Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 4,210
- 5,676
๐๐๐๐๐๐๐Na wasipokudharau je,
๐๐๐๐๐๐๐Na wasipokudharau je,
Tabu zote za nin sasaDivide and rule them. Unapo na mwanamke mwenye mtoto na wewe hakikisha unamzalisha. Utakuwa ume divide hisia zake bond yake na watoto pia hata na ex wake. Then unaanza kutoa amri kama mzazi
Kinachofurahisha wengi wanaoponda singo Maza husahau mama zao... Fatilia vuzuri, chunguza mtaani kwenu kwanza wangapi mama zao waliolewa bikra au wakiwa hawana watoto.