Swali kwa dadaz wa humu jukwaani

Swali kwa dadaz wa humu jukwaani

Mr right nilishampataga ana kila kitu baada ya miez mi 2 kujuana aliniomba nipeleke baadhi ya vitu vyangu kwake ili nikienda nisipate shida nilishangaa nikamkumbatia kwa hisia akaduwaa akaniambia Mimi ni Mr right niambie nini sijafanya unataka nikufanyie
Nitabeba pochi yako nitakupigia ata nikiwa busy utakuja kwangu mda wowote nitakushika mkono tukitembea.

Yaan hakuwa na kasoro Robinhard wangu sikupeleka nguo kwake alinunua mwenyewe kuanzia chupi mbaka mafuta nnayotumia na machanuo juu.. funguo ya nyumba yake alinionyesha inakaa wapi so mda oote nlikua huru kwenda.
Sikuwai gombana nae upuuz eti cjui ujantafuta toka asubuh Mara cjui cm inatumika usiku Mara oh ameenda mbagala ajantaarifu..hakua ivo.
Robinhard ni gantle sana tukitembea anabeba mkoba wangu nikiangusha kitu tukiwa njian ni yeye atawai kuinama aokote si mnajua wadada tunapenda mambo madogomadogo yaan..ni yeye alinifundisha kupenda nilijua upendo kupitia yeye.
Siku ya kwanza kulala kwake wala hatukusex tuliongea mambo yetu mengine mbka tukapitiwa na usingiz asubuh nkamuuliza mbona hukunisumbua akanambia Mimi ni mwanaume Mr right nikacheka sana.
Akanambia sitadai sex kwako siku ukiwa tayar niambie ukishindwa nitext "am ready" .
Jaman Robinhard tumekosana imepita miezi 4 sasa anataka nibebe mimba ndo aje kwetu mengine yafate yaan amenivuruga hatuwasiliani last time kanitext kasema ukiwa tayar umekubaliana namimi niambie nakusubir, mm cwez jaman nimekuzwa kimaadili walionilea wanategemea mazur kwangu.
here is a lesson gentlemen, our brother made a thousand sacrifices for a lady who cant make one for him. You will live to regret this we mdada!
 
Hi Guyz,

Sijui hata nlikuwa nawaza nini nimejikuta naomba kujibiwa haka kaswali, We all knows kuna this imagination za sijui 'Mr. Right mara Nice Guy' and all blah blah blah, Just wish to know kama kweli huku kwa dunia halisi do they really exist?

Lady, have you ever met the guy who treated you the way you were dreaming to be treated?

Jinsia Me najua kila anayekuja humu huwa anajisfia anajua kuhandle sijui anajua kusimamia show na misifa kibao, Natamani niskie kutoka kwa Wadada kama kweli hao viumbe wanaotoweka kwa kasi je wapo kwa huu ulimwengu!?

Au Me wanaojinadi humu wanatoka sayari nyingine

Was just wondered
Movie za kimexico kifilipo na kikorea zinawaharibu sana dada zetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom