Kwanza machadema labda ni wewe...
Pili, I doubt kama unatambua hata kinachojadiliwa....
Tatu, do you think is that easy kuvunja mikataba hii ?
Nne, uko aware kuwa tuna mikataba mibovu na ya hovyo kabisa ya ufuaji umeme ya Songas, IPTL, Richmond > Dowan > Symbion and the likes ambayo CCM hawahawa walisaini na ilishawatoa kamasi kutaka kuivunja, bila mafanikio ??
Tano, Laiti kama Magufuli angekuwa na guts za kuweza kuvunja mikataba, basi angeanza na hii ya vikampuni vya umeme vidogo na iliiyo wazi kabisa.....lakini maskini wa Mungu, hata kunusa tu hajawi kunusa huko ghafla ameparamia sekta ya madini ambayo iko so complicated.....!!
Sita, no... siyo kwamba sitaki, nataka sana na ofcoz kama ana ubavu huo angeuvunja siku ileile sambamba na utumbuaji wa Prof. Muhongo na wale sijui wa TMAA.....lakini nasikitika kukuambia kuwa, atakula bonge la "about turn" sooner or later!!
Ndiyo maana watu wengine tunasema, hizi siasa zingine ni za kipuuzi na zitatugharimu na kwa lugha ya Tundu Lissu, "tutanyolewa bila kutia maji !!"