Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,592
- 29,545
- Thread starter
- #41
Endelea na moyo huo. Kuna baraka katika kumuheshimu mwanamke!!Asante, nadhani ndo nipo hivo.Sijui kumnyanyasa Mwanamke.Hata nilioachana nao ni wao wenyewe walijipima ktk mizani wakakaa pembeni au nilisitisha kujali afya yangu na huwa wanapata shida na kuomba turudiane.