Christina George
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 673
- 784
Ntaibeba tuu mkuuYaani wenzako, wanalilia hizo mimba we unakataa
Ntaibeba tuu mkuuYaani wenzako, wanalilia hizo mimba we unakataa
Mungu atanisaidia.How I feel it Christina George,
Pole sana.! Siku zote kwenye maisha amini kuwa, what meant to be yours will always be yours no matter the consequences.!
It's going to be okay, Jipe moyo mkuu.!
Aisee itabid nimuelewe tuu.Jibu lipo wazi kabisa...Mr wako anataka ile shake well before use.
Sorry to say this but Mr wako hataki aje akuoe then ushindwe kubeba mimba na ndio maana anataka aone kama yaliyomo yamo
Ukimpata yule yule uliyemuota ujue ndoto zako hazikuwa ambitious sana.Hi Guyz,
Sijui hata nlikuwa nawaza nini nimejikuta naomba kujibiwa haka kaswali, We all knows kuna this imagination za sijui 'Mr. Right mara Nice Guy' and all blah blah blah, Just wish to know kama kweli huku kwa dunia halisi do they really exist?
Lady, have you ever met the guy who treated you the way you were dreaming to be treated?
Jinsia Me najua kila anayekuja humu huwa anajisfia anajua kuhandle sijui anajua kusimamia show na misifa kibao, Natamani niskie kutoka kwa Wadada kama kweli hao viumbe wanaotoweka kwa kasi je wapo kwa huu ulimwengu!?
Au Me wanaojinadi humu wanatoka sayari nyingine
Was just wondered
Unluckily nilipata bonge ya challenge mpaka akili ikanikaa sawa.!Ukimpata yule yule uliyemuota ujue ndoto zako hazikuwa ambitious sana.
Yani ulitakiwa ujiongeze katika kuota.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Challenge si ajabu.Unluckily nilipata bonge ya challenge mpaka akili ikanikaa sawa.!
What about that?
Nipo..Duh! Long time aiseee.
Upo??
Mr right nilishampataga ana kila kitu baada ya miez mi 2 kujuana aliniomba nipeleke baadhi ya vitu vyangu kwake ili nikienda nisipate shida nilishangaa nikamkumbatia kwa hisia akaduwaa akaniambia Mimi ni Mr right niambie nini sijafanya unataka nikufanyie
Nitabeba pochi yako nitakupigia ata nikiwa busy utakuja kwangu mda wowote nitakushika mkono tukitembea.
Yaan hakuwa na kasoro Robinhard wangu sikupeleka nguo kwake alinunua mwenyewe kuanzia chupi mbaka mafuta nnayotumia na machanuo juu.. funguo ya nyumba yake alinionyesha inakaa wapi so mda oote nlikua huru kwenda.
Sikuwai gombana nae upuuz eti cjui ujantafuta toka asubuh Mara cjui cm inatumika usiku Mara oh ameenda mbagala ajantaarifu..hakua ivo.
Robinhard ni gantle sana tukitembea anabeba mkoba wangu nikiangusha kitu tukiwa njian ni yeye atawai kuinama aokote si mnajua wadada tunapenda mambo madogomadogo yaan..ni yeye alinifundisha kupenda nilijua upendo kupitia yeye.
Siku ya kwanza kulala kwake wala hatukusex tuliongea mambo yetu mengine mbka tukapitiwa na usingiz asubuh nkamuuliza mbona hukunisumbua akanambia Mimi ni mwanaume Mr right nikacheka sana.
Akanambia sitadai sex kwako siku ukiwa tayar niambie ukishindwa nitext "am ready" .
Jaman Robinhard tumekosana imepita miezi 4 sasa anataka nibebe mimba ndo aje kwetu mengine yafate yaan amenivuruga hatuwasiliani last time kanitext kasema ukiwa tayar umekubaliana namimi niambie nakusubir, mm cwez jaman nimekuzwa kimaadili walionilea wanategemea mazur kwangu.
Be careful thenAisee itabid nimuelewe tuu.
Njema sana. Hupo kule kwani??Nipo..
Habar za umangani
Nilisharudi toka jully last yearNjema sana. Hupo kule kwani??
Ulisharudi wapi???Nilisharudi toka jully last year
Namaanisha nilishatoka kwenu nimerudi zangu nchi kavuUlisharudi wapi???
Mh huo ni mtihani mkubwa. Ila km anachosema ni cha uhakika zaidi bs beba. Ila km sio nakushauri usibebe. Usibebe mimba kabla ya ndoa ata km yuko right vipi.Mr right nilishampataga ana kila kitu baada ya miez mi 2 kujuana aliniomba nipeleke baadhi ya vitu vyangu kwake ili nikienda nisipate shida nilishangaa nikamkumbatia kwa hisia akaduwaa akaniambia Mimi ni Mr right niambie nini sijafanya unataka nikufanyie
Nitabeba pochi yako nitakupigia ata nikiwa busy utakuja kwangu mda wowote nitakushika mkono tukitembea.
Yaan hakuwa na kasoro Robinhard wangu sikupeleka nguo kwake alinunua mwenyewe kuanzia chupi mbaka mafuta nnayotumia na machanuo juu.. funguo ya nyumba yake alinionyesha inakaa wapi so mda oote nlikua huru kwenda.
Sikuwai gombana nae upuuz eti cjui ujantafuta toka asubuh Mara cjui cm inatumika usiku Mara oh ameenda mbagala ajantaarifu..hakua ivo.
Robinhard ni gantle sana tukitembea anabeba mkoba wangu nikiangusha kitu tukiwa njian ni yeye atawai kuinama aokote si mnajua wadada tunapenda mambo madogomadogo yaan..ni yeye alinifundisha kupenda nilijua upendo kupitia yeye.
Siku ya kwanza kulala kwake wala hatukusex tuliongea mambo yetu mengine mbka tukapitiwa na usingiz asubuh nkamuuliza mbona hukunisumbua akanambia Mimi ni mwanaume Mr right nikacheka sana.
Akanambia sitadai sex kwako siku ukiwa tayar niambie ukishindwa nitext "am ready" .
Jaman Robinhard tumekosana imepita miezi 4 sasa anataka nibebe mimba ndo aje kwetu mengine yafate yaan amenivuruga hatuwasiliani last time kanitext kasema ukiwa tayar umekubaliana namimi niambie nakusubir, mm cwez jaman nimekuzwa kimaadili walionilea wanategemea mazur kwangu.
Pola utampata mwengineNiliwahi kumpata, ila ss nilikuja haribu mwenyeweee. Mpk leo hapatikani kwenye simu. Nimemmiss kweli kweli loooh!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishawahiwa na mmoja wa hao niliowasemaNiwahi sasa kabla sijapotea