Swali kwa dadaz wa humu jukwaani

Swali kwa dadaz wa humu jukwaani

I doubt if I'm good enough to my lady. Nina makasoro kibao tu, thank God ananivumilia tu...
Kila mmoja ana kasoro zake Mr. Elli, kuvumiliana na kubebeana madhaifu yetu ndiyo hasa kunaleta maana khalisi ya maisha.! Jitahidi kile kilicho ndani ya uwezo wako ukitekeleze, it counts alots tu us ladies.!
 
Wanawake wenyewe wa kuwa nice wakowapi...

Haya maisha purukishani nyingi....kwa week mnafuraha siku 4. Siku mbili hamjielewi elewi na siku ya mwisho mmoja wenu hasa mwanamke kanuna tu.

Ilimradi siku yq mwisho mnakaa mnacheka mnanza cycle upya.
 
Kwa ushauri wangu tafuta pesa ziwe nyingi nyingi halafu deal na ben 10 yaan utamcontroll unavyotaka akufanyie unaweza hata kumpiga viboko (tuliona kwa Shilole na Nuh Mziwanda, lol) na asikimbie bado akakufata wewe tu.

Tofauti na hapo uwe unataka Mr. Right yaan akuhonge na bado akufanyie utakayo utachina.

Tafuta movie inaitwa MR. RIGHT hope utajifunza mengi kupitia humo.
You said well mkuu thus why most of ladies end up with frustration, for finding Mr. Right, hakuna mzani ambao uta balance yote kwa wakati mmoja, kama utapata moja mengine utavumilia, kama utapata mengine moja utavumilia.
 
Mr right nilishampataga ana kila kitu baada ya miez mi 2 kujuana aliniomba nipeleke baadhi ya vitu vyangu kwake ili nikienda nisipate shida nilishangaa nikamkumbatia kwa hisia akaduwaa akaniambia Mimi ni Mr right niambie nini sijafanya unataka nikufanyie
Nitabeba pochi yako nitakupigia ata nikiwa busy utakuja kwangu mda wowote nitakushika mkono tukitembea.

Yaan hakuwa na kasoro Robinhard wangu sikupeleka nguo kwake alinunua mwenyewe kuanzia chupi mbaka mafuta nnayotumia na machanuo juu.. funguo ya nyumba yake alinionyesha inakaa wapi so mda oote nlikua huru kwenda.
Sikuwai gombana nae upuuz eti cjui ujantafuta toka asubuh Mara cjui cm inatumika usiku Mara oh ameenda mbagala ajantaarifu..hakua ivo.
Robinhard ni gantle sana tukitembea anabeba mkoba wangu nikiangusha kitu tukiwa njian ni yeye atawai kuinama aokote si mnajua wadada tunapenda mambo madogomadogo yaan..ni yeye alinifundisha kupenda nilijua upendo kupitia yeye.
Siku ya kwanza kulala kwake wala hatukusex tuliongea mambo yetu mengine mbka tukapitiwa na usingiz asubuh nkamuuliza mbona hukunisumbua akanambia Mimi ni mwanaume Mr right nikacheka sana.
Akanambia sitadai sex kwako siku ukiwa tayar niambie ukishindwa nitext "am ready" .
Jaman Robinhard tumekosana imepita miezi 4 sasa anataka nibebe mimba ndo aje kwetu mengine yafate yaan amenivuruga hatuwasiliani last time kanitext kasema ukiwa tayar umekubaliana namimi niambie nakusubir, mm cwez jaman nimekuzwa kimaadili walionilea wanategemea mazur kwangu.
kiukwelinmiki mwenyewe nakiri mwanamke nitakae muoa ni either awe tayari ana mtoto wangu awe na mimba yangu...bila ivo ni ukweli usiopingika sitaoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr right nilishampataga ana kila kitu baada ya miez mi 2 kujuana aliniomba nipeleke baadhi ya vitu vyangu kwake ili nikienda nisipate shida nilishangaa nikamkumbatia kwa hisia akaduwaa akaniambia Mimi ni Mr right niambie nini sijafanya unataka nikufanyie
Nitabeba pochi yako nitakupigia ata nikiwa busy utakuja kwangu mda wowote nitakushika mkono tukitembea.

Yaan hakuwa na kasoro Robinhard wangu sikupeleka nguo kwake alinunua mwenyewe kuanzia chupi mbaka mafuta nnayotumia na machanuo juu.. funguo ya nyumba yake alinionyesha inakaa wapi so mda oote nlikua huru kwenda.
Sikuwai gombana nae upuuz eti cjui ujantafuta toka asubuh Mara cjui cm inatumika usiku Mara oh ameenda mbagala ajantaarifu..hakua ivo.
Robinhard ni gantle sana tukitembea anabeba mkoba wangu nikiangusha kitu tukiwa njian ni yeye atawai kuinama aokote si mnajua wadada tunapenda mambo madogomadogo yaan..ni yeye alinifundisha kupenda nilijua upendo kupitia yeye.
Siku ya kwanza kulala kwake wala hatukusex tuliongea mambo yetu mengine mbka tukapitiwa na usingiz asubuh nkamuuliza mbona hukunisumbua akanambia Mimi ni mwanaume Mr right nikacheka sana.
Akanambia sitadai sex kwako siku ukiwa tayar niambie ukishindwa nitext "am ready" .
Jaman Robinhard tumekosana imepita miezi 4 sasa anataka nibebe mimba ndo aje kwetu mengine yafate yaan amenivuruga hatuwasiliani last time kanitext kasema ukiwa tayar umekubaliana namimi niambie nakusubir, mm cwez jaman nimekuzwa kimaadili walionilea wanategemea mazur kwangu.
Jibu lipo wazi kabisa...Mr wako anataka ile shake well before use.
Sorry to say this but Mr wako hataki aje akuoe then ushindwe kubeba mimba na ndio maana anataka aone kama yaliyomo yamo
 
Wanawake wenyewe wa kuwa nice wakowapi...

Haya maisha purukishani nyingi....kwa week mnafuraha siku 4. Siku mbili hamjielewi elewi na siku ya mwisho mmoja wenu hasa mwanamke kanuna tu.

Ilimradi siku yq mwisho mnakaa mnacheka mnanza cycle upya.
😂😂😂😂
 
Yeah, I got your point here Mr. Rrondo!! Lakini hudhani kwamba you're acting that way sababu bado penzi jipya? Una hakika hutotenda kama ulivyotenda awali, means hutomaliza uhusiano kwa kuwa bad guy?
I'm not acting and I'm not a bad man.
 
Kila mmoja ana kasoro zake Mr. Elli, kuvumiliana na kubebeana madhaifu yetu ndiyo hasa kunaleta maana khalisi ya maisha.! Jitahidi kile kilicho ndani ya uwezo wako ukitekeleze, it counts alots tu us ladies.!
Thanx Carleen
 
Mr right nilishampataga ana kila kitu baada ya miez mi 2 kujuana aliniomba nipeleke baadhi ya vitu vyangu kwake ili nikienda nisipate shida nilishangaa nikamkumbatia kwa hisia akaduwaa akaniambia Mimi ni Mr right niambie nini sijafanya unataka nikufanyie
Nitabeba pochi yako nitakupigia ata nikiwa busy utakuja kwangu mda wowote nitakushika mkono tukitembea.

Yaan hakuwa na kasoro Robinhard wangu sikupeleka nguo kwake alinunua mwenyewe kuanzia chupi mbaka mafuta nnayotumia na machanuo juu.. funguo ya nyumba yake alinionyesha inakaa wapi so mda oote nlikua huru kwenda.
Sikuwai gombana nae upuuz eti cjui ujantafuta toka asubuh Mara cjui cm inatumika usiku Mara oh ameenda mbagala ajantaarifu..hakua ivo.
Robinhard ni gantle sana tukitembea anabeba mkoba wangu nikiangusha kitu tukiwa njian ni yeye atawai kuinama aokote si mnajua wadada tunapenda mambo madogomadogo yaan..ni yeye alinifundisha kupenda nilijua upendo kupitia yeye.
Siku ya kwanza kulala kwake wala hatukusex tuliongea mambo yetu mengine mbka tukapitiwa na usingiz asubuh nkamuuliza mbona hukunisumbua akanambia Mimi ni mwanaume Mr right nikacheka sana.
Akanambia sitadai sex kwako siku ukiwa tayar niambie ukishindwa nitext "am ready" .
Jaman Robinhard tumekosana imepita miezi 4 sasa anataka nibebe mimba ndo aje kwetu mengine yafate yaan amenivuruga hatuwasiliani last time kanitext kasema ukiwa tayar umekubaliana namimi niambie nakusubir, mm cwez jaman nimekuzwa kimaadili walionilea wanategemea mazur kwangu.
Yaani wenzako, wanalilia hizo mimba we unakataa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom