Swali kwa dadaz wa humu jukwaani

Swali kwa dadaz wa humu jukwaani

Unaingia na majib halaf unakuta paper nyingine..unapagwa ...una fail..
Ahahaha
Usinikumbushe enzi ya shule, zile za kudanganyana paper ime leak, mnaanza kumeza vitu OP, mkiingia kwa exam mnakuta vitu ni mbingu na ardhi.
 
Huu mchezo form 4 chemistry 2 nilikula bingo..form 6 physic 3 niliingia chaka mbaya.
 
Mr right nilishampataga ana kila kitu baada ya miez mi 2 kujuana aliniomba nipeleke baadhi ya vitu vyangu kwake ili nikienda nisipate shida nilishangaa nikamkumbatia kwa hisia akaduwaa akaniambia Mimi ni Mr right niambie nini sijafanya unataka nikufanyie
Nitabeba pochi yako nitakupigia ata nikiwa busy utakuja kwangu mda wowote nitakushika mkono tukitembea.

Yaan hakuwa na kasoro Robinhard wangu sikupeleka nguo kwake alinunua mwenyewe kuanzia chupi mbaka mafuta nnayotumia na machanuo juu.. funguo ya nyumba yake alinionyesha inakaa wapi so mda oote nlikua huru kwenda.
Sikuwai gombana nae upuuz eti cjui ujantafuta toka asubuh Mara cjui cm inatumika usiku Mara oh ameenda mbagala ajantaarifu..hakua ivo.
Robinhard ni gantle sana tukitembea anabeba mkoba wangu nikiangusha kitu tukiwa njian ni yeye atawai kuinama aokote si mnajua wadada tunapenda mambo madogomadogo yaan..ni yeye alinifundisha kupenda nilijua upendo kupitia yeye.
Siku ya kwanza kulala kwake wala hatukusex tuliongea mambo yetu mengine mbka tukapitiwa na usingiz asubuh nkamuuliza mbona hukunisumbua akanambia Mimi ni mwanaume Mr right nikacheka sana.
Akanambia sitadai sex kwako siku ukiwa tayar niambie ukishindwa nitext "am ready" .
Jaman Robinhard tumekosana imepita miezi 4 sasa anataka nibebe mimba ndo aje kwetu mengine yafate yaan amenivuruga hatuwasiliani last time kanitext kasema ukiwa tayar umekubaliana namimi niambie nakusubir, mm cwez jaman nimekuzwa kimaadili walionilea wanategemea mazur kwangu.
 
Dahhhh! Hapo tu jamani si akuelewe basiii! Hongera sana mamy na jitahidi usizubae akaweka ndani mwingine.

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa niliye naye sasa hivi I'm more than Mr Right, anashangaa kama kama unavyoshangaa Carleen kwamba tupo?!🙂🙂🙂🙂
Kamuulize ex wangu atakwambia I'm the worst man ever! I hope umepata kitu.
Yeah, I got your point here Mr. Rrondo!! Lakini hudhani kwamba you're acting that way sababu bado penzi jipya? Una hakika hutotenda kama ulivyotenda awali, means hutomaliza uhusiano kwa kuwa bad guy?
 
Mr right nilishampataga ana kila kitu baada ya miez mi 2 kujuana aliniomba nipeleke baadhi ya vitu vyangu kwake ili nikienda nisipate shida nilishangaa nikamkumbatia kwa hisia akaduwaa akaniambia Mimi ni Mr right niambie nini sijafanya unataka nikufanyie
Nitabeba pochi yako nitakupigia ata nikiwa busy utakuja kwangu mda wowote nitakushika mkono tukitembea.

Yaan hakuwa na kasoro Robinhard wangu sikupeleka nguo kwake alinunua mwenyewe kuanzia chupi mbaka mafuta nnayotumia na machanuo juu.. funguo ya nyumba yake alinionyesha inakaa wapi so mda oote nlikua huru kwenda.
Sikuwai gombana nae upuuz eti cjui ujantafuta toka asubuh Mara cjui cm inatumika usiku Mara oh ameenda mbagala ajantaarifu..hakua ivo.
Robinhard ni gantle sana tukitembea anabeba mkoba wangu nikiangusha kitu tukiwa njian ni yeye atawai kuinama aokote si mnajua wadada tunapenda mambo madogomadogo yaan..ni yeye alinifundisha kupenda nilijua upendo kupitia yeye.
Siku ya kwanza kulala kwake wala hatukusex tuliongea mambo yetu mengine mbka tukapitiwa na usingiz asubuh nkamuuliza mbona hukunisumbua akanambia Mimi ni mwanaume Mr right nikacheka sana.
Akanambia sitadai sex kwako siku ukiwa tayar niambie ukishindwa nitext "am ready" .
Jaman Robinhard tumekosana imepita miezi 4 sasa anataka nibebe mimba ndo aje kwetu mengine yafate yaan amenivuruga hatuwasiliani last time kanitext kasema ukiwa tayar umekubaliana namimi niambie nakusubir, mm cwez jaman nimekuzwa kimaadili walionilea wanategemea mazur kwangu.
How I feel it Christina George,
Pole sana.! Siku zote kwenye maisha amini kuwa, what meant to be yours will always be yours no matter the consequences.!

It's going to be okay, Jipe moyo mkuu.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom