serikali anawatuhumu jamaa kuwa hawatoi déclaration sahihi, mwekezaji alishasema kuwa, hakubaliani na accusations hizo, kila kitu kinafanyika kwa mujibu wa sheria na mkataba....., sasa unataka nini zaidi hapa ??

Si serikali ipeleke tuhuma zake kwenye chombo walichokubaliana kuwa ndicho kitakachokuwa mwamuzi wao mara kunapotoea sintofahamu, au ?

Isije kuwa hapa kuwa wewe ndiye usiyeelewa.....
 
Siku hizi kila nikimsikiliza TL huwa namkumbuka saaana marehemu Banza Stone, kwa ule wimbo wake "ELIMU YA MJINGA" au kwa jina jingine "MTAJI WA MASIKINI". Kuna verse aliimba "mjinga hupenda majivuno,
hupendo majisifuu,
asichokijua hujifanya anajua,
mazuri ya kwakee mabaya ya wenzake......" TL ana sifa zote hizo. Anajifanya anajua kila kitu humu Duniani. TL angekuwa "smart" basi hata CDM wasingebeba oil chafu toka CCM kuwa mgombea wa urais.
We BASHITE kwelikweli.....,Kuna mjuaji nchi hii kama Shizonje?,Muongo. Itakua umetoka EDA ama ulikuwa Mwali ndo mana huwajui MISIFAcamp ni kina nani.
 
Mimi huwa sipotezi muda kumsikiliza TL. Ni mtu wa kulalama tu siku zote.
 
Kam
Mkuu. Hoja hapa ni kwa nini TL anapenda kutuaminisha kuwa Rais kachemka kwa kigezo cha sheria?

CCM sasa inafanya yale ambayo wananchi tulidhani akina TL wakichukua nchi watayafanya. Inachotushangaza wengine ni kuona sasa wanatoa kejeli kwa Rais wetu badala ya kumtia moyo.
kama KAKURUPUKA atiwe moyo tu.....?,ACHA UBASHITE.
 
Tundu Lissu,Chadema,Mbowe na Zitto kabwe ni watu wa havyo sana nchi hii
Kama wapinzanibl waliodai mikataba ya madini kwa mida mrefu bila mafanikio ni watu wa hovyo, hawa waliosaini mikataba ya hovyo na kizuia kwa muda mrefu isiletwe bungeni. yupi wa hovyo zaidi?
 
Eti wape wape! Unabana pua kama shoga! Mkataba tuanauvunja, na nyie manaotetea mabwana zenu wazungu, mwende mkawatetee, halafu muone 2020 wananchi watawafanya nini nyambafu!!

Mbona ccm ndio waliopitisha hiyo mikataba mibovu na kuitetea mchana kweupe mpaka leo bado wako madarakani? Kimsingi wananchi wa nchi hii hawajui kitu chochote maana kama ingekuwa wanajua chochote basi leo hii ccm wasingekuwa madarakani. Vinginevyo mtuambie kukaa madarakani sio kwa kutetea mali za wananchi bali kuwa na uwezo wa kuchagua tume ya uchaguzi.
 
Eti wape wape! Unabana pua kama shoga! Mkataba tuanauvunja, na nyie manaotetea mabwana zenu wazungu, mwende mkawatetee, halafu muone 2020 wananchi watawafanya nini nyambafu!!

Mbona ccm ndio waliopitisha hiyo mikataba mibovu na kuitetea mchana kweupe mpaka leo bado wako madarakani? Kimsingi wananchi wa nchi hii hawajui kitu chochote maana kama ingekuwa wanajua chochote basi leo hii ccm wasingekuwa madarakani. Vinginevyo mtuambie kukaa madarakani sio kwa kutetea mali za wananchi bali kuwa na uwezo wa kuchagua tume ya uchaguzi.
 
Tundu Lissu,Chadema,Mbowe na Zitto kabwe ni watu wa havyo sana nchi hii
Yaani umeandika ukweli mtupu coz hawa akina Tundu Lissu, Mbowe na Chadema ndo waliopeleka hii miswada ya sheria ya madini tena mbaya zaidi kwa hati ya dharura.

Wabunge wa Chadema nao wakatumia wingi wao bungeni kuipitisha tena bila hata kuisoma.

Yaani Chadema wamesababisha hawa wawekezaji watuibie rasilimali zetu kwa kiasi kikubwa sana.

Lakini cha kushangaza zaidi ni kuwa hawa hawa Chadema wanarudi kutafuta huruma kwa wananchi wakati wao ndo walitumia wingi wao bungeni kupitisha mikataba ya kisenge namna hii.

Sisi wa ccm inabidi tutumie nguvu zetu zote kukemea na kuwalaani Chadema kwa kuifilisi nchi yetu.
 
Nimesoma maelezo ya Tundu Lissu kuwa kutokana na mikataba ilivyo madini na Mchanga ni mali ya wawekezaji.

TL anasema "Badala ya a smart president, tuna JPM anayeamini kwamba ametumwa na Mungu kuinyoosha nchi hii na neno lake ndio sheria. Matokeo yake, atagombana na wawekezaji na serikali zao na mabwana wakubwa wa kifedha duniani ambao ndio wamiliki halisi wa rasilmali zetu."

Anaendelea kusema "Watampeleka kwenye arbitral tribunals za kimataifa ambazo Mkapa na Kikwete walizikubali kuwa ndio mahakama za migogoro kati yetu na hao tuliowapa rasilmali zetu. Na tukipelekwa huko hatuponi kwa sababu tutakuwa tumevunja mikataba na sheria zinazolinda wawekezaji."

SWALI: Kwa nini wanatakiwa kudeclare concentrates za madini yaliyomo kwenye mchanga?

Je TL anaamini kuwa Declaration hiyo haina maana yeyote kisheria?

Mbona maelezo ya Brad Gordon (CEO wa ACACIA) haelezi kuwa Declaration ya quantities of concentrates ni non sense na haiwabani kisheria? badala yake anasema "We do not agree with the committee's findings"
Ni kwa nini basi anasema "I want to reassure you that ACACIA fully declares everything of commercial value that we produce" iwapo False declaration haina consequences zozote kisheria?
Hiyo ni lugha tu ya kujikosha.Ukweli ni kuwa uthibitisho wa thamani ya mabaki hayo haiko wazi hadi uchunguzi huru.Na mfanya biashara yeyote hulenga kupata faida. Kauli yao ni kutaka kulinda kwa mbinu zozote ( utapeli,wizi,kisheria na ikibidi nguvu)! TL anaonyesha upande watakao utegemea zaidi kupata nafuu.
 
Nimesoma maelezo ya Tundu Lissu kuwa kutokana na mikataba ilivyo madini na Mchanga ni mali ya wawekezaji.

TL anasema "Badala ya a smart president, tuna JPM anayeamini kwamba ametumwa na Mungu kuinyoosha nchi hii na neno lake ndio sheria. Matokeo yake, atagombana na wawekezaji na serikali zao na mabwana wakubwa wa kifedha duniani ambao ndio wamiliki halisi wa rasilmali zetu."

Anaendelea kusema "Watampeleka kwenye arbitral tribunals za kimataifa ambazo Mkapa na Kikwete walizikubali kuwa ndio mahakama za migogoro kati yetu na hao tuliowapa rasilmali zetu. Na tukipelekwa huko hatuponi kwa sababu tutakuwa tumevunja mikataba na sheria zinazolinda wawekezaji."

SWALI: Kwa nini wanatakiwa kudeclare concentrates za madini yaliyomo kwenye mchanga?

Je TL anaamini kuwa Declaration hiyo haina maana yeyote kisheria?

Mbona maelezo ya Brad Gordon (CEO wa ACACIA) haelezi kuwa Declaration ya quantities of concentrates ni non sense na haiwabani kisheria? badala yake anasema "We do not agree with the committee's findings"
Ni kwa nini basi anasema "I want to reassure you that ACACIA fully declares everything of commercial value that we produce" iwapo False declaration haina consequences zozote kisheria?
Mkuu sasa hivi tutawajua wanasiasa wa kweli na wachumia tumbo pande zote mbili Upinzani na CCM. Hawa jamaa wanapiga kelele utadhani serikali imenyang'anya migodi vile. Nashangaa sana maana hata ile kamati ya wataalamu wa sharia na uchumi haijatoa majibu na hata rais hajachukua hatua yeyote huyu Lissu na Zitto wapo vifua mbele.

Kweli Mbowe ni mtu wa watu ndiyo maana hataki kuwaachia hawa wehu madaraka maana watauharibu UKAWA.
 
Wengi hamumjui lissu na mnafikiri ni mtu wa maana kwa maneno yake. Huyu sio lissu aliyepigania waliofukiwa bulyankulu. Muulizeni pesa alizojengea ghorofa, kununua Isuzu trooper 5 na vogue moja kabla hajawa mbunge na linganisha na mshahara aliokuwa akipata akiwa mwanasheria wa LEAT.
Unaonaje ungepangua kwanza hoja zake? Mipasho yako ndo ingepata mvuto ati.
 
Mikataba wamengia wenyewe wameificha wenyewe wanataka sisi tuwapongeze na kuwaunga mkono upuuzi waliufanya wenyewe
 
Back
Top Bottom