Nimesoma maelezo ya Tundu Lissu kuwa kutokana na mikataba ilivyo madini na Mchanga ni mali ya wawekezaji.
TL anasema "Badala ya a smart president, tuna JPM anayeamini kwamba ametumwa na Mungu kuinyoosha nchi hii na neno lake ndio sheria. Matokeo yake, atagombana na wawekezaji na serikali zao na mabwana wakubwa wa kifedha duniani ambao ndio wamiliki halisi wa rasilmali zetu."
Anaendelea kusema "Watampeleka kwenye arbitral tribunals za kimataifa ambazo Mkapa na Kikwete walizikubali kuwa ndio mahakama za migogoro kati yetu na hao tuliowapa rasilmali zetu. Na tukipelekwa huko hatuponi kwa sababu tutakuwa tumevunja mikataba na sheria zinazolinda wawekezaji."
SWALI: Kwa nini wanatakiwa kudeclare concentrates za madini yaliyomo kwenye mchanga?
Je TL anaamini kuwa Declaration hiyo haina maana yeyote kisheria?
Mbona maelezo ya Brad Gordon (CEO wa ACACIA) haelezi kuwa Declaration ya quantities of concentrates ni non sense na haiwabani kisheria? badala yake anasema "We do not agree with the committee's findings"
Ni kwa nini basi anasema "I want to reassure you that ACACIA fully declares everything of commercial value that we produce" iwapo False declaration haina consequences zozote kisheria?