Swali kwa Dkt. Hosea: Rais Samia hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika?

Nimeshajibu jambo hili. In fact, pamoja na fujo zake, Magufuli was right on this point. Hakuna Taifa linaendeshwa kama mji wa samaki aina ya kambale wenye ndevu tangu mtoto, mama, hadi baba
My point is clear that your statements on state of emergency declaration do not align with constitutional requirement therefore there is no state of emergency in Tanzania. Mengine ni mapambio kabla ya mahuburi.
Shule shule shule aka Elimu Elimu Elimu.
 
Yaani matamko,taarifa na maelekezo ya waziri mkuu wa nchi unaita ni matamko ya majukwaani?!Uko vyema kichwani?Unaelewa kuwa waziri mkuu ni mtendaji mkuu wa serikali na taarifa zake ni taarifa za serikali?Unaelewa kuwa taarifa za waziri mkuu ni trusted source?
Alitudanganya kuhusu hali ya mwenda zake. Hawezi aminika tena.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.

Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.

Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:

Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?

Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi

Umeuliza swali au Umemwambia jibu?

Uchumi umeshuka kwa miezi mitatu. Si yeye mama alikuwa ananadi UCHUMI WA KATI

Na ni lini ametangaza hali ya HATARI ?. unajua taraticu zake?

Tufanye sawa ametangaza hali ya Hatari, CCM na wabunge wao hafanyi Mikusanyiko ?
 
Halafu tukimuita ana akili fupi anaona tunamuonea.

Hao watoto aliozaa kweli ni mama wamekula hasara.

Halafu kumbe ni x chadema. Kama ndivyo then chadema wanapaswa kushukuru kwa kupunguziwa mizigo isiyo na sbb.
 
Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.

Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.

Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:

Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?

Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi
Japo umemuuliza Dr Hosseah swali hili, lakini kwa kuwa umelileta humu badala ya kulipeleka kwake, maana yake unataka wachangiaji sisi tulijibu kwa niaba ya Dr Hoseàh. Na bila shaka majibu ndiyo hayo unayopewa...

Nami naomba nishiriki kujibu kama ifuatavyo;

1. Katika Press Release ya TLS kupitia kwa Rais wao Dr. Hoseah hakuna mahali amesema Rais hana haki ya kutangaza hali ya hatari nchini kote au ktk sehemu fulani ya nchi..

2. Hali ya hatari ktk nchi au sehemu ya nchi NI LAZIMA na SHARTI itangazwe na Rais mwenyewe. Kisheria na kikatiba kwenye hili hakuna delegation. Ni Rais mwenyewe lazima asimame na kusema...

3. As for number 2 above, so far mpaka sasa hakuna hali yoyote ya hatari iliyokwisha kutangazwa hapa nchini Tanzania na Rais..!

Unashangaa? Hapana, usishangae, huu ndiyo ukweli...

4. Press Release ya TLS ilikuwa ina refer tukio la serikali kupitia jeshi la polisi kuzuia kongamano la CHADEMA la kujadili katiba ili kuweka msingi wa madai ya katiba mpya ya wananchi huko Mwanza for two consecutive occasions tarehe 17/7/2021 na 21/7/2021...

So far, unaweza kujenga hoja kuwa RC wa Mwanza alishatangaza hali ya hatari ya corona mkoani kwake anakoongoza kama RC sasa ilikuwaje CHADEMA wakaamua kukiuka amri hiyo..?

Well. Lakini kumbuka haya;

1. RC hana mamlaka kikatiba na kisheria kutangaza hali ya hatari ktk sehemu yoyote ya JMT. Hiyo ilikuwa marufuku ya kisiasa ikisukumwa na hofu na woga wa kupoteza madaraka na mamlaka yao. Kwa hiyo it was baseless constitutionally and legally..

2. Lakini pia, tunaweza ku - assume kuwa RC Mwanza, ana mamlaka hayo kikatiba na kisheria...

å Lakini tukumbuke vizuri tukio hili lilivyokuwa. Kwamba, tarehe 17/7/2021 ambapo CHADEMA walizuiliwa kufanya kongamano lao kwa mara ya kwanza hapo Mwanza, hakukuwa na zuio lolote la kikatiba na kisheria. Lakini polisi bila sababu wakavuruga kongamano na kuwa detain baadhi ya viongozi wa CHADEMA...

å Masaa machache siku ya tarehe 19/7/2021 (if I'm not mistaken) mara baada PC ya M/kiti CHADEMA taifa Mh. Freeman Mbowe kulaani na kukemea tukio la polisi kuvuruga shughuli halali za kisiasa za CHADEMA na kisha kutangaza tena kongamano kufanyika trh 21/7/2021, hapo ndipo RC - Mwanza akajitokeza kwenye vyombo vya habari...

Akatangaza kuzuia mikusanyiko ambayo yeye aliita "isiyo ya lazima" eti ili kuzuia kuenea kwa virusi vya corona. Na usiku wa kuamkia tarehe 21/7/2021 ndiyo yakatokea haya tunayojadili leo ugaidi, ugaidi, ugaidi....

IN A SERIOUS NOTE:

Kama unafikiri vizuri wewe Mama Amon, mtiririko wa matukio haya unatoa reflection gani? Ni kwamba watu wanafanya kazi kweli au ni mchezo tu wa siasa chafu na uchwara za CCM na kutumia mamlaka yake vibaya kuumiza na kunyanyasa watu?

Asante..
 
Nimesoma mistari mitatu ya kwanza ya shaded text uliyoleta.

Naona utaratibu huo ni kwa ajili ya TANZANIA NZIMA, TANZANIA BARA NZIMA, au TANZANIA ZANZIBAR NZIMA.

Tangazo la Rais linahusu sekta ya uchumi na pekee.

Ni kama ambavyo tangazo la CORONA linahusu sekta ya afya pekee

Katika hili la mwisho haki ya kujumuika imesitishwa na hakuna Bunge limepitisha.

Ni vivyo hivyo kwa sekta ya uchumi. Ndivyo nionavyo mie.

yani kila ninavyozidi kukusoma naona unazidi kunichanganya....haki ya kufanya mikusanyiko inahusika vipi na kushuka kwa uchumi?????????????

na hata kama kumetangazwa hali ya hatari ambayo kwa upande wangu bado sijasikia taarifa rasmi...

jana kule kigoma kulikuwa na mchezo wa fainali za kombe la azam..kuna watu walijazana uwanjani wakiwemo viongozi wa kiserikali na wananchi kupewa ulinzi kabisa...tena nilikuwa naona watu wanahemea hawana habari kuwa kuna korona...mbaya zaidi ni watu lutoka mikoa mbalimbali nchini...na bila shaka baada ya mechi watu watarudi kwenye mikoa yao kuendelea na shughuli za maendelea na kijamii....

swali baada ya mkusanyiko ule tutegemee kuona nini??????????
 
Umesoma utaratibu wa kutangaza "hali ya hatari"?

View attachment 1868431

Hii inatuleta kwenye maswali muhimu haya;

1. Nani mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari nchini au ktk sehemu ya nchi? Je, ni Rais au mkuu wa mkoa au waziri fulani?

2. Je, katika kutoa " tangazo la hali ya hatari" au vyovyote itakavyoitwa zuio, katazo; Rais anaweza kukasimisha mamlaka hayo wakati yeye yupo?

3. Je, mpaka sasa nchini Tanzania kuna hali ya hatari au Makatazo fulani kisheria na kikatiba?

Obvious, the answer is BIG NO..

Mama Amon hebu endelea kujibu bibie..
 
Soma 32(f)

Halafu tofautisha haya

1- tz yote plus sekta zote
2- tz yote plus baadhi ya sekta
3-sehemu ya tz plus sekta zote
4-sehemu ya tz plus baadhi ya sekta

Bunge linahusika ktk na. 1 pekee
Hicho kifungu 32(f) ulichokitaja kinasema hivi: "kuna aina nyingineyo ya hatari ambayo kwa dhahiri ni tishio kwa nchi." Yaani, Rais ataweza kutangaza hali ya hatari (state of emergency) iwapo kuna kiashiria kingine chochote cha hatari ambacho 'kwa dhahiri ni tishio la nchi'.
1. Tangu aingie madarakani, Rais hajawahi kutangaza hali ya hatari ya aina yoyote.
2. Alichokisema ni kwamba ingawa uchumi wetu ulikuwa unakua vizuri kwa sasa umeshuka kidogo kutokana na athari za Covid-19.
3. Mikakati ya kukuza uchumi kutoka hapo ulipo kuwa mzuri zaidi ziko katika kila awamu. Na yeye pale alipoukuta angetaka ukue zaidi. Kufanya hivyo hakuna tafsiri ya kutangaza hali ya hatari.
4. After all, tangu tupate uhuru mwaka 1961 Tanzania, bado tunajenga uchumi na sasa tuko kwenye kundi la nchi zenye uchumi wa kati na kuna miaka unakua na miaka mingine unashuka na kila nchi duniani ina'experience' hali ya namna hii.
5. Kwa mujibu wa African Development Bank Group on Tanzania Economic Outlook: "Growth slowed to 2.1% in 2020 from 6.8% in 2019 because of Covid-19. Growth was driven mainly by construction and manufacturing on the supply side and investments on the demand side. Monetary policy has been accommodative to support credit and economic growth, with a reduction in the policy rate from 7% in August 2018 to 5% in May 2020, where it remains." (Tanzania Economic Outlook)
6. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilikadiria uchumi wa nchi kukua kwa 4.8% mwaka 2020 na GDP ya 5.6% mwaka 2021 pamoja na kuwa na 'impact' ya Covid-19.
7. Sasa hiyo hoja yako kwamba Rais katangaza hali ya hatari ya uchumi umeitoa wapi na kama ni kweli hali hiyo imetangazwa na Rais, ni kwa gazeti la serikali la lini na namba gani.
 
My point is clear that your statements on state of emergency declaration do not align with constitutional requirement therefore there is no state of emergency in Tanzania. Mengine ni mapambio kabla ya mahuburi.
Shule shule shule aka Elimu Elimu Elimu.

Bottomline question: what is the constitutional defn of STATE OF EMERGENCY?
 
Hii inatuleta kwenye maswali muhimu haya;

1. Nani mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari nchini au ktk sehemu ya nchi? Je, ni Rais au mkuu wa mkoa au waziri fulani?

2. Je, katika kutoa " tangazo la hali ya hatari" au vyovyote itakavyoitwa zuio, katazo; Rais anaweza kukasimisha mamlaka hayo wakati yeye yupo?

3. Je, mpaka sasa nchini Tanzania kuna hali ya hatari au Makatazo fulani kisheria na kikatiba?

Obvious, the answer is BIG NO..

Mama Amon hebu endelea kujibu bibie..

Rais anasaini tangazo na kuelekeza utekelezaji kwa wasaidizi. Machi 29 alitoa tangazo la hali ya hatari katika sekta ya uchumi iliyoporomoka kwa 42% na kupelekea msisitizo ktk kufufua uchumi na kuzuia distractions za wapinzani. Simple. Kama unataka nakala ya tamko omba kwa waliokasimishwa utekelezaji wake
 
Japo umemuuliza Dr Hosseah swali hili, lakini kwa kuwa umelileta humu badala ya kulipeleka kwake, maana yake unataka wachangiaji sisi tulijibu kwa niaba ya Dr Hoseàh. Na bila shaka majibu ndiyo hayo unayopewa...

Nami naomba nishiriki kujibu kama ifuatavyo;

1. Katika Press Release ya TLS kupitia kwa Rais wao Dr. Hoseah hakuna mahali amesema Rais hana haki ya kutangaza hali ya hatari nchini kote au ktk sehemu fulani ya nchi..

2. Hali ya hatari ktk nchi au sehemu ya nchi NI LAZIMA na SHARTI itangazwe na Rais mwenyewe. Kisheria na kikatiba kwenye hili hakuna delegation. Ni Rais mwenyewe lazima asimame na kusema...

3. As for number 2 above, so far mpaka sasa hakuna hali yoyote ya hatari iliyokwisha kutangazwa hapa nchini Tanzania na Rais..!

Unashangaa? Hapana, usishangae, huu ndiyo ukweli...

4. Press Release ya TLS ilikuwa ina refer tukio la serikali kupitia jeshi la polisi kuzuia kongamano la CHADEMA la kujadili katiba ili kuweka msingi wa madai ya katiba mpya ya wananchi huko Mwanza for two consecutive occasions tarehe 17/7/2021 na 21/7/2021...

So far, unaweza kujenga hoja kuwa RC wa Mwanza alishatangaza hali ya hatari ya corona mkoani kwake anakoongoza kama RC sasa ilikuwaje CHADEMA wakaamua kukiuka amri hiyo..?

Well. Lakini kumbuka haya;

1. RC hana mamlaka kikatiba na kisheria kutangaza hali ya hatari ktk sehemu yoyote ya JMT. Hiyo ilikuwa marufuku ya kisiasa ikisukumwa na hofu na woga wa kupoteza madaraka na mamlaka yao. Kwa hiyo it was baseless constitutionally and legally..

2. Lakini pia, tunaweza ku - assume kuwa RC Mwanza, ana mamlaka hayo kikatiba na kisheria...

å Lakini tukumbuke vizuri tukio hili lilivyokuwa. Kwamba, tarehe 17/7/2021 ambapo CHADEMA walizuiliwa kufanya kongamano lao kwa mara ya kwanza hapo Mwanza, hakukuwa na zuio lolote la kikatiba na kisheria. Lakini polisi bila sababu wakavuruga kongamano na kuwa detain baadhi ya viongozi wa CHADEMA...

å Masaa machache siku ya tarehe 19/7/2021 (if I'm not mistaken) mara baada PC ya M/kiti CHADEMA taifa Mh. Freeman Mbowe kulaani na kukemea tukio la polisi kuvuruga shughuli halali za kisiasa za CHADEMA na kisha kutangaza tena kongamano kufanyika trh 21/7/2021, hapo ndipo RC - Mwanza akajitokeza kwenye vyombo vya habari...

Akatangaza kuzuia mikusanyiko ambayo yeye aliita "isiyo ya lazima" eti ili kuzuia kuenea kwa virusi vya corona. Na usiku wa kuamkia tarehe 21/7/2021 ndiyo yakatokea haya tunayojadili leo ugaidi, ugaidi, ugaidi....

IN A SERIOUS NOTE:

Kama unafikiri vizuri wewe Mama Amon, mtiririko wa matukio haya unatoa reflection gani? Ni kwamba watu wanafanya kazi kweli au ni mchezo tu wa siasa chafu na uchwara za CCM na kutumia mamlaka yake vibaya kuumiza na kunyanyasa watu?

Asante..

Tamko la Dk Hosea kwa niaba ya TLS haliweI kuwa kamilifu bila kurejea maagizo ya Rais Samia ya 29 Machi 2021 wakati anaongea na wahariri wa media. Truth truncation is a form of disinformation. Kwa hili TLS wameungana na foreign media KUJERUHI ukweli. Not right, not acceptable
 
Kwa mtazamo wako hii sio economic state of emwrgency????
Hiyo "42%" ya uchumi kushuka kwenye post yangu haipo, sijui umeitoa wapi. Kwa kuweka rekodi sawa hapa nimerudia nilicho'post' kama nilivyofanya hapo juu.
Hicho kifungu 32(f) ulichokitaja kinasema hivi: "kuna aina nyingineyo ya hatari ambayo kwa dhahiri ni tishio kwa nchi." Yaani, Rais ataweza kutangaza hali ya hatari (state of emergency) iwapo kuna kiashiria kingine chochote cha hatari ambacho 'kwa dhahiri ni tishio la nchi'.
1. Tangu aingie madarakani, Rais hajawahi kutangaza hali ya hatari ya aina yoyote.
2. Alichokisema ni kwamba ingawa uchumi wetu ulikuwa unakua vizuri kwa sasa umeshuka kidogo kutokana na athari za Covid-19.
3. Mikakati ya kukuza uchumi kutoka hapo ulipo kuwa mzuri zaidi ziko katika kila awamu. Na yeye pale alipoukuta angetaka ukue zaidi. Kufanya hivyo hakuna tafsiri ya kutangaza hali ya hatari.
4. After all, tangu tupate uhuru mwaka 1961 Tanzania, bado tunajenga uchumi na sasa tuko kwenye kundi la nchi zenye uchumi wa kati na kuna miaka unakua na miaka mingine unashuka na kila nchi duniani ina'experience' hali ya namna hii.
5. Kwa mujibu wa African Development Bank Group on Tanzania Economic Outlook: "Growth slowed to 2.1% in 2020 from 6.8% in 2019 because of Covid-19. Growth was driven mainly by construction and manufacturing on the supply side and investments on the demand side. Monetary policy has been accommodative to support credit and economic growth, with a reduction in the policy rate from 7% in August 2018 to 5% in May 2020, where it remains." (Tanzania Economic Outlook)
6. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilikadiria uchumi wa nchi kukua kwa 4.8% mwaka 2020 na GDP ya 5.6% mwaka 2021 pamoja na kuwa na 'impact' ya Covid-19.
7. Sasa hiyo hoja yako kwamba Rais katangaza hali ya hatari ya uchumi umeitoa wapi na kama ni kweli hali hiyo imetangazwa na Rais, ni kwa gazeti la serikali la lini na namba gani.
 
Nimesoma mistari mitatu ya kwanza ya shaded text uliyoleta.

Naona utaratibu huo ni kwa ajili ya TANZANIA NZIMA, TANZANIA BARA NZIMA, au TANZANIA ZANZIBAR NZIMA.

Tangazo la Rais linahusu sekta ya uchumi na pekee.

Ni kama ambavyo tangazo la CORONA linahusu sekta ya afya pekee

Katika hili la mwisho haki ya kujumuika imesitishwa na hakuna Bunge limepitisha.

Ni vivyo hivyo kwa sekta ya uchumi. Ndivyo nionavyo mie.
1. Utaratibu huu sio wa nchi nzima peke yake, katiba inasema "au katika sehemu yake yoyote"

1627294251597.png

2. Hilo la kusema atangaze hali ya hatari "kwa sekta ya uchumi", hayo mamlaka hana. Kama yapo sema wapi yanapatikana.
3. Hilo ya "haki ya kujumuika imesikitishwa", kinachofanyika ni mbinu tu za kitawala; kukusanyika kisheria kunahitaji kibali kutoka mamlaka, na mamlaka zinaweza kukunyimba kibali kwa sababu zozote zile, hawahitaji kutanganza hali ya hatari kuzuia mikusanyiko.
 
Back
Top Bottom