Swali kwa Tundu Lissu

Swali kwa Tundu Lissu

Hivi TL ndio aliyekuwa mwanasheria waserekali wakati wanasaini mikataba hiyo au
Nimesikiliza kwa makini maelezo ya TL anachosema nikwamba mikataba mingi ni ile ambayo tumesain kwa sheria za kimamataifa so kabla ya kuzuia makontena inabidi kupitia vifungu kwanza vya sheria
Tusije tukaingia chaka
 
Eti wape wape! Unabana pua kama shoga! Mkataba tuanauvunja, na nyie manaotetea mabwana zenu wazungu, mwende mkawatetee, halafu muone 2020 wananchi watawafanya nini nyambafu!!

Acha mkwara wewe bumunda wa Lumumba ,ninyi ndio mlitakiwa mtangulie Mahakamani kwa kuingia/kuridhia Mikata hii hii ambayo leo mnaiona ni ya kinyonyaji..

Mlitakiwa kutuomba radhi nyambf...
 
Mkuu. Hoja hapa ni kwa nini TL anapenda kutuaminisha kuwa Rais kachemka kwa kigezo cha sheria?


CCM sasa inafanya yale ambayo wananchi tulidhani akina TL wakichukua nchi watayafanya. Inachotushangaza wengine ni kuona sasa wanatoa kejeli kwa Rais wetu badala ya kumtia moyo.
 
Tundu Lissu anachowaza ni madaraka tu, hana uchungu wowote na nchi, na usijekushangaa acacia wakifungua kesi akawa wakili wao, punda huyo wa wazungu.
Kama unataka Tundu Lissu asiwe wakili wa ACACIA go and repeal article 13 of URT constitution
 
Nadhani basi ingekuwa hekima kwa Tundu Lissu kuacha kumkejeli na kumtishia RAIS wetu kuwa tutashindwa mahakamani wakati ngoma yenyewe bado ni mbichi kabisa. Na ni vizuri akashauriwa na hao anaowaona ni bora kuliko RAIS wetu atumie uwezo wake aliojaliwa na Mwenyezi Mungu kusoma sheria na mianya itakayotuokoa ili mwisho wa siku watanzania wote na vizazi vyetu tuwe washindi dhidi ya UFISADI huu.

Hapo ulipo wewe Chintu utakuwa utakuwa kama hadithi ya mfalme juha. Sitai
ki kumkejeli mtukufu rais, lakini mbona anaongea kama wapinzaniwalivyokuwa wanalalamika miaka zaidi ya kumi na tano iliyopita? Kipidi chote hicho mheshimiwa rais alikuwa ni waziri au mjumbe ktk baraza la kutunga sheria. ILILIITUNGWA NA WEWE UKIWEMO LAKINI LEO UNAIKANA kisiasa! Aibu.
 
Wengi hamumjui lissu na mnafikiri ni mtu wa maana kwa maneno yake. Huyu sio lissu aliyepigania waliofukiwa bulyankulu. Muulizeni pesa alizojengea ghorofa, kununua Isuzu trooper 5 na vogue moja kabla hajawa mbunge na linganisha na mshahara aliokuwa akipata akiwa mwanasheria wa LEAT.
Usitutoe katika mjadala. Unashangaa wakili wa kiwango cha Lissu kujenga ghorofa? Mbona mnamshangilia Bashite anayejenga ghorofa akiwa kwenye ofisi ya serikali, tena akiwa na muda mfupi tu kazini, na mbaya zaidi huku akiwa na tuhuma za wazi za jinai?
 
Mkuu. Hoja hapa ni kwa nini TL anapenda kutuaminisha kuwa Rais kachemka kwa kigezo cha sheria?


CCM sasa inafanya yale ambayo wananchi tulidhani akina TL wakichukua nchi watayafanya. Inachotushangaza wengine ni kuona sasa wanatoa kejeli kwa Rais wetu badala ya kumtia moyo.
Tatizo ni mechanical approach to the problem. Ni kitu cha ajabu kujifunga kwenye mkataba kuwa mchanga utakuwa exported halafu ghafla tunazuia exportation! Huko ni kuvunja mkataba. Pili, tunatumia ripoti ya kamati ya upande mmoja kuhalalisha permanent ban on exportation. Bila shaka mkataba umeweka utaratibu wa kutatua migogoro na sidhani kama umefuatwa. Matokeo yake tutashtakiwa na tutashindwa. Isitoshe, tatizo letu kubwa kuhusiana na madini siyo mchanga unaosafirishwa bali mapato duni kutoka kwenye sekta yenye fursa kubwa. Je, kwa kuzuia exportation ndiyo tumeongeza mapato? Jambo la msingi hapa ni mikataba na hilo linahitaji mazungumzo siyo mabavu. Hii ndiyo tofauti iliyopo.
 
Kwa kuwa ww ni pimbi wala wenye akili hatukushangai ...huna marinda sasa uongee nn ?
Uandikaji wa aina hii unaonyesha uelewa ni mdogo. Yaani unavyopanga maneno inaonyesha bado unahitaji daftari la mazoezi. brevity! Brevity! ....
 
Back
Top Bottom