Swali kwa Tundu Lissu

Swali kwa Tundu Lissu

Mkuu. Hoja hapa ni kwa nini TL anapenda kutuaminisha kuwa Rais kachemka kwa kigezo cha sheria?

CCM sasa inafanya yale ambayo wananchi tulidhani akina TL wakichukua nchi watayafanya. Inachotushangaza wengine ni kuona sasa wanatoa kejeli kwa Rais wetu badala ya kumtia moyo.
Yaani haya ni maajabu mkuu nashindwa kumuelewa lissu lengo lake ni urais au kutetea nchi dhidi ya dhuluma hizi?
 
Siku hizi kila nikimsikiliza TL huwa namkumbuka saaana marehemu Banza Stone, kwa ule wimbo wake "ELIMU YA MJINGA" au kwa jina jingine "MTAJI WA MASIKINI". Kuna verse aliimba "mjinga hupenda majivuno,
hupendo majisifuu,
asichokijua hujifanya anajua,
mazuri ya kwakee mabaya ya wenzake......" TL ana sifa zote hizo. Anajifanya anajua kila kitu humu Duniani. TL angekuwa "smart" basi hata CDM wasingebeba oil chafu toka CCM kuwa mgombea wa urais.
Kumbe upo kisiasa Zaidi, sisi tunazungumzia mambo ya nchi kumbe wewe bado unweweseka na EL!
 
Sielewi mkuu. Nieleweshe basi kabla sijafuta.

SGS ni kampuni ya kimataifa ambayo iko duniani kote ikijihusisha na kuhakiki, kukagua (vipimo vya aina yote) ubora wa mali zisafirishwazo kutoka nchi moja na kwenda nchi nyingine. Kwa hiyo basi hii kampuni iko pia hapa kwetu ikahakiki mizigo yoote itokayo na iingiayo kama iko kama inavyoonyeshwa physicaly na kwenye bill of lading au airway bill.
Mchanga kutoka machimboni unakuwa na vyeti vya TMAA (Tanzania Mines Audit Agency) vikiainisha asilimia ya madini yaliyo kwenye mchanga huo n athamani yake. Kazi ya SGS ni kuhakiki usahihi huu (kumbuka wana kila zana: laboratory, scanner etc). Hakuna njia wanayoweza ku colude na exporter au importer kwa sababu at that other end point kuna auditing.
Tushangilie tukisikilizia, kwa sababu sidhani kama ACCACIA ni maamuma kiasi cha kufanya kinyume na makubaliano yalivyo kwenye MKATABA.
Kumbuka hii mikataba imeliliwa saana na oposition kwa miaka mingi. Najiuliza swali, Je ni rahisi kuvunja mkataba na tukapona kama taifa?
 
Siku hizi kila nikimsikiliza TL huwa namkumbuka saaana marehemu Banza Stone, kwa ule wimbo wake "ELIMU YA MJINGA" au kwa jina jingine "MTAJI WA MASIKINI". Kuna verse aliimba "mjinga hupenda majivuno,
hupendo majisifuu,
asichokijua hujifanya anajua,
mazuri ya kwakee mabaya ya wenzake......" TL ana sifa zote hizo. Anajifanya anajua kila kitu humu Duniani. TL angekuwa "smart" basi hata CDM wasingebeba oil chafu toka CCM kuwa mgombea wa urais.
Yaani ww ni pimbi balaa ..nyie kwa kujipendekeza kwenu kwa mabwana zenu ndo kumelifikisha hapa Taifa ...kwa kuwa ww ni pimbi huwezi kuelewa nn LISSU alikuwa ana maanisha
 
Siku hizi kila nikimsikiliza TL huwa namkumbuka saaana marehemu Banza Stone, kwa ule wimbo wake "ELIMU YA MJINGA" au kwa jina jingine "MTAJI WA MASIKINI". Kuna verse aliimba "mjinga hupenda majivuno,
hupendo majisifuu,
asichokijua hujifanya anajua,
mazuri ya kwakee mabaya ya wenzake......" TL ana sifa zote hizo. Anajifanya anajua kila kitu humu Duniani. TL angekuwa "smart" basi hata CDM wasingebeba oil chafu toka CCM kuwa mgombea wa urais.
Poor you!
 
Mkuu. Hoja hapa ni kwa nini TL anapenda kutuaminisha kuwa Rais kachemka kwa kigezo cha sheria?

.

..ni kwasababu Tz imesaini mkataba wa kimataifa wa kulinda wawekezaji.

..kwamba kukitokea tatizo/mgogoro na wawekezaji, serikali inapaswa kupeleka shauri ktk chombo/mahakama maalum ya kimataifa.

..kwa maoni ya Tundu Lissu serikali kuzuia shughuli za uchimbaji madini ni kinyume na mkataba.

..Wawekezaji wanaweza kutushitaki kwenye mahakama ya kimataifa ya masuala ya wawekezaji na Tz
tukalazimishwa kulipa fedha nyingi.

..Tundu Lissu amependekeza kwa Raisi kuwa Tz ijitoe ktk mkataba nilioutaja hapo mwanzo ili migogoro yote baina yetu na wawekezaji ishughulikiwe na MAHAKAMA ZA TANZANIA.
 
Siku hizi kila nikimsikiliza TL huwa namkumbuka saaana marehemu Banza Stone, kwa ule wimbo wake "ELIMU YA MJINGA" au kwa jina jingine "MTAJI WA MASIKINI". Kuna verse aliimba "mjinga hupenda majivuno,
hupendo majisifuu,
asichokijua hujifanya anajua,
mazuri ya kwakee mabaya ya wenzake......" TL ana sifa zote hizo. Anajifanya anajua kila kitu humu Duniani. TL angekuwa "smart" basi hata CDM wasingebeba oil chafu toka CCM kuwa mgombea wa urais.
Umeulizwa mbona akili mavi
 
Nina maswali mawili. Nani mmiliki wa Sgs, na nani anafanya auditing. Shareholders wa kampuni hii ni akina nani na wanatoka nchi gani?
SGS ni kampuni ya kimataifa ambayo iko duniani kote ikijihusisha na kuhakiki, kukagua (vipimo vya aina yote) ubora wa mali zisafirishwazo kutoka nchi moja na kwenda nchi nyingine. Kwa hiyo basi hii kampuni iko pia hapa kwetu ikahakiki mizigo yoote itokayo na iingiayo kama iko kama inavyoonyeshwa physicaly na kwenye bill of lading au airway bill.
Mchanga kutoka machimboni unakuwa na vyeti vya TMAA (Tanzania Mines Audit Agency) vikiainisha asilimia ya madini yaliyo kwenye mchanga huo n athamani yake. Kazi ya SGS ni kuhakiki usahihi huu (kumbuka wana kila zana: laboratory, scanner etc). Hakuna njia wanayoweza ku colude na exporter au importer kwa sababu at that other end point kuna auditing.
Tushangilie tukisikilizia, kwa sababu sidhani kama ACCACIA ni maamuma kiasi cha kufanya kinyume na makubaliano yalivyo kwenye MKATABA.
Kumbuka hii mikataba imeliliwa saana na oposition kwa miaka mingi. Najiuliza swali, Je ni rahisi kuvunja mkataba na tukapona kama taifa?
 
SGS ni kampuni ya kimataifa ambayo iko duniani kote ikijihusisha na kuhakiki, kukagua (vipimo vya aina yote) ubora wa mali zisafirishwazo kutoka nchi moja na kwenda nchi nyingine. Kwa hiyo basi hii kampuni iko pia hapa kwetu ikahakiki mizigo yoote itokayo na iingiayo kama iko kama inavyoonyeshwa physicaly na kwenye bill of lading au airway bill.
Mchanga kutoka machimboni unakuwa na vyeti vya TMAA (Tanzania Mines Audit Agency) vikiainisha asilimia ya madini yaliyo kwenye mchanga huo n athamani yake. Kazi ya SGS ni kuhakiki usahihi huu (kumbuka wana kila zana: laboratory, scanner etc). Hakuna njia wanayoweza ku colude na exporter au importer kwa sababu at that other end point kuna auditing.
Tushangilie tukisikilizia, kwa sababu sidhani kama ACCACIA ni maamuma kiasi cha kufanya kinyume na makubaliano yalivyo kwenye MKATABA.
Kumbuka hii mikataba imeliliwa saana na oposition kwa miaka mingi. Najiuliza swali, Je ni rahisi kuvunja mkataba na tukapona kama taifa?
Ndugu ukiona kuna wepesi wa kuvunja mkataba kuliko kuweka mkataba husika hadharani ujue kuna jambo.
 
Nimesoma maelezo ya Tundu Lissu kuwa kutokana na mikataba ilivyo madini na Mchanga ni mali ya wawekezaji.

TL anasema "Badala ya a smart president, tuna JPM anayeamini kwamba ametumwa na Mungu kuinyoosha nchi hii na neno lake ndio sheria. Matokeo yake, atagombana na wawekezaji na serikali zao na mabwana wakubwa wa kifedha duniani ambao ndio wamiliki halisi wa rasilmali zetu."

Anaendelea kusema "Watampeleka kwenye arbitral tribunals za kimataifa ambazo Mkapa na Kikwete walizikubali kuwa ndio mahakama za migogoro kati yetu na hao tuliowapa rasilmali zetu. Na tukipelekwa huko hatuponi kwa sababu tutakuwa tumevunja mikataba na sheria zinazolinda wawekezaji."

SWALI: Kwa nini wanatakiwa kudeclare concentrates za madini yaliyomo kwenye mchanga?

Je TL anaamini kuwa Declaration hiyo haina maana yeyote kisheria?

Mbona maelezo ya Brad Gordon (CEO wa ACACIA) haelezi kuwa Declaration ya quantities of concentrates ni non sense na haiwabani kisheria? badala yake anasema "We do not agree with the committee's findings"
Ni kwa nini basi anasema "I want to reassure you that ACACIA fully declares everything of commercial value that we produce" iwapo False declaration haina consequences zozote kisheria?
Tundu Lissu anachowaza ni madaraka tu, hana uchungu wowote na nchi, na usijekushangaa acacia wakifungua kesi akawa wakili wao, punda huyo wa wazungu.
 
Akiwa wakili, tatizo ni nini eti ?

Kwa sababu anazuiwa na taarifa ya kamati ya kisiasa ya Mruma, CCM na Magufuli ?

I see, what a nonsense if that is the case !!!
 
Watch your tongue dude!!
 
Umeuona mkataba? You can not say any true statement kama hujauna mkataba! Time will tell!
Soma hiyo hint.... tunaipenda nchi yetu lakini tuangalie tulisaini nini!
Tanzania Bans the Export of Unprocessed Mineral Concentrates and Ores The Importance of Bilateral Investment Treaty Protection - Lexology

Kuna Mitanzania iliyonyweshwa na kulewa maji ya bendera za kijani haiwezi hata kufikiri!!! Nashangaa mijitu inakomaa na kushangilia ujinga na ubashite bila kujielewa!!!
Kumbukeni wana CCM ya kwamba TL ni Mwanasheria aliyebobea na Mahiri sana katika kizazi chetu cha Wtanzania kwa sasa. Hili hata CCM wanalijua ila wanajifanya mbuni kukwepa moto kwa kuficha kichwa kwenye mchanga.
Tundu Lissu anacho ongelea na kusimamia hapa ni Mikataba(Treaty/Contract) kati ya Serikali ya CCM tangu enzi za Njomba Nkapa 1997 na Jakaya Kikuete(wanavomwita hao wawekezaji uchwara na majizi) hadi sasa kipindi hiki cha John Pombe Magufuli
The issue here is Mkataba wala siyo TL. Lissu anaongea kama mtaalamu wa Sheria na anajua IMPACT YA KUVUNJA MKATABA TENA WA KIMATAIFA siyo mkataba wa kuuza nyanya au kujenga barabara!! Watanzania tujiandae kujifunga mikanda kwa kulipa gharama ambazo zimesabishwa na Serikali ya CCM. Ni swala la muda tu dakika zitakapogonga na wala siyo mbali.
 
Tundu Lissu anachowaza ni madaraka tu, hana uchungu wowote na nchi, na usijekushangaa acacia wakifungua kesi akawa wakili wao, punda huyo wa wazungu.

Weye yakhe unachekesha kweli kweli!
Yaani Tundu Lissu awe Punda wa Wazungu wa Dhahabu badala ya Mkapa, Kikwete,Chenge na CCM yao ambao ndo walisaini mikataba ya kuliibia Taifa kweli???Hizi ni akili za kina Makonda na Bashites.Mnakumbuka Mkapa siku anazindua Kahama old Mine alikabidhiwa Pande la DHAHABU SIJUI tANI NGAPI NA AKAONDOKA NALO?Je, hiyo ilikuwa ni ZAWADI,RUSHWA au BAKSHISHI? Wana CCM naomba mtujuze!!

TL kabla ya kuingia kwenye Siasa alikuwa ni Mwanaharakati wa Mazingira na ninakumbuka vizuri sana alivyopambana na Serikali ya Mkapa kuzuia Wachimbaji wadogo huko Kahama wasifukuzwe na kufikiwa kwenye mashimo ya Dhahabu na Wawekezaji hawahawa waliokuwa wameitwa na Mkapa.

Bado TL alipoingia Bungeni alikuwa akihoji mara kwa mara kuhus u HII MIKATABA YA WACHIMBAJI WA MIGODI KUWA SIRI BADALA YA KULETWA BUNGENI. CCM walifanya hii mikataba ni siri lakini leo wanajifanya hamnazo na kuanza kuikataa au kuivunja bila ya kufikiria madhara yake. Time gonna tell.
 
Watch your tongue dude!!

No tongue here, Dude... just black ink !!

Acheni ujinga, tutakataa upuuzi wowote wa kisiasa nyie CCM mnaotuchezea....

Mikataba mlisaini nyinyi wenyewe, sheria za madini mlipitisha nyie wenyewe tena kwa hati ya dharula bila hata kusoma na "ndiyoooooo" za kijiiingaaa, leo mnaanza kulialia kuwa mnapigwa ?.....I see, what à nonsense is this !!

Huyuhuyu Rais wako leo anayejifanya kulia sana kwenye msiba wa mtu waliyemuua wao wenyewe, was part and parcel of hii kitu, aliwahi hata kusimama kupingana na wenzake ? Anataka kutuambia nini leo, eti ??.....siasa tu tena za kipuuzi kabisa !!

Pathetic CCM......na sisi wengine siyo wajinga wa kiwango chenu eti, tutahoji na kuwakatalia kila aina ya ulaghai na ujinga mtakaojaribu kuuleta, no matter mtatuita majina gani !!

Wauaji na wanafiki wakubwa nyie. Acha i - back fire na mnyolewe bila maji....
 
Tundu Lissu,Chadema,Mbowe na Zitto kabwe ni watu wa havyo sana nchi hii
 
No tangue here, Dude... just black ink !!

Acheni ujinga, tutakataa upuuzi wowote wa kisiasa nyie CCM mnaotuchezea....

Mikataba mlisaini nyinyi wenyewe, sheria za madini mlipitisha nyie wenyewe tena kwa hati ya dharula leo mnaanza kulialia kuwa mnapigwa ?

Huyuhuyu Rais wako leo anayejifanya kulia sana kwenye msiba wa mtu waliyemuua wao wenyewe, was part and parcel of hii kitu, anataka kutuambia nini leo, eti ??

Pathetic CCM......na sisi wengine siyo wajinga wa kiwango chenu eti, tutahoji na kuwakatalia kila aina ya ulaghai na ujinga mtakaojaribu kuuleta, no matter mtatuita majina gani !!

Wauaji na wanafiki wakubwa nyie. Acha i - back fire na mnyolewe bila maji....

Kitaturu wape wape vidonge vyao. Acha sindano izame ili dawa ikolee sawasawa.
Mimi nasubiri tu pale Rais Magufuli atakapoitwa kwenda kuhojiwa na Jopo la Majaji wa Kimataifa wanaoshughulikia Mikataba ya Biashara za Kimataifa. Bila shaka itabidi atafute mkalimani wa Kisukuma maana vinginevyo watu watabakia midomo wazi jinsi atakavyoweweseka kujibu maswali magumu!!!Tusubiri,
 
Back
Top Bottom