Swali kwa dada zangu wa JF

Swali kwa dada zangu wa JF

Kumbe watu Jf mnajuana face to face? Kumbe naogopa bure wanaokuja pm ukute Jf ina watu wema tu napoteza bahati
Mimi si nilikwambia tuonane, ukaanza kuvunga.
Just tell me time n place. Watu wema still exist dear hapa jf.
 
Wapo wema si wajua hawawezi kuwa wabaya wote? Na anaweza kuwa mwema kwako na akawa mbaya kwa mwingine. Kwa niliokutana nao humh ni mmoja tu nimejuta ila wengine naenjoy kwa kweli kujuana nao. Na ukitaka uone wema wao zaidi usikubali mitongozo yao. Kutongozana ndo mwanzo wa kuonana wabaya kwa sababu wanaotongoza 90% wana watu wao ila wanataka tu kukuvuruga. Sasa mtu akutongoze umpende then boom unajua ana gf/mke lazima umuone mbaya.
Mkuu unamaanisha jamaa wote waliojaribu ku graduate toka urafiki to wapenzi walikuwa na makoloni yao ?
 
Sasa wanakosaje kwa mfano. Mmoja ndo nilijua ana mbebe halafu nishamuelewa. Wakati alikua ananiambia ako single kumbe tapeli.
Bora hata ungenitafuta mimi wakati huo kuliko kuingizwa mkenge na huyo tapeli wa mapenzi.
 
Usicheke naanza kuchangamkia pm maana wengine hata sijibu sasa hizo ukute ndo napishana na gari la mshahara,
Ila tatizo la humu wengi watoto si ajabu kukutana na wanaolala kwa shemeji seblen.
Mkuu una miaka mingapi ?
 
Back
Top Bottom