Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,390
Idadi ikifika inayohesabika nitakuambia Mkuu,
Hakuna namba isiyohesabika
Idadi ikifika inayohesabika nitakuambia Mkuu,
njoo basi ufanye utafiti?Wapo bibie japo mimi sijaexpiriensi
njoo basi ufanye utafiti?
any conclusion nayo ni matokea, I care notWewe tena usije ukanipa conclusion mbaya kumbe nimechagua sample vibaya
i haven't got a lady...Unashindwa wapi??
Hongera sana Mkuu..Yani jinsi navoishi na kumfanyia huyu bidada,hadi mwenyewe kakiri na kusema "Daah upo tofauti Sana"Heshima,busara,kujali hata kama huna pesa ukaweka ushirikiano,ukamgusa vzr kunako,ukaficha ukali wote,Mwanamke lazima akuelewe sn
Ngoja nitafute na wenzio kama wanne hiviany conclusion nayo ni matokea, I can not
raise your eyebrows whenever a woman praises her husband....My husband is a true definition of nice guy.
Asante, nadhani ndo nipo hivo.Sijui kumnyanyasa Mwanamke.Hata nilioachana nao ni wao wenyewe walijipima ktk mizani wakakaa pembeni au nilisitisha kujali afya yangu na huwa wanapata shida na kuomba turudiane.Hongera sana Mkuu..